Search results

  1. T

    Silly things women do in the name of love

    Message muhimu sana hii..hata mie nimeipenda..Kizazi hiki ni balaa mambo hayo kwa zamani naona yaliwezekana.
  2. T

    Tununu

    Hahahahaaa..una utani na hao watu nini..ngoja wakusikie
  3. T

    Simple rule to success

    Sikulijua hili...
  4. T

    Viagra

    Hii kali..huyu buibui hafai
  5. T

    Nature's Kiss

    Duh!haya..
  6. T

    Sunday message

    Ujumbe mzuri sana..
  7. T

    Roast ya maini

    Safi sana jamani...ngoja nikapike nione..nakukubali sana mama kwa mapishi.
  8. T

    Majina Ya utani ya Utotoni

    Minjicho-mwenye macho makubwa.
  9. T

    Moja ya Maswali ya kuepuka kumuuliza mtu ikiwa hujaonana naye kwa muda fulani

    Aisee ni kweli kabisa..nilishawahi kuuliza baadhi ya hayo maswali..nikaishia kumkwaza mtu..dah!sitasahau.
  10. T

    Vision test

    Duh..hii kali.
  11. T

    Lulu aogopa ubonge aamua kuingia gym kupunguza mwili, tazama picha hapa

    Haya tunamtakia kila la heri..manake shughuli ya kupunguza mwili si mchezo!
  12. T

    Muangalieni Ester Mwakijambile wa bss 2013 kwenye moja ya show zake

    Dah..sio Ester mkuu...huyo sio Maina kweli?hata hivyo yule Mwakijambile jina lake ni Elizabeth.. Dah...ila hilo pozi ni hatari tupu.
  13. T

    balaa lingine la Lady jaydee..

    Daah..hiyo headline hatari!
  14. T

    It speaks louder than words

    Ujumbe saafi...big up M.Kipanya
  15. T

    Jinsi ya kuzungumza na/kumtuliza mpenzi aliyekasirika !!!

    Ni kweli dada..manake huwa tunakosea..mwenzio anapokuwa na hasira na wewe unapandisha zako..matokeo yake hali huwa tafrani.. Nakubaliana na wewe kila mtu inabidi amjue mwenzie vizuri.
  16. T

    Why Women Should Be Financially Independent.

    Excellent...nimeupenda huu uzi.. Yote ukweli mtupu.
  17. T

    Diamond platnumz,kupiga show kwa mara ya kwanza china

    Hee!hee!nicheke mie niongeze siku.. Dogo kajifunze Lugha acha ubishi.
  18. T

    Kati ya hawa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel nani mwenye mvuto katika bongo movie?

    Ukweli lazima usemwe...Aunt anajua kubeba uhalisia yaabi hana mapozi kabisa kwenye camera.. Ila Wema naona uzungu mwingi sana na uhalisia haupo.
  19. T

    WCB ya Diamond,kilefu na maana yake

    Haya kumekucha!sijui mapesa mangapi unalipwa na huyo asali ya warembo?? Sawa kidume tunashukuru kwa taarifa.. Mpe pongezi Diamond,naona bado yuko vizuri kwenye game.
Back
Top Bottom