Search results

  1. Pretty

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Ohh no 🥲, he was such a good man. May he rest well .
  2. Pretty

    Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

    I like Mange's drama, na divorce ni kawaida now days.
  3. Pretty

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    ......Aisee siamini bado, pole sana Habiba Filikunjombe, umebaki mjane ukiwa bado mdogo.
  4. Pretty

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    .......kweli kizuri hakidumu, member mwenzetu huyu wa jamii forum, japo hukutumia jina lako halisi...nikikumbuka mada zako za MMU NA Jukwaa la siasa na ushauri wako Deo Filikunjombe siamini kama haupo tena. BWANA AMETOA NA KUTWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
  5. Pretty

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    ...........Nafuu apate mwanamke, wanaume wameshashindwa kuendeleza hii nchi.
  6. Pretty

    TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

    .......Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.
  7. Pretty

    Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

    .......Huyo soda tu mbona nafuu!! Mie nilikuwa nataka kuku wa kienyeji mchemsho kila siku na soda ya fanta ndio maji. Huwa nikikumbuka nacheka sana, we vumilia......akishusha tu hata tamani hiyo coke. Ni hormones za mimba hizo.
  8. Pretty

    Wadada na Wakaka wengi waliokwenda nje kusoma/kufanya kazi, wanarejea wakiwa hoi

    .......Mie pia mla vumbi, ila nawaonea wivu wabeba box. Hawana mifoleni ya ajabu ajabu barabarani. Maji na umeme wanapata all the time, hawana mgao hao. Huduma za afya kwa raha zao. Mgojwa akizidiwa, ambulance ipo mlangoni ndani ya 10 mins. Yaani kwa kweli wana raha sana. Sasa huku Tanzania...
  9. Pretty

    Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    .......I like it.
  10. Pretty

    Wadada na Wakaka wengi waliokwenda nje kusoma/kufanya kazi, wanarejea wakiwa hoi

    .........Ligi ya wala vumbi na wabeba box huwa inachekesha sana.
  11. Pretty

    Kutoka mwanamme kwenda kuwa mwanamke, maajabu haya

    ........Dahhhh!! Yaani huyu baba!! 60+years kuchange gender!! Ni mgonjwa huyu, si bure.
  12. Pretty

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    ...........huwa sielewi hapo nilipoweka nyekundu, yaani ndoa ni karaha hakuna raha halafu msiachane kwa kisingizio cha ndoa ya kanisa. Hivi ndoa ni ya watu wawili au kanisa? Haya ni mambo ya kizamani sana aiseee!!
  13. Pretty

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    ...........Kwa nini wewe ulipe ada ya mtoto na wakati baba yake yupo? Huyo mwanamke ana lake jambo, je yeye hafanyi kazi hadi anakupa wewe jukumu la ada? Pole sana, ndio mitihani ya maisha. Ila suala la kumuacha, wewe ndio mwamuzi. Kuoa mwanamke mwenye mtoto si tatizo, ila kama bado anakuwa...
  14. Pretty

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    ...........Aisee mbona hatari!! Yaani marehemu hajasifiwa hata kidogo, kila mtu naona anamponda humu. Ila inatupasa kuishi vizuri hapa duniani, maana hatujui siku wala saa.......tunatembea na mauti muda wote.
  15. Pretty

    Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

    ..........Nimejaribu mafuta ya karafuu, nimeweka kwenye jino tokea juzi haliumi tena. Ngoja nisikilizie hii clove oil, kabla ya sijaenda kwenye pee.
  16. Pretty

    Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

    ........nina shost wangu kaniambia na mafuta ya karafuu nayo dawa ya meno. Je MziziMkavu unajua kwamba clover oil ni dawa ya meno pia kama yanauma?
  17. Pretty

    Feedback: Mkojo umetibu maumivu kwenye meno yangu

    .............Sijawahi kutoa jino, mwezi uliopita nikaanza kuumwa jino. Nimeenda kwa dentist leo kufanya check up. Nikachukuliwa xray na kuambiwa jino lipo infected, nimepewa antibiotic na some pain killer. Nina appointment ya kufanyiwa root canal 2 weeks from today, ambayo itacost mafedha...
  18. Pretty

    MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    ......Pole sana, inasikitisha kwa kweli.
  19. Pretty

    Mamaafacebook apata ajali

    ..........pole sana, get well soon.
  20. Pretty

    Nimekutana nae tena binti aliyenisaliti

    .........mambo ya ex-bf na gf mara nyingi baadhi yao wakikutana wanakumbushia. Haswa kama kweli mlikuwa mnapendana kiukweli kweli. Ila kuwa makini, usije kuukwaa ukimwi au kumbebesha mimba huyo ex.
Back
Top Bottom