Search results

  1. A

    Mbwana Samatta

    Mbwana mkali ile mbaya wachezaji kama huyo dogo ni adimu sana nchini kwetu utasema yote ukweli utakuwa palepale na dogo atapata mafanikio makubwa kimpira na kimaisha tumwombee asimame kiushindani .
  2. A

    Elections 2010 Matukio ktk kampeni za Kikwete huko Manyoni

    :smile-big:HAWOOOOOOOOOOOOO CHADEMA MMUMEFULIA KWA KOMOA WENZENU WALEEE WANAWACHIA VUMBI AMBALO HAMTA ONEKANA HADI MWAKA 2015 WEWE UNAYETUSHAWISHI TUMCHAGUE SLAA KWALIPI HATUWEZI KUWA NA MALAYA AU NDIO ZENU MUHALALISHE WAKE WA WENZENU KUWA WENU POLENI
  3. A

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    kikwete yupo juu wakubwa mtasema yote je tungekupa wewe unaye sema ungeweza ?.
  4. A

    Harusi ya Asha Ngedere Live..

    Haaaaa !!!!!!!!!!!! Haaaaaaa!!!!!!!!!! Kwikwiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!! ni noma mkuu
  5. A

    Mke Wangu Sharti ajue Mshahara Wangu????

    kiukweli kabisa vinavyo wahusu waliooana nivema vikafahamika kwa ujumla kwa ajili ya kuu unga upendo wa dhati katika familia mbalimbali
  6. A

    Rangi za maua na maana yake...

    Nimewakubali wa JF kwa mambo mbalimbali mnayotupatia kupitia blog hii
  7. A

    Huyu Mwanamke hivi nimfanyeje jamani?

    Wana jf mimi nina rafiki yangu ambaye anarafiki yake ambaye anasoma mbali na eneo analoishi na walikubaliana kuoana lakini kikajitokeza suala kwamba kuna mdada mwingine akatumia jina huyo rafiki yake na kutoa matusi iliaharibu uhusiano wao, hebu tusaidieni kwa ushauri endapo mdada huyu...
  8. A

    Kwanini Ngono inapendwa na kila Binadamu?

    Sawa kaka hasa ukisoma maneno ya Mungu utakuta kwamba hata hiyo kitu inaruhusiwa kwa wakati wake fanya kuna mwana jf mmoja ndo maana kasema wa ndoa hawaoni issu sana (NDOA NA IHESHIMIWE NA KILA MTU).
  9. A

    Hellow

    Hellow jamii forums its me albert
Back
Top Bottom