Search results

  1. Rutunga M

    Kuna shida gani CRDB Bukoba?

    Wakuu. nipo huku mkoa wa BUKOBA hakika nimesikitika kupata taarifa kutoka kwa wajasiriamali wa hapa juu ya benki hiyo tawi la Bukoba kusitisha utoaji mikopo na kufunga matawi yake yote ndani ya mji. tawi la Zamzam limefungwa na yale yote yaliyoko pemmbezoni mwa mji. Wajasiriamali wanasema kuwa...
  2. Rutunga M

    Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

    Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Ukumbi na eneo mtajuljshwa. Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU
  3. Rutunga M

    Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

    Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka. Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu
  4. Rutunga M

    Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

    Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000. Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa...
  5. Rutunga M

    Dkt. Antony Dialo: Wizi na ukosefu auminifu chanzo cha biashara nyingi Tanzania kufa chini ya miaka 5 tangu kuanza

    Nimemsikiliza asubuhi. Mkurugenzi wa Saharama media wakati akitoa mada katika club house moja iitwayo Mindset transformation. Akidai kuwa kwa uzoefu wake katika biashara na ujasirimali amebaini kuwa biashara nyingi zinakufa kwa sababu watazania wengi siyo waaminifu. Amekwenda mbali na kusema...
  6. Rutunga M

    Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

    https://matokeo.necta.go.tz/psle/psle.htm
  7. Rutunga M

    Nahitaji podcast

    Wakuu. nahitaji podcast ya kuingiza zaidi ya saa 1. sitaki zile za subdomain. aliye serious aje inbox tuyajenge. asante
  8. Rutunga M

    Kwa Mkurugenzi wa BRELA: Naomba kujua namba za simu za customer care staff wako zinazofanya kazi

    Hata mimi nina maombi yapata miezi 2 sasa. ukipga wanasema hii tunairipoti. sijui tunahamisha mafile kwenda jengo jipya. yaani files za online zinahmishwa miezi 2. Nafikiri Brela ingefutwa tu ikabuniwa kitu kingine. Juzi nikampigia jamaa yangu kumuuliza akasema nimtumie elfu 50 kazi...
  9. Rutunga M

    Wadau badilisheni mbinu ya kudai Katiba Mpya

    Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
  10. Rutunga M

    Degree ni karatasi tu, haisaidii lolote kiuchumi?

    Kabisa mkuu. Elimu bado ina umuhimu wake
  11. Rutunga M

    Degree ni karatasi tu, haisaidii lolote kiuchumi?

    Asante mkuu kwa hii nondo. ubarikiwe
  12. Rutunga M

    UDOM haina soko Tanzania?

    huyu malaria sugu yuko wapi
  13. Rutunga M

    Degree ni karatasi tu, haisaidii lolote kiuchumi?

    Jamaa waliokuwa wakiongea wengine wapo katika hicho hizo
  14. Rutunga M

    Degree ni karatasi tu, haisaidii lolote kiuchumi?

    duh. ila nyie watu sijui mmepatwa na nini
Back
Top Bottom