Tazara siyo SGR bali ipo katika kundi la narrow gauge (Cape gauge) ambayo upana wake ni 1367mm (3 feet 6 inches) wakati SRG upana wake ni 1435 mm (4 feet 8.5 inches)
Shamba lenye ukubwa wa ekali 38 pamoja na miti yake aina ya mpaina yenye umri wa miaka 5 naliuza. Shamba lipo wilayani Mufindi maeneo ya Mudamulo-Mafinga. Ekali moja ni sh. 1,000,000 tu. Unaweza kununua kwa kukatiwa idadi ya ekali kulingana na uwezo fedha yako au shamba lote. Sababu ya kuliuza...
Foleni haitokwisha kabisa pale Tazara maana mchoro uko simple sana umewarahisishia waendao na kutoka airport tu lakini wanaotumia mandela road na kulazimika kukunja kushoto au kulia walazimika kusubiriana na wanaonyoosha moja kwa moja.
Jamani nafasi za masomo kwa mwaka 2016/2017 ndo hizo zimetangazwa. Mnakaribishwa kuomba kozi husika. Tazama kiambatanisho kwa maelekezo zaidi. Maombi yanafanyika online kwa link hii https://aris2.udsm.ac.tz/pgoa
Jana Rubani wa air tanzania alilazimika kukatisha safari ya kutoka Dar kuelekea Mbeya baada ya mfuniko wa tenki la mafuta kufunguka wakati ndege ikiwa angani maeneo ya anga la Morogoro. Baada ya mfuniko kufunguka, mafuta yalianza kuvuja hivyo rubani kuchukua uamuzi wa kuirudisha ndege Dar ambako...
Hilo lilishatolewa ufafanuzi na Tume ya uchaguzi miaka ya nyuma kuwa wanafuata alphabetic order ya majina ya vyama. Ukiangalia vifupisho vya majina kama CCM, CHADEMA,CUF, DP, TLP, UDP, UMD, UPDP, nk. CCM ndicho kinapata advantage ya kuanza. Bahati mbaya sana CCJ hakikufanikiwa kupata usajili wa...
Kusema ukweli Nyerere alitoa mchango mkubwa sana kuliko Mandela kwa bahati mbaya kambi yake ambayo inge eneza yale mazuri aliyosimamia imefutika kweye uso wa dunia (usoshalist). Wamebaki mabepari ambao kwa kutumia vyombo vyao vya habari wanataka kuiaminisha dunia nzima kuwa Mandela ndio kila...
Karibu Dr. Slaa. Huu ndo muda mwafaka wa kudodosha kuta za JERICHO (Chama Cha Mafisadi). Naahidi kutumia nafasi yangu kuhakikisha ushindi wenye kishindo kikuu unapatikana kwako na kwa CHADEMA na kwa watanzania wote wanaochukia ufisadi
Wala si waziri aliyeyatamka maneno hayo bali ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Jakaya Kikwete ndiye aliyetamka hivyo wakati akifunga Bunge la Muungano tar 16/07/10.
Nanukuu sehemu ya hotuba;"Katika kipindi hiki pia tumepandisha kima cha chini cha mshahara ya watumishi wa...
Unakuwa kama mgeni? Tanganyika na Zanzibar wanashare jeshi. Kitakachozuia nchi za jumuiya ya Afrika mashariki zisishee jeshi ni nini? Ni suala la makubaliano, utashi wa kisiasa wa nchi husika na umahiri wa mtu atakayeileta hoja na kuhakikisha inafanikiwa na kutekelezeka kama Nyerere...
Poleni sana wanafamilia na wale wote wanaotetea demokrasia ya kweli katika nchi hii. Lakini moto wa mgombea binafsi hauta zimika labda watumalize watanzania wote wenye mitazamo kama ya prof. Mwaikusa
RIP Prof. Mwaikusa
Nchi ya Zanzibar huenda ikafutika kwenye uso wa Dunia kama nchi iliyoungana na Tanganyika na kubaki kama mikoa ya Tanzania. Hii ni kwa sababu jina linalotakiwa kuzitambulisha nchi mbili zilizoungana (Tanganyika na Zanzibar) yaani Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) au United Republic of...
Ndugu Ramos jaribu ya fuatayo
(i) Ongea na mwenza wako hilo hitaji la kupata mtoto
(ii) mjadiri kwa pamoja jinsi mzunguko wa siku zake unavyokwenda (kawaida mzunguko huanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya bleed na kwa wanawake ambao mzunguko wao ni siku 28 siku ya kuanza kutafuta mtoto ni siku 5...
Serikali katika sera yake ya elimu ilishatamka kuwa lugha rasmi ya kufundisha shule za msingi ni kiswahili na kiingereza kitafundishwa kama somo. Lakini cha ajabu serikali hiyi hiyo inaendesha baadhi ya shule zake kama English medium school. Shule hizi teule ni Olympio, Bunge, Kisutu na moja...
Msemo wa ifindu mafi (chakula ni mavi) umesaidia sana kabila la wanyakyusa hasa wanaoishi vijijini kusaidiana sana katika masuala ya chakula. Je kabila lenu wanatumia msemo gani?
Wangindo.......
Wapogolo.....
Wanyiramba.....
Hatimaye waziri Ngereja amefafanua kuwa kitu kilichowazuia kupitisha umeme chini ya ardhi ni kwa sababu fedha wanazotumia ni za ufadhiri kutoka Shirika la maendeleo la Japani (JICA). Kwa kauli hii inaonyesha kuwa watoa fedha walikuwa na ajenda yao ambayo hawakuiweka wazi. Ajenda yenyewe ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.