Search results

  1. B

    Kikwete kuitwa dhaifu ni msemo uliopotea kama barafu inavyoyeyushwa na upepo

    Ni kipindi sasa tulikuwa tunahubiriwa kwamba rais wa awamu ya nne baba rz1 ni kiongozi dhaifu na mbaya zaidi mpaks bungeni tulisikia Maneno haya yakitamkwa..! Lakn Baada ya awamu ya tano kuanza msemo huu ulianza kuota mbawa maana ulianza kupotea cku hadi cku na wale waliokuwa wakiuhubiri ndio...
  2. B

    Wasichana haya sio mambo badilikeni

    Habari wakuu. Jamani mimi nina jakamoyo moja ambalo limekuwa likinitesa kitambo kidogo. Issue iko hivi utakuta sister duu wa ukweli kiumbile na pengine anajua kutumia kiustadi pamba mwilini na kila akipita hutoa watu udenda. Tatizo ukiingia naye ghetto na kummenya viwalo hewa inachafuka...
  3. B

    Kwa kipigo hiki israel ijifunze

    Tangu Kuanza Vita Huko Mashariki Ya Kati Kati Ya Israel Na HAMAS Tumesikia Mengi.! Lakn Kubwa Ni Taarifa Za Israel Kurusha Makombora Mashuleni, Masokoni Na Katika Mikusanyiko Tofauti Kuua Watoto Na Wanawake Wasio Hatia.. Lakn Hatuambiwi HAMAS Wamefanya Nini..! Hii Ni Dalili Ya Kushindwa Kukubwa...
  4. B

    Efd mwanza mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya pili:-

    Huku Kukiwa Na Onyo La Mamlaka Ya Mapato Nchini TRA, Mgomo Wa Kupinga Matumizi Na Bei Ya Mashine Hizo Leo Umeingia Cku Ya Pili Baada Ya Kuanza Rasmi Jana... Wananchi Na Wafanyabiasha Wa Kutoka Mikoa Jirani Na Nchi Jirani Wakwama Kupata Huduma Ya Bidhaa Mbalimbali... Katika Cku Yake Ya Pili Leo...
  5. B

    Kamanda mangu aula jeshi la polisi:-

    Hatimaye Kitendawili Cha Nani Atamrithi IGP MWEMA Kimeteguliwa Baada Ya Kamanda Mwandamizi Ernest Mangu Kuteuliwa Kuwa Mkuu Mpya Wa Jeshi La Polisi... Kwa Mujibu Wa Taarifa Kutoka Magogoni Jioni Na Kusainiwa Na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Sefue Ombeni Mh. Jakaya Kikwete Ameteua Jina La Mangu...
  6. B

    Baada ya kufumania jamaa aliwa 0713 mbele ya mkewe:

    Habari Wakuu. Nawaletea Mkasa Ulimpata Jirani Yangu.. Mkasa Ulikuwa Hivi Hapa Kitaa T/Reli Mwz Jamaa Kaoa Miaka 5 Iliyopita.. Jamaa Ni Chinga Wa Nguo Muda Sasa Ametonywa Mkewe Anagawa Tunda Kwa Bosi Wa Kiwanda X.. Jamaa Akaanza Upelelezi Kwa Siri Bila Mkewe Kujua Na Akabaini Pasi Na Shaka Mkewe...
  7. B

    Kikwete akataa tena IGP Mwema,Jack Zoka & wenzao kustaafu

    Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa...
  8. B

    Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

    Ikiwa Ni Miaka Miwili Tangu Tupoteze Ndg, Jamaa & Marafiki Ktk Ajali Ya Kuzama Kwa Meli Ya Mv Spiee Islander Ameibuka Bint Mmoja Anayeitwa Theresia Na Kudai Ndiye Aliyeizamisha Meli Ya Islander Kichawi Usiku Wa Tarehe 9/9/2011 Katika Mkondo Wa Nungwi Ikiwa Ni Kutii Agizo La 'wakubwa' Katika...
  9. B

    Mwenyenzi Mungu yupo na Mwenyezi Mungu ndiye anayehukumu:

    HABARI WADAU WA JF..! Nikiwa Kama Mdau Wa Mtandao Huu Wa Great Thinkers Nimeona Nitupie Wazo Ili Tuwekane Sawa: Leo Nimemsikia X-kocha Msaidizi Wa Simba Julio Jamhuri Akiongea Kwa Uchungu Juu Hali Yambo Yanayoendele Klabuni Hapo Ikiwamo Kuondolewa Kimizengwe Klabuni Hapo...! Kaongea Mengi Ya...
  10. B

    Efd ni speed govenor nyingine tanzania:

    Ni kawaida kila inapokaribia uchaguzi kuzushwa kitu na 'wajanja' ili kukusanya fedha za kununua wapiga kura! nakumbuka uchaguzi ulee kulikuwa na spd govenor (kidhibiti mwendo) mkwara na ujanja ni kama huu wa EFD (Eletrical phisical device) kwa kuiteka jamii kisaikolojia ili iwe upande wao! rejea...
  11. B

    Tahadhari kwa akina dada.....

    Tahadhri imetolewa kwa akina sasa na akina mama kuwa kujihusisha na ngono na wanaume wengi ni mojawapo ya sababu kubwa ya kupata KANSA YA MATITI NA KANSA YA SHINGO YA UZAZI... katika utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Carolina Marekani umeendelea kudai kuwa kujihusisha kimapenzi na wanaume...
  12. B

    Nimelazimishwa kuoa mwanafunzi na sasa najuta kutania

    Awali ya yote wana jamvi za jioni??? Mimi ni mgeni machoni penu lakini ni mwenyeji hapa jamvini: Naweka uzi wangu maana sasa inataka kula kwangu.. Tatizo lenyewe liko hivi hapa mtaani kuna jirani yangu ana mabinti wa tatu na mkubwa wao yupo kidato cha ii kama ilivyo ada kwa tamaduni zetu...
Back
Top Bottom