Search results

  1. M

    Natafuta mkopo wa haraka, milioni 6, kulipa kupitia mshahara wangu

    Nashukuru sana kwa kuchangia. ndugu zangu, ukweli ni kuwa naongezea mtaji wa biashara, na nahitaji fedha kwa pamoja..kikubwa na ninchoelewa, mwenye msaada wa hili atafuata njia zote za kjiridhisha na ninachoomba. hapo juu umechangia vema, hata akina Mengi, nao wanakopa sasa usiseme mbona ana...
  2. M

    Natafuta mkopo wa haraka,... Milioni 6 ... Kulipa kupitia mshahara wangu

    Asanteni kwa kupitia uzi huu na kujibu. Pengine kwa kirefu, ni baishara nafanya, hesabu zangu, ni kuwa nimepata eneo jipya, naweza kulipia kodi na kulipia vifaa kidogo, ila kuna vitu vitahitajika ili kuakamilisha biashara hii kubwa ianze. sio kutapeli, unaweza kuona mkatabata wangu wa kazi...
  3. M

    Natafuta mkopo wa haraka, milioni 6, kulipa kupitia mshahara wangu

    Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=. Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani...
  4. M

    Natafuta mkopo wa haraka,... Milioni 6 ... Kulipa kupitia mshahara wangu

    Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji.natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu, net salary ni 3,264,000 na January net salary itakuwa 3,600,000. Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam.Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze...
  5. M

    Public address system- vyombo vya matangazo natafuta kununua

    Natafuta PA system(amplifier, speaker , microphone nk) kwa pamoja inaitwa PA system. 1.Tafadhali kama kuna mtu anauza iliyotumika(used), nitajie na bei yako tafadhali 2. Pia kama kuna mtu unajua kwamba zinapatikana wapi naomba nijulishe pia tafadhali, bei na mahali ninapoweza kununua Mimi nipo...
  6. M

    Fundi wa kushona Uniform

    Mimi nitakusaidia kazi hiyo, nina mafundi wa kutosha, nina ofisi mbili tabata kimanga stendi kabisa, na pia tabata DA WEST.....kARIBU SANA,bei naamini hatutashindana, kazi, ubora wake ndio la msingi kwanza...Sample nitakushonea bure. pia naweza kuja ofisini kwako,tukaongea vema, ili kuokoa muda...
  7. M

    Rungwe Magharibi KUMEKUCHA, Watatu waonesha Nia mpaka muda huu kupitia CHADEMA

    Hii mmeitoa wapi? ni vema mkawasiliana na makatibu wa Chama Jimbo wawape majina yote mpate kuwajua wote. Nafahamu mmoja anaitwa AHOBOKILE MWAITENDA Hajaandikwa hapa............naamini wengi watajitokeza, na ni vizuri ushindani uwe mkubwa.
  8. M

    Ofisi inapangiswa sinza mugabe

    Nina ofisi Sinza Mugabe, natafuta mtu wa kupamga naye pamoja, ipo karibu na stendi mpya ya mawasiliano, karibu pia na City style hotel. Mwenye kutana tuweze kutumia pamoja na kuweza kulipia pamoja anijulishe, anaweza ku pm namba yake tukaongea vizuri.. Ofisi ina vyumba viwili vikubwa , ni...
  9. M

    Vidonda vidogo mdomoni (Aphthous Mouth Ulcers)

    Habari wana jamvi, mtoto alikuwa malaria kali, sasa hajambo, yupo safarini, anashindwa kula chakula maana mdomoni kuna vidonda, je dawa gani itamfaa, mtoto ana miaka mitatu. Natanguliza shukrani
  10. M

    Vioo na frame zake vya salon natafuta

    Nashukuru sana sana kwa maoni, uliotoa ni msaada mkubwa; 1.Je naweza pata msaada wa mahali ilipo Radium Salon Equipment, ikiwezekana na mawasiliano yao kama unayo, 2.Je unamjua fundi yeyote mwenye michoro na anayejua kutengeneza, please kama una simu yake pia nitashukuru kupata.
  11. M

    Vioo na frame zake vya salon natafuta

    Nashukuru sana sana kwa maoni, uliotoa ni msaada mkubwa; 1.Je naweza pata msaada wa mahali ilipo Radium Salon Equipment, ikiwezekana na mawasiliano yao kama unayo, 2.Je unamjua fundi yeyote mwenye michoro na anayejua kutengeneza, please kama una simu yake pia nitashukuru kupata.
  12. M

    Vioo na frame zake vya salon natafuta

    Wana JF, Je naweza pata wapi vioo vya salun na frame zake....vile vioo vya hadhi kubwa...mwenye kujua vinapatikana wapi nitashukuru
  13. M

    Mkopo wa haraka unahitajika, millioni 8, naweza kuweka gari rav 4

    Asante mkuu nimeku PM twaweza kuongea vizuri ndugu yangu
  14. M

    Mkopo wa haraka unahitajika, millioni 8, naweza kuweka gari rav 4

    Asante kwa ushauri, hao jamaa wa kinondoni wapo sehemu gani, na kama una mawasiliano yao tafadhali
  15. M

    Mkopo wa haraka unahitajika, millioni 8, naweza kuweka gari rav 4

    mkuu asante,,,,namba imekosewa kidogo,hakuna digit moja.....msaada wako tafadhali,touongee vizuri
  16. M

    Mkopo wa haraka unahitajika, millioni 8, naweza kuweka gari rav 4

    Mkuu naomba uni PM namba yako nikurushie kwa whatsapp
  17. M

    Mkopo wa haraka unahitajika, millioni 8, naweza kuweka gari rav 4

    Natafuta mkopo wa millioni 8, nitazirudisha ndani ya wiki 2,au kabla ya wiki mbili....nina jambo la haraka, ninaweza kuweka dhamana ya kadi ya gari,au ukakaa na gari kabisa, lakini pia utakuja upafahamu nyumbani kwangu. Kuna jambo natakiwa kutumia fedha hizo, sasa hivi na narudisha ndani ya...
  18. M

    Natafuta mkopo wa million 7 na nusu- kurudisha mil 8 ndani ya mwezi mmoja

    Toyota rav 4, ya mwaka 1994 lakini pia waweza fika ofisini kwangu,na nyumbani kwangu
  19. M

    Natafuta mkopo wa million 7 na nusu- kurudisha mil 8 ndani ya mwezi mmoja

    Natafuta fedha millioni 7.5 na niaweza kurudisha million 8 ndani ya mwezi mmoja. Dhamana kadi ya gari....Naomba msaada wenu, nina jambo natakiwa kutatua ndani ya mwezi mmoja. Natanguliza shukrani..... Mbarikiwe
Back
Top Bottom