Search results

  1. C

    HUYU KIJANA ASAIDIWE KUPATA ELIMU YA JUU

    MH MBUNGE ZITTO ZUBERI KABWE ALIKIRI KUSHIKWA MKONO KTK ELIMU YAKE NA MAREHEMU SAMWEL SITTA (R.I.P) LEO WEWE UKO WAPI? MSHIKE MKONO KIJANA. WABUNGE WOTE NA WADAU MBALIMBALI MSAADA WENU NI MUHIMU SANA. #WATANZANIA NIMEONEWA#bado nina ndoto ya kusoma* *#NishikeMkonoKatikaSafariYanguYaChuo*...
  2. C

    Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia kutoka kwa wakuu wa shule waliokuwa na kikao na Naibu waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi hapo juzi Mkoani Iringa, mhe. Jennista Muhagama naibu wa wizara hiyo alionekana kuwasihi sana wakuu hao wa shule kuwa wavumilivu na moyo wa subira kwa upungufu...
  3. C

    Mwanamke na mitandao ya kijamii!!!

    Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila...
  4. C

    Wanawake wanaongoza kwa faceless

    Katika kuishi kwako huenda kuna cku ilishawahi ingia call mpya kweny cm yako ikiomba uhusiano wa mapenzi either m/me or m/ke au ktk ambao walishawahi kukuPM ila ilipofika wakati wa kutimiza appointment yenu ya kwenda kuonana kila moja huwa na shauku yakumuona mwenzie akiwa na picha nzur ya...
  5. C

    Mlioni PM na mnaohitaji pia!

    Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia anakosema kaka yng udaktari so nakaribisha wengne waendelee kuni PM mwisho wa cku ntahitaji mmoja tu
  6. C

    Akili kupata raha zaidi ya tendo lenyewe!

    Wadau nakumbuka nikiwa kidato cha sita paper2 physics ilikuwa ngumu sana kuna jamaa yangu tulipotoka akanambia wakati anafanya mtihan invigilator aliposema 30 minutes to time jamaa alikuwa kafanya few questions ghafla alihisi jotooo!! mpaka AKAPIZI (aka ejaculate) akasema raha aloipata...
  7. C

    Maisha ya chuo bila mke!

    Hi wana jf! Katika moja ya vitu ambavyo cjawahi kufikiri ni kuishi kweny jamii wa wanawake wengi kama Udsm halafu utoke bila kupata mke wa kuish nae sas yamenikuta mana ndo namaliza na npo kweny mitihan ila nimejitahidi kuhakikisha na mpata m/ke wa kuishi nae ila kila ninaye mpata naona hanifai...
  8. C

    2015 natangaza nia jimbo la ismani

    Naomba aliye karibu na mh. Lukuvi ampe taarifa kuwa 2015 asigombee maana hatoshinda nimeweka nia ya dhati ya kugombea kwa kuwa amekuwa akitupuuza sis vijana tulioko vyuon huku akiwaambia wananchi kuwa hajaona wanafunzi walofika vyuo vikuu sasa ili afahamu kuwa tupo wengi kuliko anavyofikia...
  9. C

    Njia hii inafaa

    Hi wana jf Moja ya njia nilizofikiria kwa mwanaume kumpata mwanamke mzuri kwa maana ya tabia yaani wife material mweny kuheshimu mume, watu na kulea familia vzr ni kujifanya maskini wa kutupwa ungali tu unamali zako kwa kila mwanamke unayedhani anakufaa sharti acjue ukiona ameshndwa kuvumilia...
  10. C

    Mapenzi kizunguzungu

    Habari wana jf! Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu dsm ninayehitimu mwaka huu , nina rafiki yang ambaye nitahitimu nae ni rafiki yng kwa muda mrefu sn alinitambulisha mpenzi wake (binti) ambaye alikubaliana nae kumuoa miaka michache baadae binti kwa sasa ni mwalimu shule ya msingi ajira mpya...
  11. C

    Trousers down,Brouses up why this?

    Hi wanajf! katika tafiti niloifanya nikagundua kuwa baadhi ya wanaume na wanawake act antagonistic in dressess means when the trousers of men goes down (kata k) the brouses of the women comes up (top up) nimeona nilete kwenu great thinker tuone kama kuna ukwel kwa pande zote, nin faida...
  12. C

    Hivi kwanini sipendi?

    Jamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa wanawake ni wasaliti, wanapenda pesa zaid kuliko mapenz ya kwel na pia lazma agegedwe na watu wengi...
Back
Top Bottom