Search results

  1. Brooklyn

    Free Audio books

    Wadau naomba kufahanishwa website ambazo unaweza kudownload free audio books. Natanguliza shukrani.
  2. Brooklyn

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Huyu mzee pembeni ya Diamond ni nani? Ndo manager wa Diamond? Hivi karibuni nimekuwa nikimuonaona akiwa karibu na Diamond, hata kwenye picha za nyumbani kwa Diamond Madale huyu mzee amekuwa akionekana. Ni nani yake?
  3. Brooklyn

    Wapi nitapata Mbegu za Mpunga hapa DSM?

    Wadau habari za mchana? Msaada please kwa anayejua sehemu ninayoweza kupata mbegu ya mpunga aina ya SUPER hapa DSM au mikoa ya jirani. Natanguliza shukrani.
  4. Brooklyn

    Majiko ya kuchomea nyama (BBQ Grills) Jijini Dar

    Jamani naomba msaada wa kupata contacts za mafundi wa kutengeneza majiko ya kuchomea nyama (BBQ Grills) hapa Dar yenye ubora. Hata kama unalijua duka linaloota majiko yenye ubora mzuri (Majiko yasiyopata kutu/stainless steel) naomba nijulishe. Najua kuna ambao watanitajia sehemu kama ubalozi wa...
  5. Brooklyn

    Je ni kweli shimo la maji safi halitakiwi kupigwa plaster/nilu?

    Habari za jioni wana JF! Naomba kuuliza eti ni kweli hutakiwi kupiga plaster shimo la maji safi? Maji ambayo yanatumika kwa shughuli zote za nyumbani kama kupikia, kuoga,kufulia, kunywa n.k. Kuna jamaa anasema eti kuna madhara makubwa kutumia maji ya shimo ambalo limepigwa plasta au nilu kwa...
  6. Brooklyn

    Bei za Mashine za kukoboa na kusaga

    Wakuu habari za jumapili. Naomba msaada wa kujua bei na suppliers wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi na mpunga. Naomba pia kwa wajuzi wa eneo hili wanifahamishe brand zipi ndo bora pamoja na technical specification. Natanguliza shukrani za dhati wana JF.
  7. Brooklyn

    Channel 10 Live: Jenerali on Monday

    Naangalia kipindi cha Jenerali Ulimwengu sasa hivi na mgeni leo ni Simon Simalenga ambaye ni mwanahabari (Producer wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM). Kipindi cha leo kinahusu rasimu ya pili ya katiba. Simalenga nashangaa kwanini alienda kwenye kipindi wakati anapwaya sana kwenye suala hili...
  8. Brooklyn

    Kwanini nyumba nyingi Dar hubanduka rangi nje na ndani?

    Wadau hebu tushauriane kuhusu masuala ya rangi za nyumba na sababu zipi zinafanya rangi ziwe zinabanduka tena ndani ya muda mfupi tu. Je ni mafundi wetu hawajui namna ya kuandaa kuta kabla ya kupaka rangi au ni ubora wa rangi zetu? Karibu kila nyumba ninazotembea hapa Dar zimeathiriwa na tatizo...
  9. Brooklyn

    Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

    Religious people are less intelligent than atheists, according to analysis of scores of scientific studies stretching back over decades. Study found 'a reliable negative relation between intelligence and religiosity' in 53 out of 63 studies A new review of 63 scientific studies stretching...
  10. Brooklyn

    DJ PQ ashindwa kupiga nyimbo za Tanzania ndani ya BBA

    Leo ilikuwa zamu ya DJ kutoka Tanzania kuwaburudisha washiriki wa shindano la Big Brother Africa. Kwa kawaida Multichoice huwa wanaaalika maDJ kutoka nchi wa shiriki kila jumamosi saa 5 mpaka saa 6 usiku kuwarusha majoka washiriki wa BBA. Leo DJ kutoka Tanzania ambaye pia ni radio DJ wa...
  11. Brooklyn

    Natamani Rais wangu awe anaongozana na watoto wake wote kama Rais Obama

    Wakuu naguswa sana na namna Rais Obama anavyoonekana kuijali familia yake. Kila wakati anaposafiri lazima aongozane na mke wake pamoja na mabinti zake. Binafsi ningependa sana kuona rais wangu Mh. Kikwete akiongozana na mke wake pamoja na watoto wake wote. Hii itakuwa ni mfano mzuri kwa sisi...
  12. Brooklyn

    Je hii inaingia kwenye kosa la Human Trafficking kwa sheria za Tanzania?

    Wadau wa sheria nina swali nataka msaada wa kisheria. Kuna mtu kanitoroshea binti wangu wa kazi na kwa bahati nzuri katika pitapita za vijana wangu hapa mjini wakafanikiwa kukutana naye. Baada ya kumbana na maswali wakitaka kujua sababu iliyomfanya aondoke bila kuaga, binti akajibu kuwa...
  13. Brooklyn

    Baada ya beef zito na Clouds FM: Lady Jaydee kuanzisha Radio yake

    Baada ya mwanadada nguli katika bongo flavour msanii Lady Jaydee kuwatolea uvivu radio ya watu (Clouds FM) kuwa hawapigi nyimbo zake mpaka wapewe rushwa sasa ameamua kuja na kituo chake cha redio. Mwanadada huyo kafunguka kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa "Kwanza FM coming soon. Yangu...
  14. Brooklyn

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    LIVE on TBC1 right now Maaskofu bila kupepesa macho wanailaumu serikali kwa kutochukua hatua thabiti juu ya waislamu wachache wanaoendesha unyama dhidi ya wakristo wamlaumu Mh. Rais Kikwete kushindwa kutetea katiba katika kuwalinda watu wake juu ya usalama wa uhai wao na mali zao - Kama...
  15. Brooklyn

    Ufafanuzi juu ya Traction under GA operation

    Wakuu wataalam wa magonjwa ya binadamu, naomba ufafanuzi juu ya tiba ya Traction under GA operation, je hii tiba/operation inafanywaje? Nimeshauriwa nimpeleke mgonjwa wangu akapate hii tiba kwa kuwa eti anasumbuliwa na uti wa mgongo. Naomba nijulishwe hii tiba inafanywaje? Je ni operation...
  16. Brooklyn

    Msaada wa Haraka: Mama Yangu Anasumbuliwa sana na Mifupa na Presha

    Wana JF naomba msaada kwa anayemjua daktari mzuri wa magonjwa ya mifupa pamoja na presha anayepatikana hapa Dar es Salaam. Mama yangu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya mifupa, kuvimba miguu pamoja na presha kwa kipindi kirefu sasa. Tumejaribu kwenda hospitali kadhaa mkoani Mbeya lakini hali...
  17. Brooklyn

    Ufafanuzi juu ya masharti ya dhamana

    Wanasheria naomba mnielimishe kuhusu suala la dhamana kupitia maswali yangu yafuatayo; 1. Mahakama inapoamuru kuwa moja ya sharti la dhamana ni kutoa hela, mfano sh. 20 mil. -Hii hela inapelekwa hard cash/cheque mahakamani na kuwa deposited kwenye account ya mahakama mpaka kesi...
  18. Brooklyn

    Hivi ni kweli Asali ya Tabora sio nzuri kiafya?

    Wana JF habari za ujenzi wa Taifa? Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa asali ya kutoka mkoa wa Tabora. Jana nilienda kuchukua mzigo wangu (asali) katika ofisi moja inayojihusisha na kusafirisha mizigo. Nilipokuwa nikitoka kuelekea parking kwa bahati mbaya au nzuri nikawa nimeongozana na jamaa mmoja...
  19. Brooklyn

    Roofing materials: Aina mbalimbali, faida na hasara zake

    Wadau habari za ujenzi wa taifa. Naombeni wataalamu wa mambo ya roofing na material yanayohusiana na roofing mnisaidie mambo yafuatayo; 1. Aina mbalimbali za roofing material, suitability na gharama zake 2. Faida na hasara ya kila aina ya paa e.g. bati za kawaida, bati za migongo mipana (aina...
  20. Brooklyn

    Hii kampuni ofisi zao ziko wapi hapa Dar es Salaam?

    Wadau habari zenu! Naomba msaada kwa anayejua physical location ya kampuni inayoitwa G Investment Group ambayo inajishughulisha na utengenezaji wa AC za magari. Kuna jamaa yangu kaniambia kuwa hawa jamaa ni mafundi wazuri sana wa AC, aliona matangazo yao TBC1 lakini kwa bahati mbaya...
Back
Top Bottom