Search results

  1. Renegade

    Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    Baba yako ana akili sana, anaona vitu kwa uhalisia, Mungu ambariki aishi sana.
  2. Renegade

    Falling in love...

    Wajukuu bado, mtoto wa kwanza ndio amegraduate UNI mwaka jana, wapili yuko UNI first year.
  3. Renegade

    Falling in love...

    Twelve years ago, its quite a time, Now am really old man, early fifty's.
  4. Renegade

    Rais wa China atangaza Majeshi yakae tayari vita kubwa baharini

    Kwanini ameshindwa kupaki meli hapo?
  5. Renegade

    Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Kwa suala la bodaboda kuilaumu serikali ni makosa, unakuta abiria anapanda bodaboda wakati anaona hana Helmet!! Wakati mwingine hiyo speed yake abiria wala hatii neno! kuilaumu serikali ni kuikosea. Boda boda wanatakiwa kubadilika sana, Wao wako wengi kuliko traffic (serikali), wafuate sheria.
  6. Renegade

    Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

    Huwezi kuelewa ukiwa ndezi, wenye akili tunaona mbali.
  7. Renegade

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    Hii ndio akili ya mwanaume gaintoo broisser fata hii.
  8. Renegade

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Kwa hiyo ataanza kugombea na wengineo?
  9. Renegade

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Wachumia matumbo na walamba asali, we unafikiri mtu kama Nape, Mwigulu, Februari and alike watasemaje?
  10. Renegade

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Umlaani usimlaani CCM Ndio inatakiwa kulaaniwa na wewe ukiwemo.
  11. Renegade

    Kosa ambalo Mbowe analifanya katika siasa ni kumrudisha CHADEMA Dkt. Slaa

    Si hasa haina adui wala rafiki wa kudumu, ni mazingira tu yanatengeneza rafiki au adui.
  12. Renegade

    Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

    Kaka yako ndio alipaswa kuwapima DNA, Kama hakufanya hivyo walee kama mlivyoachiwa, Watoto ni zawadi pekee toka kwa MUNGU.
  13. Renegade

    Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    Yaani kwa wewe kupata mimba ndio nchi imefunguliwa,labda kama uchi umefunguliwa na umepata mimba.
  14. Renegade

    Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    Unyamaze, tena unyamaze kabisaaaa, hata kama unakula makombo ya chini ya meza.
  15. Renegade

    Yanayojiri Majeshi ya Tanzania dhidi ya M23 nchini DRC

    Kwanini hazifanyi? Mizinga haichomoki?
Back
Top Bottom