Search results

  1. M

    Napenda sana chupi ya kike, napenda sana matiti ya mwanamke

    Unamaanisha hao wanawake wanaoonyesha matiti na chupi nao wanauza?
  2. M

    Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help-shukrani kwa wanajamii

    Mungu aendelee kukubariki kwa kuchukua uamuzi mzuri wa kuachana na mume wa mtu. Endelea kumtumikia na kumtumainia Mungu kwani yeye ndo anajua ni yupi aliyekutayarishia ili awe wako wa milele.
  3. M

    Nini cha kufanya ukimfumania mkeo redhanded huku bado unampenda!!!!!

    Shombo si ndio kawaida yake ile kitu..............lazima wanawake mtasema hayo maneno kuwa asamehewe na hii inaonyesha wazi kuwa michezo hii ndo desturi yenu wengi wenu. Mnataka amsamehe ili baadae aje kumuuwa kwa ukimwi ndo mtafurahi, huyo mwanamke ni kicheche na hawezi kubadili hiyo tabia...
  4. M

    Nini cha kufanya ukimfumania mkeo redhanded huku bado unampenda!!!!!

    Hii kitu yako nimeisoma halafu inaonyesha japokuwa ulianza kwa kusema wewe huwa hutoi hizo siri za watu lakini ukweli ni kwamba wewe sio mshauri mzuri na unapenda sana umbea kujua matatizo ya watu halafu uyatangaze kama ulivyofanya kuja kuyatangaza hapa matatizo ya huyo bro wako. Pia Bi mkubwa...
  5. M

    Imebaki SEXY Legs tu! mweeeeee....

    umekuwa mimbalized!!, pole eeeh mtoto mzuri ila ungeweka na photo ya juu juu hivi ingekuwa poa
  6. M

    Askari aliyemuua Mwangosi achongewa 'birth certificate' feki

    Wee nae vipi? au unajifanya mgeni na nchi hii, hao pilisisiemu walikuwa na haja ya kumkamata huyoo muuajii mwenzao? tokea mwanzoni walishaanza kupindisha habari na kusingizia kuwa kuna kitu kizito kilirushwa kutoka upande wa wanachama wa Chadema, hiyo story ilififia baada ya kuona wanaharakati...
  7. M

    Unajuaje kama msichana ana mtoto au ameshawahi kuwa na mtoto...

    aaagh!!!! what kind of question is this?
  8. M

    Unajuaje kama msichana ana mtoto au ameshawahi kuwa na mtoto...

    Mkuu, wewe ulipomtokea huyo binti nia yako ilikuwa umkamue yeye au ulitaka umkamue na mwanae? unaulizia habari ya mwanae kwani unataka umuhesabu kwenye sensa?
  9. M

    moyo wangu unavuja damu

    yeah! nilianza kukuonea huruma huku nusu ya nafsi yangu ikikupongeza kwa upendo na kumjali mumeo. Ni kweli haya mambo yanatokea au hata kama siyo jambo hilo exactly basi linalofanana na hilo. Mungu ni mwema tumuombe tu awape mawazo sahihi wale wote wanaokutwa na matatizo ya aina hiyo wapate...
  10. M

    moyo wangu unavuja damu

    Daaaah!! snowhite yaani nilikuwa nasoma kwa makini mno huu ujumbe wako, nilihisi Daktari kakula mzigo kumbe ni nukuu za wimbo. Ila kama Dk kala mzigo poa tu umeokoa uhai wa mumeo na inabidi umwambie mumeo hata akikuacha haina noma Mungu atakulipa kwa wema wako wa kuokoa uhai wake na pia...
  11. M

    Nape Nnauye asema umefika wakati wa UAMSHO na JUMIKI kufutwa na mrajisi wa Serikali ya Z'Bar

    Mamba ambaye CCM walikuwa wanamfuga kwenye mtungi leo hii amekuwa mkubwa, kavunja mtungi na ameanza kula watoto wa mfugaji..............Hiyo ni mwanzo tu hadi pale CCM mtakapoacha sera zenu za kupandikiza udini.
  12. M

    kwa aliye-SINGLE TU.

    khaaaa!! hivi kweli bado kuna wanawake wenye mentality ya spending tu dunia hii ya sasa hivi ambao wanategemea mkwanja kutoka kwa kidume?. Thanx God kwa kunipa mwanamke mchakalikaji na anayejua nini maana ya maisha ya kusaidiana. Kwahiyo mleta uzi unamaanisha unataka hapa jamvini ajjitokeze...
  13. M

    Wanajamvi tu-enjoy na hii kitu.

    Wanaruhusiwa lakini most of them wanapost vitu nonsense ambavyo haviendani na kama vile jinsi JF inavyojipambanua kuwa ni 'Great Thinkers Forum''.
  14. M

    Mke wangu wa NDOA ananilazimisha nitoke nje ya Ndoa

    Umempa ushauri mzuri lakini kwa upande wangu nahisi jamaa anamegewa na kidume kingine pembeni. Mwezi mmoja bila ya kuchana marinda halafu wanandoa?, hapo lazima kuna kitu kinaendelea........
  15. M

    Nimeshanganyikiwa Sijui ntafanyaje naombeni wenu wanaJamiiForums

    umeona enheee!!!........yaani watoto wanasumbua hatari hapa ila shule zimefunguliwa tayari watapungua, tusubirie likizo ijayo waje tena kuleta kesi zao za kujazana mimba shuleni huko. Mtu anakuja kuuliza hapa habari za kulana koni na demu wake, si aende kwa Bakhresa wana[potengeneza koni ndo...
  16. M

    so sad!!!!!!!

    .....................halafu sio huyo mdada aliyemfanyia huyo mtoto ndo pekee anatakiwa alaaniwe, hata wadada watu wazima mnaofanyiana hiyo michezo ya kutiana vidole na midude yenu ile ya bandia mlaaniwe!
  17. M

    Serikali ya Tanzania na Siasa za Bakwata: Ushirikiano wa Dhulma

    Upo sahihi kwa kiwango kikubwa ila katika ufaulu wa haya masomo ya dini ikiwa wanafunzi wa dini ya walalamishi hata wote wapate A na B halafu wale wanafunzi wa dini ya wasio walalamishi wapate wote D na F sidhani kama kutakuwa na tatizo sana ukifananisha na ikitokea kinyume chake. Ufike wakati...
  18. M

    Kwanini Chadema wanasafiria nyota ya Mwangosi?

    Wee Barubaru!!, kwani yule aliyeuawa Morogoro alikuwa katika ule mkutano wa Chadema au alikuwa pembeni kabisa akiuza magazeti(kama siyo hivyo nirekebisheni)? Chama kikubwa kama Chadema hawawezi kufanya msiba wa Mwangosi kuwa mtaji wake kisiasa na kama utafuatilia vyema utagundua kuwa malalamiko...
  19. M

    Chama kipi ni kizuri kwa CCM?

    Nii kweli kabisa uyasemayo kwa wakati ule waliwafanyia propaganda hizo coz walikuwa ni threat kwao, baada ya kuwapunguza nguvu si tishio tena kwa ustawi wa CCM ndo maana waka-join nguvu Zenji na ss wamekuwa mwili mmoja kiasi kwamba bungeni wabunge wa CUF kuwapinga CCM ni ishu sana hata kama kitu...
  20. M

    Chama kipi ni kizuri kwa CCM?

    Kwa sasa hivi Chama kizuri kwa CCM ni CUF hii ni kutokana na kiapo chao cha ndoa waliyofunga huko Zanzibar kuwa watapendana daima milele mpaka pale kifo kitakapowatenganisha.
Back
Top Bottom