Search results

  1. Kirikou Wa Kwanza

    Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

    Lissu ni msanii tu! Kujifanya kumuomba Rais ni njia ya kuwateka wajinga kama wewe! Angelitoa taarifa ya kuomba na kutokupewa ushirikiano kwenye idara husika tungelimuelewa.
  2. Kirikou Wa Kwanza

    Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

    Nyumbu wanasiasa za kitoto sana! Leo wanaamua kula matapishi ya Zitto, bila haya wanampigia magoti Samia amuachie huru Freeman. Sasa utajiuliza Freeman aachiwe huru kwa lipi? Utawasikia eti kesi ya kubumba...Hahaha kesi ya kubumba! Sasa nyumbu kwa nini msiache mvua iendelee kunya tujue wapi...
  3. Kirikou Wa Kwanza

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    Wameshindwa kuishi na waume zao. Ni muda sasa wanashindwa pia kuishi na watoto wao. Hili kabila ni takataka!
  4. Kirikou Wa Kwanza

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kuna wakati Roy, alisema tatizo sio kocha; tatizo ni players. Tuna wachezaji wasiojali wala kuumizwa na matokeo.
  5. Kirikou Wa Kwanza

    Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Matatizo ya nchi hii ni ya siku nyingi na yanatia aibu. Kwangu mimi jambo la msingi uwekwe utaratibu wa kuweka hizi taarifa wazi kama kilio cha wengi kinavyotaka. Hiyo mistari mingine anayorap Assad, ni maneno tu ya kisiasa ya sungura sizitaki mbichi hizi (UNAFIKI) UNAFIKI ni hazina kubwa kwa...
  6. Kirikou Wa Kwanza

    Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Ewe malaya toa maoni kwa kitu unachokielewa vema, acha kubweka hovyo kama mbwa koko! Changia kwa adabu na uwe na hekima kwenye maandishi yako.
  7. Kirikou Wa Kwanza

    #COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

    Mama anaficha tu makucha. Covid tumeishinayo tangu wakati wa kipenzi chetu... Nini hasa asichokijua huyu mama, hiyo kamati ina jipya gani? Yani mapema sana mambo yameanza kuwa kiza. Kweli mwanamke ni mwanamke tu! Wapiga vigelegele muda sio mrefu mtaanza kutafuta leso kufutia machozi.
  8. Kirikou Wa Kwanza

    Vichekesho vya CHADEMA kuelekea uchaguzi 2020

    Shikwambi ingetumika, ingeleta kilio maradufu
  9. Kirikou Wa Kwanza

    Watapokosa fedha za Miradi mbalimbali kwa kunyimwa misaada na mikopo, wataanza kulaumu Wapinzani hata kama Bunge litakuwa lao

    Tayari ng'ombe kaelekea kibra. Hizi tabiri za kushindwa! Pepo shindwaaa, shindwaaa pepo, toka tokaaa AIMEN!
  10. Kirikou Wa Kwanza

    Uchaguzi 2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

    Haka kajamaa ni kazushi hatari hahahahaha
  11. Kirikou Wa Kwanza

    Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    We mwanamke upo Znz? Au unapiga tu mikwara nyuma ya batani za simu?
  12. Kirikou Wa Kwanza

    Kwa hatua niliofikia sasa mapenzi hayatonisumbua akili tena

    Wote bado watoto. Hii comedy isikomee hapa, mwisho wa mwezi ulete mrejesho.
  13. Kirikou Wa Kwanza

    Baada ya kupita barabara ya juu ya Ubungo Interchange, nimewaza tofauti

    Acha ubinafsi kijana, ulitaka ikusaidie wewe ndio uone ukamilifu? Inawasaidia Watanzania wengine wenye kuifikia, wewe baki huko huko kijijini kwenu zumbukuku wewe!
  14. Kirikou Wa Kwanza

    Picha: Mbunge maarufu Joyce Mukya

    Kadada bado katamu haka, mwenyekiti amejiongeza kwa kugonga konyagi kabla ya show.
  15. Kirikou Wa Kwanza

    Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Wananchi walivunjika mbavu waliposemewa hiyo hotuba. Sasa wanasubiri vichekesho vya Msigwa.
  16. Kirikou Wa Kwanza

    Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Diamond mtoto wa juzi awe na walinzi, huyu mzee anayepigana kuongoza nchi akose ulinzi, serious hivi ruzuku wanafanyia kazi gani? Kiongozi mkubwa wa chama kuwa na ulinzi ni moja ya maendeleo.
Back
Top Bottom