Search results

  1. S

    Usafiri kwenda Loliondo kwa Babu

    Kufa kufaana
  2. S

    Mila gandamizi dhidi ya wanawake wa Kichagga

    Nakushukuru sana kwa ushauri wako, isipokuwa hao Serikali ya kijiji eneo hilo ni hao hao wanaounga mkono ukandamizaji huo.
  3. S

    Mbunge gani anatupigania maslahi ya taifa kwa sasa?

    Utawapima mwenyewe kwa matendo yao, fuatilia.
  4. S

    Mila gandamizi dhidi ya wanawake wa Kichagga

    Inasikitisha kuona kuwa mpaka leo hii kabila la Kichagga linawakandamiza wanawake katika familia zao. Wiki iliyopita nilishuhudia familia moja ikimfukuza dada yao ambaye hakubahatika kuolewa na kulazimika kuendelea kukaa kwenye mji wa wazazi wake. Lakini kaka zake kwa kushirikiana pamoja...
  5. S

    hivi JOTI wa zecomedi ni mwanaume?

    Jamani, Joti huwa anapatia sana kuvaa uhusika. Anaweza kuigiza kama mzee sana, kama kijana, kama kilema, kama mtoto wa shule na kama mtu mwenye pengo, na kama mwanamke pia. Kwa hiyo ni kipaji alichomjalia Mungu, na kwa njia hiyo ya maaigizo halali anayofanya inamudu kuendesha maisha yake...
  6. S

    Elections 2010 Chadema temeke chaliiii!!!

    Kila mtu hapa ana uhuru wa kusema anavyofikiria, usilazimishe kila mtu akiunge chama unachokipenda wewe. Hapa kila mtu ana uhuru wa kutoa taarifa alizo nazo. Nchi hii itabadilika iwapo kila mtu sehemu yake ya kazi, biashara, kile alichonacho kidogo anamgawia na mwenzake na kumhurumia, hapo...
  7. S

    Mpendazoe ni Mrithi wa Mrema?

    Subiri matokeo. Lisemwalo lipo kama halipo laaaaaaaaaaaaaaja!
  8. S

    Elections 2010 CHADEMA wamekumbwa na pepo gani?

    Mfalme wa Wafalme suala siyo mtu anapochangia basi ametumwa, mimi huo ni mtazamo wangu, na mtazamo wangu basi isiwe kuwa mtu ametumwa, eleza kama alivyoeleza PhD siyo lawama mheshimiwa ! hapa ni mahali pa kuelimishana siyo mahali pa kutafuta mchawi MFALME.
  9. S

    Elections 2010 CHADEMA wamekumbwa na pepo gani?

    Jamani imenishangaza sana kuona kwamba Chama chenye nguvu, wasomi, sera nzuri leo wanaingia kwenye mtego wa CCM. Wameanza kwa kumtumia Mfadhili wa CCM kupewa fedha za msaada, Chadema wakachekelea, CCM wanawatia moyo kusema si dhambi mfadhili wao kufadhili na vyama vingine!! jana inatangazwa...
  10. S

    Aamua kujiua mafisadi wamezidi

    Huyu kijana nilivyomuona pale Ubungo, niligundua kuwa haikuwa nia yake ya makusudi kujiua, maana angetaka kujiua angejiangusha mara moja baada ya kufika kileleni.Lakini alikaa pale juu zaidi ya saa nzima huku akibadilisha mikono kushika nguzo. Hata walipokuja watu wa FIRE walimbembeleza muda...
  11. S

    Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

    Mr. II a.k.a. hakika umefanya kazi! Lakini wewe mwenyewe mbona uko kwenye mkumbo huo huo? au ndio unajaribu kujihami kiaina? Jaribu kuendeleza kipaji chako kuliko kuchambua watu, au unachambua jihakikishe kwamba wewe ni safiii vinginevyo ni ile mithali inasema Nyani walichekana kwenye mbuga.
  12. S

    Tangazo la zain la kibonde linanoboa

    Yaani wewe Dear usilete utashi wako ukadhani na wengine wanao kama wa kwako. Unaposema wapo Ma-model ni kwako wewe mtazamo wako. Kitu chochote usichokipenda achana nacho kama unavyoamua kubadilisha channel. Waliompa tangazo wao wanafurahia. Tafuta biashara ya kwako mpe unayemtaka (MODEL...
  13. S

    Sophia Simba: Sigombei ng'o

    SISIEM ndiyo maana imepoteza mwelekeo, maana wengi wanajiamini kutokana na hao waliowaweka madarakani lakini si uwezo wao wa kufanya kazi. Huyu mama ni mmoja wa sanii, anatumia wanawake wanyonge kuwalaghai na kukusanya fedha zao maskini, lakini siku zake zinahesabiwa - kuna wakati wa kucheka na...
  14. S

    VIP makanisani.....

    Nadhani uliyeleta mada hii si Mkristo na kama ni Mkristo - ni Mkristo jina usiyepata hata muda wa kusoma Biblia. Watu uliyowatolea mifano ni Viongozi - Watu wanaopaswa KUHESHIMIWA ndivyo Biblia inavyoagiza - lakini si Biblia tu popote pale wanapokanyaga wanapaswa kupewa ulinzi - maana adui...
  15. S

    Mbeya na mambo yao

    Daraja la Mungu Mbeya Maporomoko mazuri yenye mandhari safi - utafikiri "sitting room" KAPOROGWE Mbeya Wanawake wenye vitambi Mbeya Miguu ya Chupa Mbeya Ulevi Mbeya............ Vyakula, matunda ya kila aina Mbeya AAAAAAA Mbeya naipenda
  16. S

    Waumini wa Kakobe kutimuliwa alfajiri ya leo!!!

    Huyu Kakobe amezoea sana kuwatumia sana wafuasi wake kama vile watoto wadodo waiojua kitu. Akiwaamlisha hayaa toeni fedha zote kwa ajili ya sadaka wasibakishe hata nauli ya kurudia majumbani mwao wanatoa! toeni dhahabu zenu maana ni mapepo wanatoa! lakini la sasa Mungu na alione maana watu...
  17. S

    Mwanamke Aliyesingizia Kubakwa Atupwa Jela baada ya kutubu kanisani

    Huyu mama ameonyesha mfano mzuri. Watu wengi wamefungwa au kuuwawa kwa mambo ya kusingiziwa. Wengine wapenzi wao baada ya kuwachoka wanaitiwa watu kuwa wezi hivyo wanashambuliwa hadi kuwa - wengi wamepoteza maisha! Watu waige mfano wa KUTUBU ili wawe na maisha ya amani kwa muda waliopangiwa...
  18. S

    Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

    Suala siyo utajiri - kumtumikia Mungu hakumaanishi kuwa Maskini hata kidogo. Mungu aliahidi kwamba wote wamchao Bwana atawabariki na watakuwa vichwa wala si mikia. Cha kujiuliza hapa ni kwa waumini wenyewe wanaotoa hizo fedha kwamba wanajua wanayemtolea? Tatizo ni kwamba watu wengi hawasomi...
  19. S

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Acha magufuli afanye kazi yake, angalau anaona kauchungu kidogo kwa wa TZ. Tukiongelea nyumba ni theluji ndogo mnooo ukilinganisha na ulafi mkubwa wa wakubwa wengine kila kukicha ni dhuluma kwa wananchi na kukazana kujenga mahekalu. Kaza BUTI baba Magufuli
  20. S

    Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Yote haya wanafuata nyayo za wizi wa Serikali. Kwa mfano tangu Serikali walipochukua hela za DECI na kukiri kukamata Bilioni 11 za wanachama, hata kama wanachama kwa kutokujua au kujua kwamba ni kosa, je Serikali ina uhalali gani wa kutumia fedha hizo? Ndio maana wengine wanaojua undani wa...
Back
Top Bottom