Search results

  1. sungura1980

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Mkuu niliyasema haya mwanzoni kabisa mwa scandal ya Mbasha's,baada ya kuiweka first page na kuiandika stori kiudaku udaku bila kuhoji maswali ya msingi,nikasema Mwananchi limepotoka na niliacha kununua Mwananchi tokea wakati huo
  2. sungura1980

    Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Kutoka kurugenzi ya mawasiliano! Ili kuleta maendeleo ya haraka na kusogeza huduma kwa wananchi tumeanzishwa wilaya mpya ya Balali katika mkoa mpya wa Balaa,na kwa mamlaka niliyopewa namtanganza ndugu Neville Meena kuwa mkuu mpya wa wilaya ya Balali.Kabla ya uteuzi ndugu Meena alikuwa mwandishi...
  3. sungura1980

    Hapa JF watu wanatongoza DADA zao sana tu

    Hahahaa Rich Pol upo mkuu?Mke hachapwi na bakora mkuu,mke anachapwa na Vitz,Arteza,Rav4,,pamba za Guchi na vitenge vya Wax!!
  4. sungura1980

    Hapa JF watu wanatongoza DADA zao sana tu

    Hahahaaaaaaaaa,yupo sana mbona!!Karibuni sana
  5. sungura1980

    Hapa JF watu wanatongoza DADA zao sana tu

    Hahaaaa,haya nilikuwa nayasikia Kenya tu,mke mmoja wanaume wawili!!Haaaa kumbe watu wanaingia kichwa kichwa,fanyeni uchunguzi kwanza,msiwe na papara!Tunapendana na laazizi wangu Bantu lady,,tutakualika mkuu nyumbani
  6. sungura1980

    Hapa JF watu wanatongoza DADA zao sana tu

    Kibo10 unataka kutuambia charty sio dada yako??Au umezidiwa kete na Rich Pol,basi unakuja na sizitaki mbichi hizi!Hahaaaaa,funguka vizuri mkuu,umekuta charty ni dada yako nini??Poleni,kuona tu avatar au id ya mtu,ushatongoza tayari,ndio maana yule nanii ni wa kiume!!
  7. sungura1980

    Evelyn Salt, Happy Birthday to you!

    Happy birthday Evelyn Salt,,Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na mafanikio tele!!
  8. sungura1980

    Leo baada ya kufuturu Inshaallah nitaichoma moto rasmi kadi ya CHADEMA

    Mods sijui wamefuta comment yangu!!Kiufupi JUA LA UTOSI hauna tofauti na wale m.a.k.a.ha.ba wa korner bar,,duhhh ndani ya wiki mbili unakuwa kada wa vyama 2 tofauti vya siasa!!
  9. sungura1980

    Kwani utakula kiuno all your life, au utajenga familia

    Hahahaaaa,,eti unaujua mwili wake kama unavyoujua beti za wimbo wa taifa!!Well said mkuu,,safi sana,makavu live
  10. sungura1980

    Unafiki na Usaliti wa Mwigamba dhidi ya tuhuma za ukomo wa madaraka katiba ya CHADEMA

    Sisemi namchukia #Mwigamba ,sisemi nawachukia wasaliti (yeyote awe ndani ya CUF,NCCR,CDM,CCM,ACT,TLP,e.t.c).Ninachosema ni kuwa if he died in a train accident,i wish,I should be the one driving it!
  11. sungura1980

    This is for you my darling

    Jamani,mbona nimechelewa kupata habari!!.Mkuu kiwatengu,umekuwa chachu ya furaha hapa JF kwa topics zako za kuchangamsha na kuondoa stress!Pia ndoa yako na shansarie imekuwa ndoa nzuri ya kuigwa hapa JF,mnaheshimiana na mnapendana,big up!! Unapoadhimisha siku yako ya kuzaliwa natambua mchango...
  12. sungura1980

    Viongozi wa CCM

    Sasa MSALANI,ujinga wake ni upi?Kwa nini msishindane hoja?Hii ndio inbathibitisha ukweli wa alichokiandika kuwahusu nyie CCM.Akili zako MSALANI kama C.h.o.o kama lilivyo jina lako!!
  13. sungura1980

    He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

    Kumbe hujuma,pole lara 1,,back in topic,,emolo,,kwani unamzidi urefu kwa mita ngapi?Mkitembea wote mmeshikana mikono kwani watu wanawauliza kama unampeleka shule? lara 1 kwa vile vigezo vingine vipo,kula pini hicho cha uemolo ni kidogo sana rudisha timu uwanjani,labda kama ni uemolo wa urefu...
  14. sungura1980

    He is the best husband ever, tatizo ni moja tu

    lara 1 pole kwa ban,,ulifanya nini lakini?Mi nikajua utakuwa umemchuna mods na hutaki kutoa P!!Tulikumiss,kuna dada anashukuru kwa kumtafutia kazi mumewe na tena umemtafutia kazi bila gharama yoyote na wala hujamtongoza!!!!
  15. sungura1980

    Mwanaume aliyebakwa baada ya kupanda lift ya mtu asiyemjua.

    Uwiiiiiiiiiiiiiii,,,hahahaaa,ndio maana naipenda JF,stress free!!
  16. sungura1980

    Viongozi wa CCM

    Tatizo kubwa la viongozi wa CCM ni #Unafiki ,,wote ni wanafiki!!Membe wiki zilizopita alisikika na wapambe wake walisikika wakimnadi kugombea uraisi,,bwana mdogo Makamba naye kafunguka kaweka nia yake wazi ya kugombea!Sijamsikia yeyote wanaojiita makada wakikemea!Sasa Lowasa kuandaa chakula kama...
  17. sungura1980

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kasinde njoo tafadhari ubaelezee kule kwa Obama kuna nini!!Shikamoo watu8
  18. sungura1980

    Happy Birthday tangopori!

    Waooo mkuu Tangopori,,happy birthday!Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na Mafanikio tele! Ninaapriciate sana uwepo wako hapa JF hasa linapokuja suala la "Weka picha"!Long life mkuu
Back
Top Bottom