Search results

  1. Brooklyn

    Hakuna kitu kinaitwa Usaliti kwenye mahusiano

    Hata ukiwa kwenye ndoa, i still don’t think cheating is bad kwa sababu mungu kwa alivyo muweza wa yote angetaka iwe one to one function, angezuia tamaa. Lakini as long as, hata ukioa wanawake wanne bado ukiona chuma kingine mtaani unataka upige then its all good. After all, we only live once...
  2. Brooklyn

    Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

    Pep ni wa dunia nyingine
  3. Brooklyn

    Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

    Kama Pep pesa ndo inampa mafanikio, mbona Mourinho hajabeba mataji pamoja na kutumia hela nyingi kwa kina Pogba, Sanchez nk
  4. Brooklyn

    DSTV VS STARTIMES kipi bora?

    Msamehe bure, ndo kamaliza chuo cha ualimu pale chang’ombe wiki iliyopita
  5. Brooklyn

    Azam Two mbona tangu jana hamuoneshi habari za saa mbili usiku?

    Jamaa TV imeanza kumshinda, ataweza kampuni ya simu kweli?
  6. Brooklyn

    Wanasayansi/ Genius Mahiri kupata kutokea Duniani na Mtizamo wao kuhusu Mungu

    Kiranga ni habari nyingine, eneo hili la uwepo ama kutokuwepo kwa mungu sijawahi kuona mtu kamzidi hoja. Ni mjenzi mzuri na makini wa hoja. Ukisoma maandiko yake na kutafakari bila jazba wala hisia lazima uguswe.
  7. Brooklyn

    Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

    Huyu dada hana tofauti na chidi benz kiakili, standard zenyewe za uhandsome alizoziset sasa...zitto, crazy GK et al... [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Brooklyn

    Hiv Zlatan Ibrahimovic yupo wapi?

    Anakula bure mshahara wa paundi laki 3 kwa wiki. Mourinho fala kweli kaifanya Manchester United iwe kama Burnley FC
  9. Brooklyn

    Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

    Umetoa wapi umeme wa kuchaji simu kama Mbeya hakuna umeme?
  10. Brooklyn

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Uzuri wema huwa hayuko radhi kuona mtu anacheza na brand yake....ingiine youtube msikilize alivyofunguka. Anamshutumu Kaka mkuu kwa kusambaza ile VN
  11. Brooklyn

    Nauza vitu vyangu vya ndani

    Mi nataka TV na frigde mkuu
  12. Brooklyn

    John Heche: Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana?

    Kuna post za ajabu hapa....eti mtu anasema Lema ni shujaa! Shujaa gani asiyejua dhamana aliyopewa na wapiga kura wake? Kutwa kuropokaropoka hovyo utadhani hayo maneno ya hovyo ndiyo aliyotumwa na wapiga kura wake. Lema anatafuta cheap popularity na bahati mbaya sana awamu hii imeamua kusimamia...
  13. Brooklyn

    Maoni na Ushauri kwa Diamond na WCB

    Bonge la ushauri, watanzania wote tungekuwa hivi tungekuwa mbali sana! Well said mkuu Hope Diamond au management yake itapita hapa na kula madini
  14. Brooklyn

    Ben Pol: Hali ya uchumi imekuwa mbaya sana, hatupati show, mapromota wamekimbia

    Waanze kufanya show za international kama Diamond Platnumz. Tatizo wasanii wa bongo hawaigi mazuri ya diamond, wanachofanya ni kumdiss tu kila siku.
  15. Brooklyn

    Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

    Jamani tuache kuhukumu watu kwa mavazi na vitu vingine uchwara. Ina maana na Rais Obama na Secret Service yote nao ni wapuuzi kumu host mfalme wa Morocco? Ona picha hizi [emoji116][emoji116]
  16. Brooklyn

    USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Tunauza kuku wa kienyeji, kwa wakazi wa DSM onja msisimko wa kuku watamu wa kienyeji. Kuku ni wakubwa na wanauzito wa kilo 3-4. Bei nzuri kabisa. Unaweza ukaletewa mpaka ulipo kama utahitaji wengi. DM kama unahitaji
  17. Brooklyn

    Free Audio books

    Wadau naomba kufahanishwa website ambazo unaweza kudownload free audio books. Natanguliza shukrani.
  18. Brooklyn

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Watanzania kwa habari za umbea na udaku ni mabingwa. Kwa karibu miaka 5 sasa Jamii Forums imegeuka kuwa sehemu ya kujadili hoja nyepesi nyepesi (nyingi zikiwa umbea na uzushi). Sasa hivi hakuna tofauti ya JF na gazeti la Sani au Ijumaa. Labda ndio u-dot-com wenyewe....
  19. Brooklyn

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Lemutuz unaamia lini uzunguni Mbweni? Hama downtown man, you are a big celebrity u know!
  20. Brooklyn

    Je Diamond Platnumz ana management mpya?

    Nidhamu ya kazi ya Lemutuz, mzee wa mabebez, mzee wa downtown Posta u know....i'm humbled sana!
Back
Top Bottom