Search results

  1. G

    Msaada Kuhusu HELSB Act

    Habari ya saiz wana jamii. ninaomba msaada wa kisheria katika hili. je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho. 1. je ni kwamba ni lazima pale unapoaajiliwa tu uanze kulipa au 2. kuna grace period yeyote ambayo HELSB Act imetoa...
  2. G

    Msaada juu ya Sheria ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB ACT)

    Habari ya saiz wana jamii. ninaomba msaada wa kisheria katika hili. je HELSB ACT imetoa maelezo yoyote kuhusu mda ambao mtu anapoajiliwa anatakiwa aanze kulipa marejesho. 1. je ni kwamba ni lazima pale unapoaajiliwa tu uanze kulipa au 2. kuna grace period yeyote ambayo HELSB Act imetoa pale...
  3. G

    For Geniuses Only Part 2: Hawa watoto wapo wangapi kwa ujumla wao?

    vichwa. 5 miguu 10 mikono 10 conclution. wako watoto 5
  4. G

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    iv sisi wabongo nani katuloga. yaani kila kitu tunataka tuulize tu. iv mtu mwenye plan za kusomaa kweli anashindwa kuchukua mda wake kidogo kwa mb alizozitumia kutype apa. aingie TCU aangalie requirement. kuna vitu vya kuuliza sio hiv aise any way kwa waliograduate 2014 na 2015. vigezo vyao ni...
  5. G

    Msaada wa chuo wakubwa

    Guidebook ya mwaka huu NACTE WASHAITOA?
  6. G

    NACTE : Udahili na uchaguzi 2017/18 wa Astashahada na Stashahada utafanyika moja kwa moja vyuoni

    Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
  7. G

    Waombaji na Wazofu wa CAS tukutane hapa, tupeane maujuzi ya kukabiliana na changamoto za ku-apply.

    Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
  8. G

    Naomba msaada kutoka kwa wataalam wa kodi/tax

    Samahani. Ukiachana na hii rate ya sasa hivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005. Au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu...
  9. G

    Msaada: Mtaalam maswala ya kodi (tax)

    Samahani, Ukiachana na hii rate ya saivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka Jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005 au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu hili...
  10. G

    Tecno c 8 inauzwa

    Bei makubaliano , kama unahitaji kuiona nipm namba yako nikutumie picha watsup,
  11. G

    Kupatwa kwa IFM

    Unajua mitandaoni watu huwa wanaandika ti , mfano nasoma udsm, au ifm but ukweli inakuwa sio hivo, nikahis uyu atakuwa kaandika ivo but si mwanafunzi wa chuo mtarajiwa. But ukweli ndo huo kuwa ni mwanafunzi mtarajiwa wa chuo kikuu
  12. G

    Kupatwa kwa IFM

    Nikajua huenda anasingiziwa basi nikaangalie walio be selected, aisee nikamkuta, means ni kweli aisee
  13. G

    Kwanini walimu wengi wanaotokea DUCE na MUCE wawapo field au kazini hung'ang'ania kutaja UDSM?

    Ukitaka kujua kuwa hawakosei angalia hata hao wanafunzi waliochaguliwa Duce na muce, majina yao yapp link moja na waliochaguliwa main compas, hizo ni college tu kama udbs na coet , but chuo ni udsm
  14. G

    Serikali yetu, irekebishe uchumi kwanza bila kuongeza mishahara

    Ukizungumzia icho, mtoa maada yuko sahihi kabisa
  15. G

    Naomba ushauri: Nina Lengo la kuwa Mkufunzi wa Chuo

    Unachoongea ni kweli kabisa , lakini lugha unayotumia sio ile aliyoitumia mtoa maada ilibid umueleze kwa ustaarabu sio kwa kumkashifu , sababu gpa 3. 5 ni kubwa tu ila kwa utaratibu wa nchi hii hawezi kufundisha chuo kikuu labda vyuo vya diploma. Iko ivi kila chuo kinakuwa na utaratibu wao...
  16. G

    TCU yapunguza vigezo vya kuingia Vyuo Vikuu kwa waombaji wa Diploma 2016/2017

    Mtoto wa maskini na kishushiwa point vina uhusiano gani,?
  17. G

    Majibu: Rais yupo sahihi anaposema kuna watu wameficha pesa ndani kuihujumu serikali

    Hapa ndipo unagundua elimu yetu haitusaidii kitu ni mwendo wa kucrem tu, kama mtu unashindwa kuelewa tofauti ya deflation na inflation in application, Inapoongelewa pesa iliyofichwa hawazungumzii pesa zilizoifadhiwa bank za ndani na za nje , sababu pesa yoyote inayowekwa bank haikai uko...
Back
Top Bottom