Search results

  1. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nistue chemba huko basi.
  2. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Vipi kuna mwali huko wataka kunitunuku? 😅😅
  3. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Usituharibie swaumu yetu, tafadhali!
  4. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    The Happiness, Leo tumepigwa. Tulijiandaa tuchukue ubingwa wetu leo, Hawa Chelsea hawana adabu walahi 😅😅... Numbisa hebu pita. hivi.
  5. Yegomasika

    Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

    Hivi DMV wanaweza kukupa leseni ya udereva bila kuwa na SSN?
  6. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hili bandiko lako ukianza kulinyambulisha linaweza kukupa maana nyingi sana ujue! 😅
  7. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Watu aaah, Astaghfirullah! 😂😂
  8. Yegomasika

    Sifa za mwanamke afaaye kuitwa mama

    Generations Y and Z huwezi kupata wamama wa hivyo aisee, labda kwenye Gen X huko. 😁 😁
  9. Yegomasika

    Sifa za mwanamke afaaye kuitwa mama

    kumpata mwenye sifa hizi lazıma uchonge Mpingo aisee! 😁
  10. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Habari yako Mlugaluga, salamu zangu nyingi kwa carbamazepine, tafwadhali. 😂😂...
  11. Yegomasika

    Askari DEREK CHAUVIN akutwa na hatia ya mauaji ya George Floyd

    Ana bahati kwamba kila Jimbo lina sheria zake kuhusu Hukumu ya kifo. Jimbo alilopo halina/halifuati hiyo sheria, angekuwa kama Texas huko nadhani wangemnyonga yule.
  12. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Jirani, DED wa wapi huyu? Namba yake tafadhali nimjulie hali. 😅
  13. Yegomasika

    Tutamsaidiaje huyu binti? Nimehuzunika sana leo

    Hii thread ni ya 2019, je; hii Bar itakuwa bado inandelea na biashara yake hapo? Na huyo Binti bado atakuwepo pale?
  14. Yegomasika

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    We njoo hapa Nansio bana, Sato kibao! 😅
  15. Yegomasika

    Nauza samaki kutoka Ziwa Victoria

    Una maana gani kusema kwamba, "Kwa wateja wanaohitaji mzigo wasiku-pm". Watakupata vipi sasa? Unataka mtu amwage order yake hapa hapa, siyo? 😁
  16. Yegomasika

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Shirika la ndege la wapi hili?
  17. Yegomasika

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Watu buana, acha tu. Ingekuwa hivyo huyo Carlos asingekaa jela maka 33, angekuwa anakatiza tu mitaa ya Manhattan tu. 😅
  18. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kheri jirani, habari za huko?
  19. Yegomasika

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahaa, ukali wake ni kama wa Flu shot kama ulishachukua, kwa wale ambao wameshapata wanavyoelezea. Sore arm tu kidogo basi. J&J watu wanaikataa, eti wanawategeshea minority tu. 😁 😁
Back
Top Bottom