Search results

  1. K

    Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

    Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama...
  2. K

    Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Hiyo ni Chai ya kijiweni wazungu siku hizi wameshtuka,
  3. K

    Tunahitaji msaada wako Mh Lukuvi

    Sisi ni watoto yatima wa marehemu mzee Rajabu tuko watoto 9,tuna eneo letu la ekari tatu maeneo ya GOBA karibu na petrol station ya oil link,kuna mama anaitwa Lilian Kileo ametupora eneo letu kwa kushirikiana na mtendaji wa kata ya Goba bwana Mzaganya,tumefuatilia haki yetu baraza la ardhi la...
  4. K

    Soko la strawberry

    Naomba kwa yeyote anayefahamu soko la strawberry hapa Tanzania,nimepanda maeneo ya hedaru nitavuna mwezi wa tano nilipanda kwa majaribio Naona zimekubali
  5. K

    Natafuta machine ya kutengeneza juice(kwa ajili ya kiwanda kidogo)

    natumaini wote ni wazima mimi ni mjasiria mali wa matunda nina wazo la kuwa na kiwanda kidogo cha juice(Back yard Industriery)cha juice ya mapera water melon etc, sasa nauliza wapi naweza kupata machine ya kuprocess hizo juice kwa bei nafuu. wasalisha
  6. K

    Ajali ya Basi la Tashirifu leo

    Basi la Tashirifu limepata ajali maeneo ya picha ya ndege leo saa 10 jioni lilikuwa linatokea Tanga majeruhi ni wengi wako tumbi wengine wamepelekwa Mhimbili,cha ajabu kondakta wa basi alikuwa anaziba jina la basi ubavuni kwa makaratasi,ili tusijue ni basi gani lililopinduka,
  7. K

    Anayejua jinsi ya kujiunga na Pay Pal

    Natumaini wote ni wazima wa afya. Mimi nataka kuagiza gari Japan kuna kampuni inaitwa YOSHIDA AUTO ila nimesikia njia nzuri ili nisitapeliwe initumie Pay Pal. Sasa naombeni msaada hiyo huduma inatolewa na benki gani hapa Tanzania au nikitaka kujiunga nifanyeje?
  8. K

    Volkswagen golf

    Nimatumain yangu wote wazima, mimi niko intreresetd sana kununua Volkswagen golf ya mwaka 2000, cc 1600 au cc1800, kwa sababu naona magari aina ya Toyota bei iko juu, je spea zake hapa tanzania zinapatikana pili mafundi wakutengeneza hizi gari wapo hapa kwetu tanzania pia kati ya VW ya cc 1600...
  9. K

    Car from south africa

    Nimatumaini yangu wote ni wazima, mimi natakajua kuhusu magari kutoka south africa,kwa nini hapa tanzania kuna magari machache kutoka south africa,watu wengi wanapenda kununua magari kutoka Dubai au Japan, je magari aina ya Toyota kutoka south africa je hayana ubora au ni bei juu sana yeyote...
  10. K

    Msiba mwenge

    Wanafunzi waliomaliza meta secondary form six 1996 na 1997 amefariki mwenzetu Yusufu Mgosi leo kwao mwenge kijijini,alikuwa mwanamichezo alichezea mwenge shooting,New kenda,mungu amlaze mahala pema peponi amina
  11. K

    Wapi nitapata badhaa kama hizi

    Watanzania wenzangu nauliza wapi nitapa bidhaa zenye ubora kama mikate ya siha,maziwa ya kcc,juice za tanglod,beef za tanganyika packers,tanbond,superghee e.t.c kiwanda gani kinatengeneza bidhaa kama hizi hapa tz leo hii
  12. K

    kibaha inatisha

    Ndugu wana jamii naombeni ufafanuzi juu ya sheria,kwani kuna kanisa la kilokole limejengwa katikati ya makazi ya watu maeneo ya mabibo makuburi,ifikapo siku za ijumaa kuanzia saa nne usiku wamekuwa wakipiga mziki kwa sauti kubwa,je kuna sheria inaruhusu kupìga mziki kwa sauti kubwa?imekuwa kero...
  13. K

    Je unakumbuka viwanda hivi?

    Wana jf leo nataka kuwakumbusheni ya viwanda ambavyo vilifanya kazi kwa ufanisi ila vikafa kama Tameco,Ufi,ZZK,SUNGURA TEX,TANGANYIKA Packars,je tatizo lilikuwa wapi?na tunashindwa kuvifufua
  14. K

    Ushirikina kibaha

    Mimi nimfanya biasha nilikuwa nataka kufungua duka kibaha,ila nilipewa tahadhari kabila linaitwa wagweno,ndio wafanya biashara wengi,wanaogopeka sana kuwa wachawi, utafiti niliofanya kweli wanaogopwa je tutafika
  15. K

    Mbunge agawa pesa

    Mimi ni mfanya biashara nilikuwa nataka kufungua duka la jumla kibaha,wenyeji wangu wakanieleza kuna kabila la wangweno,hawataki mtu mwingine kufanya biashara kama sio mgweno watakuloga,kwa utafiti wangu wanaogopeka sana kibaha,je tutafika kama watu bado wanaimani za kichawi kwa kiwango hiki
  16. K

    Kumbukumbu ya Watoto wa Mujini Walitutangulia Unamuongeza Nani?

    Kumbu kumbu ya watoto wa mujini waliotutangulia!! Unamuongeza nani?? Jamani kama mdau wa zamani natoa heshima ..kwa kaka Michu ..HILI chapisho lipo pale kwake nimeona nililete hapa seating room....samahani kama nimewakwaza ...lakini hiyo list imenikumbusha mbali sana waakati tunakula raha...
  17. K

    Mbunge agawa pesa

    Mbunge wa ccM jimbo la kibaha,stanley Koka siku ya jpili alikuwa akigawa pesa ktk vikao vya harusi nane, kwenye bar iitwayo Bamboo mbunge huyo alikuwa akilalama pesa katumia nyingi kwenye uchaguzi wamsamehe kwa kutoa kidogo mchango wa harusi,mbunge huyo ambaye hakubaliki anajitahidi kurudisha...
  18. K

    Juma mkambi-general afariki dunia

    Yule mchezaji wa yanga na timu ya taifa juma mkambi afariki dunia ktk hospital ya taifa mhimbili jana usiku,RIP
  19. K

    Kuna nini tia?

    Kuna kitu gani kinaendelea tanzania institute of accountancy,kwani kuna nafasi ya principal wa chuo ilitangazwa tangu mwaka wa jana, nashangaa imerudiwa tena, inamaana tanzania hakuna watu wenye sifa zinazohitajika kushika hiyo post,kwani tunasikia kuna mmoja wa malecturer anasoma phd kwa nguvu...
Back
Top Bottom