Search results

  1. LURIGA

    Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    Wadau naombeni kujuzwa zaidi ni miji ipi mitano iliyojengwa kwa mpangilo mzuri hapa tz (town plan) hata kama miji huyo majengo yake ni ya kawaida. Wale ambao mmezunguka mji mbalimbali hapa tz saidieni kutujuza.Mimi binafsi nimezunguka mikoa kadhaa hapa tz siyo yote lakini nilivutiwa na mpangilio...
  2. LURIGA

    Miaka 54 tangu tupate uhuru

    \ Tumeweza na tunaendelea
  3. LURIGA

    Magufuli atuambie ni mafisadi wapi atakaowashughulikia

    Katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi mkuu hapa Tz, mgombea wa urais wa chama cha mapinduzi (CCM) ndugu John Pombe magufuli amekuwa akijinadi kuwa endapo atapewa kura za kutosha na wananchi na hatamaye kuwa rais wa Tanzania atawashughulikia mafisadi. Cha kushangaza zaidi ni pale watuhumiwa...
  4. LURIGA

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Tanzania Jaji Damian Lubuva Ajifunze toka Kwa Kivuitwu wa Kenya

    Tabia ya Tume ya taifa ya uchaguzi kulazimishwa na serikali iliyopo madarakani kufanya maamuzi yasiyo sahihi kwa sababu tu ya kukulinda chama tawala kunaweza kuleta fujo na machafuko katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwezi octoba mwaka huu. Hivyo...
  5. LURIGA

    Je Muungano wa Tanganyika na na nchi ya Zanzibar ni imara kweli?

    Endapo itatokea kwamba Zanzibar chama cha upinzani kichukue madaraka na Tanganyika (aka Tanzania) CCM ibaki au kinyume chake, Je wewe unadhani kweli muungano wetu wa serikali mbili na nchi mbili utakuwa imara? WANAO ONA MBALI WANAKUBALI KWAMBA MUUNGANO HUU HASA WAKATI HUU WA SIASA ZA USHINDANI...
  6. LURIGA

    Mabadiliko ya 15 ya katiba ya mwaka 77 yaendelea Dodoma

    Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Kinachoendelea Dodoma kwenye bunge la katiba siyo BUNGE MAALUMU LA KATIBA MPYA! bali ni BUNGE MAALUMU LA MABADILIKO YA 15 YA KATIBA YA MWAKA 1977. Kwa mfuatiliaji wa Mchakato wa kupata katiba mpya hatasita kukubali ukweli huo! Kaaazi kwelikweli kuona watu...
  7. LURIGA

    Mkono hafai tena kuwa mbunge wa Musoma vijijini

    Ndungu Nimrod Mkono (Mbunge wa sasa wa Musoma vijijini) hafai na hana sifa za kuwania ubunge wa jimbo hili tena ktk uchaguzi wa mwaka 2015 kwani katika kipindi cha takribani miaka 13 ya ubunge wake hakuna la maana alilowafanyia wananchi wa jimbo la Musoma Vijijini. Amekuwa mtu wa kutumia rushwa...
Back
Top Bottom