Search results

  1. Z

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    hapana kwetu sisi wanahesabu 100 na 100.6 ni tofauti.
  2. Z

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Mimi nimuombe mheshimiwa nchemba kwamba siku hizi elimu ina upana wake,kuna vijana wamesoma wanajua kucheza na computer,tofauti na zaman zenu ukiingia chumba cha computer lazima uvue viatu.elewa ukweli utabaki ukweli kama mtu anasema ukweli,uongo utabaki uongo kama mtu anasema uongo.
  3. Z

    Mchungaji Msigwa aboronga Bungeni

    nenda kwenye topic kwanza.usikurupuke na wewe.usipoteze lengo
  4. Z

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Tunahitaji viongozi kama WA chadema wenye maamuzi.naunga mkono kwa asilimia 100
  5. Z

    Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

    Jaman nenda mahospitalini ujue Ni nini cha kudiscuss,tuna mambo mengi ya kuongelea na sio majungu Tu ya kila siku kuzungumzia vyama badala ya maendeleo ya taifa kwa ujumla.hebu chek Leo hii maji Dar Ni tatizo je Kule kalenga kukoje?
  6. Z

    Magufuli: Wanaogoma wapaki Malori yao Nyumbani na wasiyaweke barabarani

    jamani jamani SI kila kitu kubisha Tu,kama kichwa chako uwezo wake WA kubeba mzigo Ni kilo 50,itakuaje kama utabeba kilo 100?ndivyo na barabara inavyoumia ukizidisha uzito.yupo sahihi magufuri.kama unabisha njoo darasani tukueleze
  7. Z

    Dr. Slaa: CHADEMA ni chama kinachoamini mfumo wa KIBEPARI

    kaka huna data,hebu nenda mbagala kuna kiwanda cha cement pale.wale walisema hata wakiuza sh.8000 wanapata faida,pia cement inayotoka Pakistan inauzwa sh.14000,kama ya twiga.ulasimu wa selikari walikataa camel cement kuuzwa 8000 kisa ataharibu soka la twiga where by serilali kuna percent...
  8. Z

    Katiba Mpya: CHADEMA, CUF na NCCR- Mageuzi wakutana na wanahabari Sept 15, 2013

    Mungu aweke mkono wake katika jambo Hilo,waongo wafichuriwe mapema
  9. Z

    Wahalifu wa Tindi kali wajulikana Zanzibar

    Mimi naungana na mtoa mada,kwa akili ndogo Tu fikiri hivi,waliohusika na bomu arusha hawajulikani,au wanaouza unga mitaani hawajulikani.rais anajua kila kitu,ILA atasemaje wakati Ni mpango WA chama tawala kuhujumu kila kitu.
  10. Z

    Mbowe: Wabunge wote wa CHADEMA kutokushiriki vikao vya bunge kuanzia kesho, wataelekea Arusha!

    sisi Ni WA Tanzania Ninawasiwasi na mleta maada,wewe Ni mnyama sio binadamu,kama Ni binadamu basi Una upungufu akilini mwako.mungu atusamehe
  11. Z

    Civil engineering

    bila civil Ni sawasawa na gari bila gear box
  12. Z

    Gazeti la Mawio lidhibitiwe mapema, Hii habari ya Wakiristo kuhamia CHADEMA 1 July 2013 sio kweli

    kama jukwaa halijatoa tamko naona wewe ndio mzushi na mnafiki.anayetakiwa kujibu hoja hiyo Ni jukwaa la wakiristo wenyewe!wewe kenge unatafuta mini kwenye msafara WA mamba?
  13. Z

    Majibu ya Mwigulu Nchemba kwa vijana wanaohoji ''uheshimiwa'' zake

    namshukuru walioba na time take,naomba tushirikiane kupitisha katiba hii kuwaondoa wajinga WA madaraka kama huyu jamaa.
  14. Z

    Dk Kitima aitabiria mabaya CCM mbele ya Wassira

    fikiri kabla ya kutenda
  15. Z

    Siku 7 za Jeri Silaa Vipi?

    Nilisema hivi kama jery atabomoa jengo Hilo ndani ya siku Saba nachukua kadi ya ccm.sasa kijana mwenzetu tangu lini ukatoa gunia la chini wakati la juu hujatoa?tangu lini maji ya kapanda mlima?wewe Ni mtoto sana katika watoto wewe hats kutambaa bado.KIRAZA sort Raza ndio Baba WA ccm.unasukuma...
  16. Z

    CCM yafuta kitengo cha Propaganda, Tambwe Hizza kwaheri

    kupotea kwake huyu jamaa ni saws kabisa.labda amekwenda kusoma,maana katika watu waliochaguliwa kimakosa kushika proganda huyu jamaa walikosea kabisa.na ndivyo mwigulu na nape aka mwando... Watakavyokufa kisiasa
  17. Z

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    watalaamu watu wanene akili hukimbila tumboni.sio kosa lake unene ndio tatizo
  18. Z

    Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

    mimi napita huko sipo
Back
Top Bottom