Search results

  1. B

    Mbasha, Flora wasaka suluhu kurudiana

    Mmh! Wadau punguzeni maneno makali.
  2. B

    Kwanja Morogoro kinauzwa

    Mh! Kujenga nako inshu.
  3. B

    USHAURI: Jinsi unavyoweza kufanya biashara yenye mafanikio ukiwa bado umeajiriwa

    Nina mtaji laki tano naweza anza biashara gani ya bidhaa, nko korogwe?
  4. B

    Hivi hii imekaaje katika mahusiano?

    Habari zenu wote wanajamvi, Kuna dada mmoja nimeanzanae mahusiano hivi karibuni yapata wiki moja, Anadai nikajitambulishe kwao hivi wakuu hii imekaaje ukizingatia ni muda mfupi tuliofahamiana? Natanguliza shukurani kwenu naombeni ushauri tafadhali.
  5. B

    Hivi ni ugonjwa au kitu gani?

    Sasa si muwafate na kuwambia huku MMU hakuna watu kama hao.
  6. B

    Taja mifano ambayo ilikufurahisha pindi unaposoma

    Mfano wa kambi ya wakimbizi iliyoko Kenya ni KAKUMA , mifano mingine itaje.
  7. B

    Nimetegeka kwa huyu mtoto wa mama mwenye nyumba

    Wakuu naomba ushauri , mimi naishi kwenye nyumba ya kupanga na mama mwenye nyumba mwenye mtoto mmoja wa kike , nimepanga chumba ambacho pembeni kuna chumba cha huyu mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba na karibia mwaka mmoja na nusu toka nianze kuishi hapa , kila ninapo muona huyu dada navutiwa...
  8. B

    AKA KABINTI SPECIAL VIPI TENa

    Nina mpenzi wangu tumekuwa nae muda mrefu bila kupeana wet kiss leo nikataka kujaribu kumkiss nikakutana na harufu fulani ambayo sikuipenda na nikazuga nimesahau kitu fulana ili kuepukana na hali hiyo, naomba kuuliza wakuu hivi hii hali husababishwa na nini na anaweza tibika huyu. Kwa mtazamo...
  9. B

    Kumbe kuhonga kuna raha yake

    Jamani mbona mwawaka hivyo huyu kimwana sio kwamba nataka nimchezee , nataka kumuingiza ndani jumla, huwa nijisikia furaha nikimuonga na binti kadisenti kiana fulani kwa kweli kananikosha lazima nitaendelea kukahonga hakuna hatakaye nizuia kwa ili wakuu.
  10. B

    Kumbe kuhonga kuna raha yake

    Wakuu habari zenu nimetokea kuvutiwa na kimwana mmoja ni mzuri hatari, nimejikuta nikichomoa hela laki moja bila kusita , wakuu naomba kuuliza hivi niko sawa kweli katika kufikisha hisia zangu kwa huyu dada kuwa nampenda,na pia huwa naona raha sana kumuonga huyu mrembo.
  11. B

    Natafuta Mwenza

    Ni PM UNIPE NAMBA YAKO.
  12. B

    Hivi pesa inatumika vipi kupata mpenzi wa kweli

    Wanaodai kuwa pesa ndio mapenzi ipo siku utaishiwa na mwanamke atakukimbia kwa sababu ya kukosa pesa na akitokea mwingine mwenye pesa ni rahisi kumkubali.
  13. B

    Hivi sauti ya mwanaume nayo ni kigezo cha kupendwa na mwanamke?

    Mbona diamond ana sau ti nyembamba lakini anapendwa kuliko chid benz.
  14. B

    Hivi pesa inatumika vipi kupata mpenzi wa kweli

    Habari zenu wakuu, nimejaribu kutembelea post nyingi za watu wenye shida za kupata wenza wakishauriwa watumie pesa kuwanasa mabinti wanao wanaowapenda , je ni namna gani penzi la kweli laweza nunuliwa?
Back
Top Bottom