Search results

  1. M

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    Wabunge inabidi wahojiwe kwani wao ni nani?? Hawajanyamazishwa kwani wakihojiwa watatoa Rushwa ili wasihukumiwe? Kama wao ni waadilifu wakubali kuhojiwa na waendelee kutoa hoja za kuwajibishwa kwa Hosea, sio kulalamika.
  2. M

    Hello JF members

    Well come in JF
  3. M

    Ukweli Kuhusu UDOM huu hapa

    Waungwana Habari za udini hazifai kutajwa na kujadiliwa na jamii ya watu makini kinachotakiwa ni kueleza mapungufu ya mtu fulani mwenye cheo fulani kwani upungufu au uimara wa mtu hauletwi na dini ila ni mtu mwenyewe. Tukianza na dini tutaelekea kwenye kabila then tumalizie na jinsia.
  4. M

    Ukweli Kuhusu UDOM huu hapa

    Hongera kwa kuwapa elimu watanzania waachane na majungu wachape kazi kujenga taifa letu
  5. M

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    Mambo zenu wana jamii.
Back
Top Bottom