Search results

  1. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO kimara mmeanza tena mambo ya kukatakata umeme nyakati za mchana Kimara mwisho. Hivi ni lini watu tutatulia na kufanya shughuli zetu bila manyanyaso haya ya Tanesco? Kila miaka mambo ni haya haya. Maisha magumu now hizi habari za kukatiana umeme ni kumalizana kimaisha na kusababisha...
  2. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Haya,jmosi hii weekend hamjaona mda mwingine kukata umeme zaidi ya weekend,kweli? Mimi niwashauri jambo,mnapokuwa mnadeal na issues maeneo ya nje ya mji muwe mnafanya katikati ya wiki siku kama za jtano,alhamisi au jnne,mojawapo. Nje ya mji kunachangamka na kuwa bize weekends hivyo sio muda...
  3. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Kimara mwisho mmeanza tena maswala yenu ya ajabu ajabu.Maisha magumu sana now acheni kukata umeme.Mmekata umeme tangu saa 11 mnategemea nini?!
  4. K

    Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    Nilishawaambieni huyu jamaa msimpuuze. Kanajifanya kana mwandiko mbayaaa kumbe lidude likuubwa nyuma ya keyboard.
  5. K

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Watu mna historia zenu aisee dah! Usichelewe sana basi mkuu leta mambo ila pole,umepitia mengi.
  6. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO giza linaingia Kimara mwisho hamna umeme tangu asubuhi
  7. K

    Nani ni mtawala wa ulimwengu huu, Mungu au Shetani?

    "Wewe Bwana Mungu wetu,jinsi lilivyo kuu na tukufu Jina lako DUNIANI KOTE. Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni,vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao umeiweka misingi ya nguvu,kwa ajili yao wanaoshindana nawe,uwakomeshe adui na kujilipiza kisasi. Nikiziangalia mbingu zako,kazi za mikono...
  8. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO kuanziq asubuhi hadi jioni hii Kimara mwisho kote Mavurunza,DAWASCO,Matangini,TRA,Kanisani,yaani eneo lote la mji wa Kimara mwisho darajani halina umeme.Ndipo center ya mji wa Kimara lakini mna confidence ya kukata umeme zaidi ya masaa 8 nyie watu aisee!hamjali kabisa mmesimamisha...
  9. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO leo Kimara mwisho ni kuzima na kuwasha umeme kama vile kuna mtoto huko kwenye switch yenu anachezea. Uchumi huu ulivyo mgumu halafu mnakata tena
  10. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO sio shida ya mtu mmoja.Ni Kimara yote hapa Dar.Eneo lote la Kimara wilayani Ubungo tunaexperience ukatikaji wa umeme wa mara kwa mara siku hizi.Kama hapa Kimara mwisho line ya dawasco ndio kwa siku hata mara nne unakatika.
  11. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO kwanini mnakatakata umeme ovyo hivi Kimara?hivi nyie mna shida gani haziishi daily miaka nenda miaka rudi?
  12. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO kimara hivi wakazi wa huku tuliwakosea nini?kwanini umeme unasumbua hivi? Hatukai wiki lazima muanze katakata.Huu mwaka wa 10 sasa tunalalamika humu na mambo yale yale yanajirudia.Nyie mna faida gani kwa nchi ikiwa mmepewa dhamana ya kumletea mwananchi huduma ya umeme na bado mwananchi...
  13. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kimara mwisho.Laini hii ya Dawasco.Umeme ni mara ya tatu unakatika sasa yaani usiku huu nnavyokuandikia wamekata tena umeme mara ya tatu unakaa masaa mawili unarudi,unakaa masaa mawili unakatwa tena,yaani ni fujo.Sasa sisi wenye biashara ndio mnatuumiza vibaya yaani.Mikate haijaiva vizuri,umeme...
  14. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Leo jmosi saa tatu na nusu asubuhi mmeshakata umeme Kimara.This is sad,discouraging,disgusting!
  15. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO mnafilisi biashara zetu kwa hali hii.mna shida gani na mvua zote hizi? Kimara siku ya pili hii mfululizo ikifika tu saa saba mchana mnakata umeme hadi jioni.
  16. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO kiukweli mnakatisha tamaa sana. Mtu haupati kipato consistently. Kuna shida gani Kimara mwisho?mbona sehemu nyingi za mji umeme umetulia sasa hivi,hii line ya Kimara imepata shida gani?
  17. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO rudisheni umeme Kimara mwisho. Sikukuu hizi watu tunataka tupige kazi.Embu rudisheni huu umeme hapa.😡
  18. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO mlisema mnakata umeme kuanzia alfajiri saa 11 hadi saa 5 asubuhi.Sasa saa hizi saa 6 mmekata Kimara.Tushike lipi? Mida ya kazi hii mnatutia hasara nyinyi watu, kila siku hamuishu sababu. Sababu zenu hazihalalishi incompetence yenu kwamba tuna shirika ambalo kila mda linashindwa kutoa...
Back
Top Bottom