Search results

  1. LURIGA

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Simba SC ezali biliko ya kolia ya Young Africans!😂😂
  2. LURIGA

    Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Miaka ya nyuma mafuriko yalikuwa yanatokea huko rufiji kabla hata ya hilo bwawa kujengwa. Kwa mvua zilizoanza kunyesha novemba mwaka Jana hadi sasa ni nyingi sana (Elnino) na pengine kilichochelewesha haya mafuriko huko rufiji ni ujazaji maji kwenye bwawa hilo vinginevyo mafuriko yangetokea...
  3. LURIGA

    Kampuni 3 za China zapendekezwa kujenga Barabara ya Njia 4 ya kulipia Tozo (Kibaha-Mlandizi-Chalinze)

    Mkuu hata kama haitakuwa PPP bado serikali italazimika kugharamia hiyo barabara. Na serikali haina kiwanda cha kutengeneza fedha hivyo italazimika kukopa kwenye taasisi za kifedha na bado mtakamuliwa kodi tu ili fedha zipatikane kwa ajili ya kurejesha mkopo. Ukitafakari sana PPP njia rahisi ya...
  4. LURIGA

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://www.youtube.com/watch?v=GXZG74zipkk
  5. LURIGA

    Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Ukiona hivyo ujue asilimia kubwa ya wazee wa kichaga walikuwa town au sehemu mbalimbali hapa Tz na kwingineko wameshaumaliza mwendo. Waliobaki ni watoto wao ambao hawakuzaliwa huko uchagani hivyo hawana connection ya moja kwa moja ha huko. Hiyo inaweza kuwa mojawapo ya sababu zenye mashiko za...
  6. LURIGA

    Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Miaka kumi umejificha tu Dar hata kwenda kwenu hutaki kisa nauli? Achaeni utani kwenye masuala sirias bwana! Ila kwenye mbunye hata ukiambiwa uifuate Katavi nauli itapatikana! :D :D :D Hata kama hamtakwenda kila mwaka lakini mnaweza kujiwekea interval hata ya miaka miwili miwili. LABDA KAMA...
  7. LURIGA

    Kwanini wasichana weupe ni wachafu na wavivu kuliko weusi?

    Nilipokuwa mdogo kabla ya kubalehe nilikuwa sipendi sana wanawake weupe japo kwa wakati huo nilikuwa sijui mambo ya mapenzi au ngono. Nilikuwa nikimuona mwanamke mweupe ni kama vile namchukia/simpendi. Pengine ilitokana na mazingira niliyokulia kutokua na wanawake wengi weupe. Katika wanawake...
  8. LURIGA

    Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

    Mwanzoni Sumaye na Mkapa walikuwa waaminifu sana sema kuna mtu anaitwa Basil Pesambili Mramba ndiye alikuja kuwaharibu ukubwani na wao wakawa majizi. Ila kwa asili Sumaye na Mkapa walikuwa siyo wezi. MRAMBA NI MTU HATARI SANA! :D :D
  9. LURIGA

    Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

    Au ndio wamewaambukiza warangi?:D:D
  10. LURIGA

    Asili ya majina ya maeneo mkoani Manyara

    Na mjomba wake Matonya the great Berger!
  11. LURIGA

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    I think you have a brain-malnutrition. How dare you compare this village with Mwanza? Be serious bwana.
  12. LURIGA

    Serikali achana na kujenga barabara za mwendokasi

    You are right! Naona wewe tunasaifiri wote kimtazamo. Nilikuwa najiuliza sana kwamba hvi hakukuwa na njia nyingine mbadala ya watu kuvifikia vituo vya kupandia mabasi ya mwendokasi? Maana naona hizi ngazi wanazojenga kwanza ni very complicated (umbali mrefu kufikia kituo) lakini pia zinachukua...
  13. LURIGA

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Usilazimishe tufanane sheheee. Mi si size yako wewe endelea na umbumbumbu wako ipo siku utaelewa.
  14. LURIGA

    Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa Majini, je ni mkweli ama ni muongo?

    Ukiona dini yoyote inadai kwamba inamsaidia Mungu kueneza hiyo dini duniani tena kwa nguvu za majambia na farasi jua huyo si Mungu wa mbinguni ni mungu mwingine kabisa. Hakuna mwanadamu anayeweza kumsaidia Mungu wa mbinguni kwa jambo lolote. Na ujumbe wa Mungu huwa hauenezwi kwa ncha ya upanga...
  15. LURIGA

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    SIKU MKIKEMEA MAJINI/MAPEPO/MIZIMU KWA JINA LA MUHAMMAD (S.A.W) NA YAKAKIMBIA AU YAKAMTOKA MTU ALIYEPAGAWA KAMA MIMI NINAVYOYAKEMEA KWA JINA LA YESU KRISTO (YESHUA)NA KUYAAMURU YAMTOKE MTU NA KUKIMBIA NDIO NITAAMINI KWAMBA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
  16. LURIGA

    Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

    Nadhani wewe ni miongoni mwa wachawi maana mchawi hata siku moja hapendi na hataki kujulikana kabisa maana uchawi ni uovu kama ulivyo uovu mwingine kwenye jamii. Hata jina lako tu hapa JF (Kikinga) limekaa/linathibitisha pasi na shaka kwamba yu mkini u-mchawi.
  17. LURIGA

    Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

    Acha Israel ijilipizie kisasi chake. Haya mambo ya kuuwa wapelestina kibao yalianza enzi zile za akina mfalme Daudi. Hivyo sioni ajabu hawa watu kuendelea kuuwana hadi leo!
Back
Top Bottom