Search results

  1. R

    Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

    Mbona hii namba ya gari ni ya siku nying? CSX huenda ya mwezi wa saba mwaka jana sio mwaka huu. Tangu mwaka jana mwishoni namaba zilishaenda D...
  2. R

    Mbowe na Kinana

    Umelinganisha vitu viwili tofauti. - Mbowe ni Mwenyekiti wa chama na Kinana ni katibu mkuu wa chama. - Mbowe anachaguliwa na mkutano mkuu wa chama na Kinana anateuliwa na Mwenyekiti wa chama chake na kuthibitishwa na secretariet ya chama chake. - Kina unaweza kumlinganisha na Dr. Slaa sio...
  3. R

    Wanasiasa & TCRA mko wapi, watanzania masikini tunaibiwa na Vodacom

    Nadhani umeover react. Kifurushi cha 500 alafu afunge safari kwenda ofisini kwao, atumie nauli ya 1000 au 2000 kwenda na kurudi. Mi nakushauri amia mtandao mwingine tu basi.
  4. R

    Tambo za waziri Muhongo

    Hata mimi nilishangaa sana alichotaka kufanya prof. Muhongo. Hajui huyo aliyemdharau kesho aweza kuwa PM au President na akaanza kumnyenyekea. Kwakweli alinichufua ingawa waga simkubali sendeka.
  5. R

    Tiketi za ndege ziliwekewa 'cha juu' mara 16 serikalini!

    Ndege kubwa inavyoonekana kwa ndani Dodoma. Tuhuma nzito za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka zimezidi kuibuliwa katika ofisi nyeti za Serikali, ikiwamo ya tiketi za ndege kuuzwa kwa bei kubwa mara 16 zaidi ya nauli halisi. Hayo yamo katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  6. R

    Pan Africa Energy (PAE) kupunguza uzalishaji wa gesi... Nchi kuingia gizani?

    PAE hawana uwezo wa kupunguza uzalishaji wa gesi, mwenye mamlaka hayo ni Songas. PAE ni muendeshaji tu.
  7. R

    CHADEMA wamedanganya UMMA wa watanzania kuhusu maandamano ya kesho

    Mtatiro at work, new mtatiro ID
  8. R

    Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

    Ni kweli uponyaji upo, mimi nimeshuhudia walemavu wakipona na viziwi kwa jina la Yesu. Hata mimi nilikuwa na shida ya mguu niliombewa nikapona. Nakubali matapeli wengi sana wapo na hiyo biblia imesema juu ya manabii wa uongo na ikatupa kigezo cha kuwajua. Inasema "mtawatambua kwa matunda yao"...
  9. R

    TRA na malipo ya fire inspection - nini maana yake?

    Hata mimi nililambwa 180000 alafu hakuna cha ukaguzi wala nini. Na road licence niliyopewa haionyeshi chochote kuhusu fire inspection
  10. R

    Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

    Ni kweli radio tumaini wametangaza asubuhi ila matango ya ATN yako hewani
  11. R

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Funguka zaidi, nini kimesababisha mabom?
  12. R

    Askofu mkuu wa kanisa la TAG atoa tamko kuhusu chokochoko za udini

    Ahsante Bishop bilashaka wahusika wamepata msg.
  13. R

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Hivi kuna watoto wa vigogo wapo TRL au TAZARA?
  14. R

    Gazeti la uchambuzi wa kina mwanahalisi kufunguliwa lini?

    Mbona unesema kuanza kuchapishwa kumbe unataka watu wamsaidie kubenea ili gazeti lifunguliwe. Heading haiendani na content
  15. R

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Kafatalia kwa umakini maeneo ya wazi yaliyopolwa, watu walio nyanganywa mashamba yao na mafisadi. Mfano kunduchi, wazo na madale
  16. R

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Mmmmmh mambo makubwa haya, naona kuna ka ukweli fulani
  17. R

    Taarifa kwa umma kuhusu kusitishwa kwa fao la kujitoa

    Kukaa kwetu kimya na kulamika kwenye key board ndo kunawapa nafasi ya kuendelea kutoa matamko yasito na mshiko. AMKENI
  18. R

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Zito badilika, wabunge wa upinzani wakipanga kususia jambo wewe unaliunga mkono, sasa na wanaona si mwenzao uko upande wa chama tawala, na CCM nao wamekugeuka uko alone. P/s fanya move zako ukikiusisha chama, nenda pamoja na msimamo wa chama chako sio kufanya unayoona ni sahihi.
Back
Top Bottom