Search results

  1. Philip Dominick

    Connects dots hapa

    Edit uzi wako kabla hawajaja
  2. Philip Dominick

    Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

    Na hapo wote ni maofisa tofauti huyo kolokolo ni ofisa mteule
  3. Philip Dominick

    Mishahara Jeshini, inatolewa kwa kuangalia umri wa kazi au Cheo cha Askari?

    Ni WO I ndo kieefu chake warrant officer au kolokolo waswahili tumezoea Hapo kolokolo ana mshahara mkubwa kuliko wa nyota 1
  4. Philip Dominick

    Mbowe: Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto

    Peleka pumba zako huko chaguzi zilizofanyika.zimefanyika huku daftari la wapiga kura likiwa halijaboreshwa Wewe unaesema asilomia 85 kwa takwimu zipi au.ndo.mchumia tumbo kama wana ccm wenzio
  5. Philip Dominick

    AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Nimepewa taarifa hapa basi la kampuni ya jordan imedondoka mda si mrefu eneo la nzega kilomita 6 kutoka hapo likitokea mwanza kuelekea moshi zaidi ya watu 8 wamepoteza maisha Kwa yoyote mwenye taarifa zaidi kuhusu chanzo cha ajali na majeruhi tupatieni taarifa
  6. Philip Dominick

    Maswali 21 kwa Zitto Kabwe

    Watakuja kwa kasi kukujibu we subiri tu
  7. Philip Dominick

    CCM wafanya kikao kikubwa makambako kumuenzi ZZK

    Rose mayemba kuna uzi ulianzishwa hapa umechepuka na kwenda act hizo habari ukweli wake ni ipi kamanda
  8. Philip Dominick

    Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Kuna kitu kweli kaandika fb nacho kina sura mbili Ngoja tusubiri masaa 72 yapite tutajua
  9. Philip Dominick

    Dr Slaa Atoa Madai Mapya Ya Kuongezwa Mshahara - CHADEMA

    Mtoa mada.bila shaka utakuwa ni kimada wa dr.unamsaidia kazi.mshumbusi
  10. Philip Dominick

    Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

    Mo saidi anajua mengi sana ya wakati ule hata mi namsubiri akuje
  11. Philip Dominick

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe Akimbia Mkutano Baada ya Wananchi Kumtuhumu Kuuza Ardhi

    Sara dumba alikuwa ni mwana hbari rtd siku.hizi.ni mkuu wa wilaya kumbe Hongera zake
  12. Philip Dominick

    Ni vizuri tukajua gharama za kuruka Live ITV masaa 3

    Nusu saa ni 5mils sasa piga hesabu 3hrs ni shs ngpi
  13. Philip Dominick

    Prof. Lipumba na wageni wengine Wasusia Uzinduzi wa ACT Tanzania

    Chama chao kitakufa kifo kibaya sana
  14. Philip Dominick

    Tanzia: Mwanzilishi na Bosi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge afariki dunia

    Nimepata taarifa kuwa kiongozi wa kundi la muziki la tip top amefariki mwenye taarifa rasmi ya kufariki kwa abdu bonge atujuze tafadhali
  15. Philip Dominick

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Mbona waislam.tupu inamaana act haina waikristo au ni.chama cha kiislam
  16. Philip Dominick

    Onyo kwa vijana wa ACT Tanzania

    Waacheni wafu wazike wafu wao
Back
Top Bottom