Search results

  1. J

    Mjengwa Blog: Zikiwa zimebaki siku 20

    Kumbe blog zinalipa sana wakati wa uchaguzi....Kwai kuna wanablog wengi ambao tunawajua siku nyingi kuwa ni wapiga debe na makuadi wa CCM, na kuna wengine kama Mjegwa ambaye nilidhani ni mzalendo wa kweli, kumbe nilikua so wrong. Sasa ndugu yetu hebu tuambie kimetokea nini au ndio yale yale ya...
  2. J

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    Mheshimiwa raisi kaongea tu kwa jaziba au alishauriwa vibaya,kwani sisi wote pamoja na yeye mwenyewe tunajua wazi kuwa hicho kima cha chini wanachotaka TUCTA kinalipika bila matatizo yoyote kma serikali itasimamia vizuri vyanzo vya income yake.
  3. J

    Wanaosababisha mgongano CCM kung'olewa

    If these people won't go then ufisadi Tanzania hautakwisha.....what can we do to get rid of these openly fisadis?
  4. J

    Wabunge CCM kuunda chama?

    Huu ni utumbo mtupu kwani hawa wabunge wote wapo kwa maslahi yao wenyewe na si ya wananchi, hii ni janja yao tu ya kutaka kupata umaarufu katika kipindi hiki cha uchaguzi.....tutaona na kusikia mengi
  5. J

    KUMEKUCHA, Mramba amtaja Mkapa!

    Its about time the truth to out....we all the ukweli na mchezo wao mchafu
  6. J

    Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

    Men! this mheshimiwa hana tofaauti na wale wote wanaonza kwa kasi ili wapande juu na wakishapanda juu ndio wanageuka kuwa walinzi wakubwa wa mafisadi, huyu mheshimiwa kapiga sana kelele kuhusu uzalendo na maslahi ya wazalendo, lakini sasa naona kishalaininshwa. This is how our politicians are...
  7. J

    Makongoro aibuka na kudai mafisadi wako 4 ndani ya CCM

    Huyu Makongoro naona anatafuta jina tu katika siasa za Tanzania, yeye anasema hao mafisadi mbona hawatajwi wakati yeye mwenyewe anashindwa hata kutaja hao wanne anaowasema, nafikiri sitakosea nikimuita huyu jamaa mjinga kwani naona anachoongea hapa ni pumba tu, if you get nothing to talk about...
  8. J

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Wow!! hiyo itakuwa ni kali ya karne, kwani pamoja na madhambi yote aliyoyafanya na anayofanya sidhani kama watanzania tulio wengi tutawza kumsahau huyu bingwa, kwani kaivuruga sana bongo yetuyeye na genge lake la wapenda kutuibia walala hoi....nadhani kuwa anafikiri kuwa Watanzania ni wajinga...
  9. J

    Mke wa Lowassa azindua kitabu

    Hivi hii mijizi siku hizi ikishaiba inakimbilia makanisani kujidai kuwa ni wacha Mungu, kwanza alianza Mkapa kujifanya kuwa karudi kwa Mungu wake, na sasa mke wa L.owasa kwa niaba ya mzee mwenyewe....wauze vyote walivyonavyo na watugawie maskini tulio wengi ndio wamfuate Mungu.
  10. J

    Jailed Tanzanian car thief now linked to EPA scandal

    Men!!! we knew it was just matter of time....huyo bigwa ni mkali, lakini hiyo ya EPA...Mhhhh
  11. J

    Tanzania has collected only $1 million in income tax from Mining company over 4yrs

    This is a joke!!!Ama kweli mafisadi wako juu zaidi tunavyofikiria, yaani there's no one in those called law makers with the balls to stand up for this B@#$t, I dont know how long we gonna take this BS. Nafikiri sasa hii system ya Chukua Chako Mapema itatufanya wanaanchi tushike bakora na tuanze...
  12. J

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Kwanza huyo anayekwenda kufungua hayo matawi na wanaokwenda kwenye sherehe za ufunguzi wa matawi ya ughaibuni ni watu wasio na shughuli za kufanya. Mimi sielewi inakuaje mtu unakwenda kusikiliza porojo za ccm ambazo ni hizo hizo tangu 1977.
  13. J

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    Ama kweli kuna watu wana macho lakini hawaoni na masikio lakini hawasikii. Sasa Mfumwa kuna jina gani hapo ambalo unaliona ni safi au limeonewa? Tutafika lakini....kio chedi
  14. J

    Dk Slaa ataka posho za wabunge zipigwe panga ziongezwe waalimu

    Mimi hapo nakwenda sambamba na Dr, kwani sula hilo ni la aibu kwa taifa kama letu, hicho kipato cha waheshimiwa cha week tatu hakiendani kabisa na viwango vya mishara ya majority of Tanzanians. Na on top of that bado wana huduma nyingi ambazo ni free. Hii sio right kabisa kwa Watanzania tulio wengi.
  15. J

    Hi kwa wana JF wote

    Mimi ni mwanachama mpya kwenye uwanja wetu huu wa mawazo ya kulijenga taifa letu tunaloliita changa, japokuwa sina uhakika kama bado ni changa, ila ninaamini kuwa hapa tutalikomaza kama litakuwa bado halijakomaa...Keep up good work ya kupamabana na ufisadi kwa uwazi na ukweli mpaka...
Back
Top Bottom