Search results

  1. C

    Kamati za bunge mnatuchefua

    Dr Slaa,Zito, Mnyika, Tindu lisu, January! najua mnaweza kutengeneza hoja kwanini kila wakati kamati zinapopita katika wizara na taasisi kama zilizotajwa na wahusika wengine humu jamvini na kugundua upotevu mkubwa wa fedha, 1. Hatua hazichuliwi?. 2. watendaji hawawajibishwi?. 3. Tafadhalini...
  2. C

    Nishati na madini Count down: Maamuzi mazito yanakuja

    issue yangu hapa ni pamoja na matatizo yote ya umeme, kumeingia sumu katika wizara hii inayonyesha inaendeshwa kinamna namna. Na hii inatokana na barua ya kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia kupitisha badget ya wizara ya nishati na madini. Inawezekana kweli barua ya kiofisi iandikwe na...
  3. C

    Battery not detected

    Nina laptop aina ya dell620 hivikaribuni ghafla ile icon ya bat ilijionyesha na alama ya x nyekundu. Ukielekeza curser kwenye ile icon kuna pop up msg ikionyesha battery not detected. kwa hali hii ni kwamba umeme ukizima batery haichukui mzigo and I totally loose the unsaved data during power...
  4. C

    Labda sijamuelewa JK vizuri kwenye hotuba yake alipotembelea Wizara ya Ujenzi

    saigon hiyo alvatar yako noma, huyu ni mwakilishi wa jimbo fulani huko songea? anawakilisha...........
  5. C

    message from +255654969638

    Thanks #17 for your reply to nyabingi. This SMS circulating thro, is just a propaganda btn various brands of soft drinks.
  6. C

    KONA YA MCHOCHEZI: Naomba Watanzania wahifadhi maneno ya uchochezi huu!

    Haya kumbe pacent kubwa ya ugavi wa umeme ulikuwa uantumiwa na migodi. Sasa Mtanzania mlalahoi mzawa anataabika na mgawo. Umeme kwao madini kwao - kwa vipi?
  7. C

    DAWASCO Imewakatia Maji Wananchi wa Mbezi Kimara. Mhe. Mnyika Unahitajika Haraka!

    wagombanapo fahari wawili ziumiazo ni nyika! suala na kufunga oulets lingeendana na mikakati ya kulaza mabomba kwa ajili ya wananchi walengwa ambao walikuwa wakipata maji kwa maboza. sasa wananchi tunaumia kwa makusudi mazima kwa nini iwe hivyo. tumepandishiwa umeme, leoo kwenye magazeti...
  8. C

    Hayo ya mjengoni ni manyunyu tu, nvua yenyewe yaja upesi...!

    Jamani wabunge wa CCM wameshaanza kwa kuzomea wabunge wa CHADEMA wakati wakitoka mjengobi. Aanzae mmalizie LONG LIVE CHADEMA
  9. C

    Modern Day Berlin Conference in Dar!

    Zitakuwa zimekwenda wapi? Kodi si inalipwa? serikali kama haitaki kumsaidia mwananchi itamke wazi kuwa "JISAIDIENI WENYEWE SERIKALI IMESHIDWA"
  10. C

    Huyu ndiye Nicholas Mgaya - Katibu Mkuu TUCTA

    Namsifu Mgaya nawasifu wafanyakazi na naisifu TUCTA, Huu ni mwanzo mzuri nia yako mfanyakazi si kugoma bali kuonyesha hali halisi ya mfanyakazi kiungwana. Usifikiri hakuna asiyejua athari ya mgomo. Mfanyakazi amekaa katika hali hii (ya mshahara mdogo, kodi kubwa, na mafao madogo ya uzeeni) kwa...
  11. C

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    Angeulizwa pia, Kwanini hakuna hatua zozote zinazochululiwa kuhusiana na upotevu wa wa pesa uliopitia kagoda,deep green, rada, tax exemptions, EPA, na mikataba mibovu ya madini hali ambayo pengine ingewatuliza wafanyakazi kwamba wanaovujisha mapato ya serikari wanashughulikiwa, ambapo sehemu...
  12. C

    Kwanini Chenge hashughulikiwi kisheria?

    Jamani wana JF:- Kutokana na kashfa ya Radar inayosadikiwa kwamba amehusika. Uingereza kukiri na kuamua kurudisha Tanzania kiasi cha pesa zizochukuliwa kifisadi. Kuwa na kiasi kikubwa cha pesa kwenye kwenye account ya nje ambazo si halali. Naomba mnieleweshe kwa nini hachukuliwi hatua za...
  13. C

    Tunahitaji chama kipya?

    Hii topic ni nzuri. mjj amelenga pazuri. kuunda chama kipya itatuchukua muda mrefu kutarua matatizo ya nchii hii. tuwasaidie hawa viongozi wa vyama vilivyopo katika uteuzi mzuri wa kiongozi wa kitaifa (Rais) ambaye ana sifa zote ambazo sisi wananchi tunazi afiki. na ana maadili mema ya...
  14. C

    NMB Temeke yavamiwa kwa mabomu; mmoja auawa; msako mkali!

    Ni kweli, ndugu yangu alikuwemo humo ndani ya benki yeye amejeruhiwa na watu walikuwa wakigombania mlango kutoka baada ya majambazi hao kutoka. Ameniambia majambazi hao wamefanikiwa kutoroka na fedha nyingi kutoka benki na wateja wa benki hiyo. Walinzi na askari ama wameuawa au kujeruhiwa...
  15. C

    Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo: CDCF

    naunga mkono hoja yako mkuu.
  16. C

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    ngoja tuone mambo haya yatapoishia
Back
Top Bottom