Search results

  1. selemala

    Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

    Sidhani kama ni rahisi kama ulivyo-hitimisha. Kama sio mvivu wa kufikiri, rudi nyuma (mbali) katika HIS-toria ya eno linaloitwa Tanganyika, halafu, fikiria 'alternative paths', alafu fananisha: sidhani kama utafikia hitimisho hili.
  2. selemala

    Kwangu mimi "Kikwete is the wisest Tanzanian president ever, he's intelligent"

    Kwenye maembe mabovu unaweza pata yenye uozo nafuu, i.e kutokana na macho na ladha yako
  3. selemala

    Mabadiliko makubwa ya viongozi wa serikali yakamilika; yatawagusa pia viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama

    Tunahitaji, nafikiri, nje ya mambo mengi mengine; mbunge kuwa mwakilishi wa kweli wa wanajimbo wake, kwa kupitia chama cha siasa au binafsi wanajimbo waweze kisheria kumvua ubunge mbunge wao kabla ya uchaguzi raisi asiruhusiwe kuwa na majukumu mengine yoyote nje ya majukumu ya raisi kikatiba...
  4. selemala

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Mimi nasupport haki, bila kujali dini, kabila au kanda.
  5. selemala

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    ugawaji wa majengo ya Tanesco kwa taasisi ya kiIslam uangaliwe upya. makubaliano/mkataba unahusisha malipo ya kila mwezi kwa taasisi ya kiKristu yaangaliwe upya This time wananchi washiirikishwe. Kama kuna unfairness, then isijalishe mnufaika ni dini gani, marekebisho yafanyike. Umenielewa?
  6. selemala

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Lini wananchi walishikishwa ugawaji wa majengo ya ambacho kingekua chuo cha Tanesco Morogoro, kwa Muslim Development Foundation (MDF)
  7. selemala

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kama Hayana faida kwa taifa, YAVUNJWE. Kuhusu kushirikishwa wananchi, usijitoe ufahamu!, Serikali ya CCM hainaga uwajibakaji huo. Wameshapitisha mikataba mingi, na mingine ya hovyo miaka nenda miaka rudi kwa usiri mkubwa. Tunakujaga sikia mambo yakibuma!
  8. selemala

    Rais Samia: Kuna Mabalozi hawajui wanachokifanya, wapo tu

    sasa raisi, tukusaidiaje hapo? au unatafuta sympathy baada ya bandari kunuka?
  9. selemala

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    kwa mfumo wa teuzi uliopo ni almost impossible kufuta; udini, ukabila. undugu, ukanda etc Hii ni kwasababu wateuzi wana dini, kabila/kanda, ndugu, na hila! mwadamu kwa asili ni mbinafsi, na uamini na kupendelea cha kwake au anachokifahamu. Hali ya udini ikiendelea kama hivi, ni jambo la...
  10. selemala

    Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

    na wao ni easy targets, tunawaona kila siku, ofisi zao ziko peupe, na wengine tunaishi nao. waache tu waedelee kutumika na wakoloni weusi
  11. selemala

    Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Usishangae akisema kwa sasa Bunge sio dhaifu.
  12. selemala

    Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

    kifupi, wanaenda mahakamani kuutetea mkataba mbovu wa DP World!? ... SHM
  13. selemala

    Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Tatizo kama hili likitokea Uhamiaji, hivyo suluhisho ni kubinafsisha Uhamiaji?
  14. selemala

    Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

    kwa maana hiyo huo ni Mkataba haramu => Haukidhi matakwa ya kisheria. Hapo je, bado hujaelewa?
  15. selemala

    Serikali yaamuru shule kufungwa (kuelekea maandamano kesho Julai 19, 2023)

    Haikwepeki, ni swala la muda tu. Haki, hailetwi kwenye sahani. Haki sio bure.
  16. selemala

    Serikali yaamuru shule kufungwa (kuelekea maandamano kesho Julai 19, 2023)

    Haki sio bure. Na mwanadamu lazime afe, iwe kifo akiwa katika harakati za kudai haki, kifo kwa kukosa huduma za matibabu, etc..
  17. selemala

    Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

    police wakipewa agizo la mwanasiasa toka juu la kujiua watatii?
Back
Top Bottom