Search results

  1. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Chanika maeneo ya Mvuti mtaunganisha lini umeme? Miundombinu yote tayari na watu wachache wameunganishiwa. Ni mradi wa REA.\ shukran
  2. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mkuu nahitaji umeme wa TANESCO...nilipo kuna mradi wa REA na baadhi ya watu wachache wamewashiwa wengine tukaambiwa tusubiri...imepita mda mrefu hatujatumiwa hata ujumbe kwenda kulipia...naweza kulipa TANESCO nipate huduma hii? shukrani.
  3. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Miundombinu yote tayari imeshafika na survey imeshafanyika na baadhi ya watu kuunganishiwa umeme...ninachoomba kujua ni kama naweza kulipa gharama hii ya tsh. 150,000+VAT kupata huduma hii mapema zaidi? shukrani.
  4. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mchanganuo mzuri kabisa... naomba kuuliza..je naweza kulipa gharama hii ya REA kuweza kupata huduma hii mapema zaidi bila kumsubiri mkandarasi wa REA? Survey imeshafanyika ila ni mda mrefu sasa waliopata umeme ni wachache sana. shukrani.
  5. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kujua utaratibu uliotumika kwa watu waliolipia umeme na sasa kuanza kuunganishiwa bila taarifa rasmi kuwafikia wengine. Kwa sasa baada ya taarifa kusambaa zoezi la malipo limesitishwa hatujui hatma yetu ambao hatukupata taarifa na kulipia. ahsant.
  6. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    nashkuru sana kwa kuijali post yangu na kujibu... naomba kujua tutegemee lini kwa makadirio. shukrani tena.
  7. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    TANESCO/REA -Kisarawe...tunashkuru kutufikishia huduma ya umeme maeneo ya kati ya Mvuti na Chanika. Naomba kujua lini mtatuwashia umeme...Kila kitu tayari hadi transformer ila hatujajua lini tutakwenda kulipia na kuwashiwa. asant.
  8. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO/REA -Kisarawe...tunashkuru kutufikishia huduma ya umeme maeneo ya kati ya Mvuti na Chanika. Naomba kujua lini mtatuwashia umeme...Kila kitu tayari hadi transformer ila hatujajua lini tutakwenda kulipia na kuwashiwa. asant.
  9. M

    VIWANJA VILIVYOPIMWA/VINA HATI KIGAMBONI VINAUZWA

    ok ..hiyo 158 ni ramani ya vyumba vingapi?
  10. M

    VIWANJA VILIVYOPIMWA/VINA HATI KIGAMBONI VINAUZWA

    unamaanisha mtr 12. kwa 12. hapa utajenga nyumba size gani mkuu..
  11. M

    VIWANJA VILIVYOPIMWA/VINA HATI KIGAMBONI VINAUZWA

    sasa sqm 158 utajenga nyumba gani km 20 X 20 ni sqm 400?
  12. M

    VIWANJA VILIVYOPIMWA/VINA HATI KIGAMBONI VINAUZWA

    mmmh naomba tuoneshe mathematically mtr 20 X 20 ni sqm ngapi pls
  13. M

    Upatikanaji wa Umeme wa REA

    Naomba mwenye ujuzi anijulishe hatua za kufuata katika kupatiwa umeme wa REA. Shukrani.
  14. M

    NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

    NITUMIE PLS YA UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOL
  15. M

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    ni kweli mkuu ila kwa maelezo yake inaonekana kabisa anataka watu wamwambie atoe hiyo mimba kitu ambacho ni kinyume na mafundisho ya dini zote......Daktari anaweza kuwa na ujuzi wa kwamba kuna madhara gani ktk hali km hiyo. vinginevyo tutatumia hisia tuuu zisizo na hoja za kitaalam hata kidogo
  16. M

    Hivi ni kwanini mwanamke akisha kupa papuchi hamu ya kuwa naye inapungua?

    acha uzinifu kijana....ungekua Mwislam ktk nchi ya kiislam ungestahik fimbo 100 km umeoa adhabu ya kifo ingekuhusu.... pia km mkristo pia kuna adhabu.....hakuna ruhusa ya kuzini ktk hizi dini mbili.
  17. M

    Hijab kwenye shule za kikristo

    we wengi sana
Back
Top Bottom