Search results

  1. upendodaima

    Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

    Alibadili lini jina? Kwa waliopita Tabora School watakumbuka list ya Head Prefects waliopita ambayo ipo pale mess jina lake likiwepo pia na linasomeka Jenerali Ulimwengu,hiyo list ipo miaka nenda rudi.
  2. upendodaima

    Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Na alithibitisha vipi kuwa ni Heroine pale pale eneo la tukio kabla ya kupelekwa sample kwa mkemia mkuu wa Serikali?
  3. upendodaima

    Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

    Hii sasa ndio Alfaxadi aliyokuwa anaisema yule afande.
  4. upendodaima

    Polepole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu

    Kijiwe kimekuwa kigumu ghafla,kaanza kulialia.
  5. upendodaima

    Hamza atakuwa alijifunzia wapi ile silaha ya kivita?

    Utasikia 'Rijambazi rimeuwawa katika makabiriano makari na porisi' hovyooo.. Hivi siku watokee wahuni kama wale wa West Gate sijui itakuaje,mungu epushia mbali. Hawa kazi kuzuia maandamano na kupiga risasi hovyo hovyo,ndio hizo mara zitue kwa kina Akwilina.
  6. upendodaima

    Sakata la Hamza, Mwalimu Makengeza atoa pendekezo

    Hata wewe jamani unashindwa kuelewa fasihi ya mzee Mabala the Farmer?
  7. upendodaima

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Jamani nimeacha tena pombe. Note: Hii ni mara ya kumi naacha pombe,mara ya kwanza ilikuwa 2008 nilidumu kwa muda mrefu zaidi miezi 6. Asanteni na kazi njema.
  8. upendodaima

    Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Ninachojua ni kwamba kumekuwa na mzunguko wa Catholic na Islam tu. Nyerere-Catholic Mwinyi-Islam Mkapa-Catholic Kikwete-Islam Magufuli-Catholic Samia-Islam .....
  9. upendodaima

    Kenya: Afisa wa jeshi afariki baada ya kuumwa na mpenziye

    Hao KDF ndio watokomeze Al-Shabbab kama anang'atwa tu na manzi anarudisha namba..!!
  10. upendodaima

    Rais anapoteua Mawaziri wenye uwezo mdogo, Ukisema Waziri fulani ana uwezo mdogo, Je ni kumwingilia Rais katika uteuzi?

    Mkuu pole kwa maombolezo. Natumai mheshimiwa ana timu ya kutosha kabisa kwenye kampeni za ukiranja wa malaika huko.
  11. upendodaima

    Hiki Kigari Suzuki Swift nimekiona kina Uongo fulani tofauti na Nyenzie

    Ulikuwa unakapiga 'Doggy' hako ka Suzuki Swift kenye madoido?
  12. upendodaima

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeipenda sana hii option,nimejaribu hivyo.. Itakuwa vizuri ukishare na wewe mkuu,thanks in advance..
  13. upendodaima

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa wamenishangaza sana aiseh,wanaombea mwenzao apigwe wtf..!!
Back
Top Bottom