Search results

  1. thegreen

    Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

    Mkuu kuna jamaa huko mwanzoni aliandika umchekie yeye ni amezaliwa November 22nd. Naona umemruka
  2. thegreen

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Mbona mnatuchanganya Wasomaji!!? hivi ni Urgent au Agent 🥱
  3. thegreen

    Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    wao wana mikakati na mipango ya vizazi na vizazi, huku nyumbani tangu uhuru watu wanategemea chanzo cha maji wanashindwa kuwa na plan b incase ukame na Mabadiliko ya tabia nchi yakitokea tujue tunajikwamua vipi. Watu wakiijiriwa huko serikalini kila mtu anawaza upigaji hamna hata Kiongozi...
  4. thegreen

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Mkuu, tupe sifa ya hii kidogo. Ukiweza na picha tafadhali
  5. thegreen

    Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

    [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu, ni chakula gani hicho
  6. thegreen

    Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    ...mkuu, hii CS50 computer science inayosomwa kule edX unaionaje. Wanaweza kuanza nayo au[emoji2375]
  7. thegreen

    Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

    Hawavai kishamba bali wako simple tu, washamba ni wale wanaosafiri kwa bus hasa hizi za mikoani tuseme bus ya Dar to Mwanza halafu unakuta kavaa suti na mtu kwa safari ndefu za aina hiyo ni kuvaa nguo za kawaida tu kama timbaland bukta yako, T-shirt na sandals. Kuna rafiki yangu alipata safari...
  8. thegreen

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    ...hapana kk sina contacts, kwanza hao waimbaji wa praise hakuna hata mmoja nilikuwa namfahamu kwa majina. Sura zao tu
  9. thegreen

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Mkuu, hebu jitahidi kuniulizia ulizia. Maana ni miaka mingi imepita mara ya mwisho kuusiikiliza huu ilikuwa ni 1999 redioni.
  10. thegreen

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    ...nahisi itakuwa hivyo, kipindi kile hadi wanafunzi wa veta walikuwa wanakuja kuabudu pia. Kuna mdada mmoja nambuka alikuwa pale praise mwembamba mweupe anavaa miwani yaan ilikuwa ikifika wiki yake hiyo asubuhi ataimba hadi unaona wachungaji wanafurahi. Mwaka jana sikumkuta niliuliza alipo...
  11. thegreen

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Wengine wameolewa, wengine waneshahama makanisa nilikuwa hapo Mwaka jana mwezi wa kumi ni sura ngeni na mpya tu ndo niliona kwa hiyo praise
  12. thegreen

    Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Mkuu, huu unyunyu nauona sana IG unaweza nisaidia kidogo sifa zake maana kila anayeuza marashi huko naona ana-upload picha za hii inaonekana ni kisanga[emoji16]
  13. thegreen

    Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Hii naikumbuka, kipindi nakua dingi alikuwa nayo. Nilikuwa nikivunja kabati naenda kumgongea (collabo) kimyakimya chumbani kwake[emoji16].
  14. thegreen

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hizo mambo za muamala ni siku ingine, ita hiyo manzi ghetto & finya kisawasawa[emoji16]🥱. Budaa, invite hiyo dem haraka
  15. thegreen

    Hii ni nyumba ni ndogo mno ukichemsha utumbo inabidi ufungue madirisha

    ...nikiishi humu kigetto getto namaliza mambo yote kwa mama ntilie, nikija ni kupumzika tu[emoji23]. Kupika kupika jau
  16. thegreen

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Paula, kwa hapa bongo wapi wanauza vitabu vile 2nd hand at least bei yake isizidi 10. Maana sie wengine ni wavivu wa kusoma kwenye kwa pdf pages zote hizo. Macho yanauma hata nikipunguza mwanga
  17. thegreen

    Kwenye Nchi za Kigeni suala la Umeme kukatika halipo na likitokea ni kwa muda mchache sana

    Mambo ya Umeme nchi hii nishakata tamaa, kama simu nishapiga sana ila majibu yao ni mepesi mno bila kujua tunaingia gharama kwenye shughuli zetu.
  18. thegreen

    Je, ni dhambi kwa Mlokole kufanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe?

    Kama wewe ni mlokole kweli kama usemavyo, Mwombe MUNGU ikiwezekana hata funga kabisa. Jifungie kwa room yako and pray.
  19. thegreen

    Mbinguni kutakuwa sehemu ya aina gani? Watu watakuwa wanafanya nini?

    Mkuu, vipi kuhusu wanawake. Maana hizi mambo ume-share na sisi naona zimeegemea kwetu wanaume. Hivyo tufungue macho tueleze wanawake nao watazawadiwa nini tujue kama nao watapewa vijana mabikra!!? Natamani kujua position yao huko kama itakuwa same na fair kama wanaume. Sio mbaya uka-quote-iya...
Back
Top Bottom