Search results

  1. kilemi

    R. I. P. Prof. Elias J. Malisa

    Alikuwa ni Prof. wa Geology pale UDS, na alipostaafu akajiunga na OUT kwa contract. Msiba uko Makongo juu kwa kaka yeka Col. Wilson Malisa
  2. kilemi

    ‘Africa can’t develop because Africans are dunderheads’

    I expect, like me, you are aware that there has never been a prosperous black-led country, but perhaps it’s just because of “bad luck”, or whatever, for that incontrovertible fact. Take Haiti as an example. Before the black slaves revolted and killed all the whites and half castes Haiti had a...
  3. kilemi

    Tusilaumiane sana, Miafrika ndivyo tulivyo

    Sata says he is shocked at Mafia style Liato hid K2.1 billion President Michael Michael Sata says he is shocked at the discovery of K2.1 billion hidden at former Minister Austin Liato’s farm. “No doubt, the Mafia-style under which this money was hidden raises serious questions about how the...
  4. kilemi

    Mpinzani wa JK apeta TUCTA

    Ninesoma kwenye gazeti la Tanzania daima Mpinzani wa JK apeta TUCTA, kuwa wabunge wa viti maalum CCM wametimuliwa kwenye kukao cha tukta kwa kuwa wao sio wanachama! Wadau, uwezekano huo upo kumteua mtu kuwa mwakilishi wa kikundi asichokijua? Au uteuzi wa wabunge viti maalum wakiwa kama...
  5. kilemi

    Afghan Taliban leader Mullah Omar killed: Report

    Yule kiongozi wa Taleban na rafiki mkubwa wa Osama bin Laden ameuawa na wanajeshi wa Marekani huko Kusini mwa Afganistan! source CNN breaking news ===================== Kabul: According to media reports, Afghan Taliban leader Mullah Omar has been killed in Pakistan...
  6. kilemi

    CCP wanatoa elimu ya uraia na saikolojia Jamii?

    Kwa haya yaliyotokea Arusha na sasa Mbarali, nina wasiwasi na elimu wanayopata maaskari polisi wanafunzi! Yaelekea wanajifunza tu kulenga shabaha na namna ya kurusha mabomu! Nashauri iwepo ellimu ya haki za raia pamoja na saikolojia jamii (social psychology) kwani mazingira yanavyoonekana...
  7. kilemi

    TAKUKURU ya China

    Waajiriwa ni wachache sana na wanawajibika moja kwa moja bungeni. Kazi yao kubwa ni kufanya utafiti wa mambo yanayo sababisha rushwa, sio kuwakamata walarushwa! Walarushwa hukamatwa na Polisi wakishhirikiana mabenki au makampuni makubwa ya biashara! Benk hulinganisha kipato cha mtu, mali alizo...
  8. kilemi

    Elections 2010 Uchaguzi 1995, hata Mrema aliibiwa kura

    Nimesikia mara kwa mara B.W Mkapa na Kinana wakijibu waandishi wa habari kuwa ushabiki wa Dr Slaa sio kitu, eti kwa sababu uchaguzi wa 1995 "hata Mrema alikuwa hivyohivyo". Sina ushabiki wowote kwa sasa ila nimekasirishwa kwa kauli hizo kwa sababu mimi ni mmojawapo ya walioshindwa kupiga kura...
  9. kilemi

    Hii Imenichekesha kweli

    Eti ndio tofauti ya akili ya mwanamke na mwanaume akili ya pili ni ya mwanaume!!
  10. kilemi

    Nimemkumbuka marehemu Prof Edward K.Shayo

    Huyu alikuwa mwl. wa hisabati pale UDSM aliyependa sana mizaha akiwa darasanai, mojawapo ni hii hadithi hapa: Hapo zamani za kale akili zilikuwa zinauzwa. Basi mtu mmoja akaenda kununua akili akakuta bei zifuatazo akili no.1=US$1000, akili no.2=US$5000 na akili no.3=US$10000!! Alipouliza...
  11. kilemi

    Utambulisho

    Habari zenu wana JF, Mimi naitwa Kilimi W. Shilemi, naomba kujiunga na house of Great thinkers,ili nami niweze kile kidogo nilichoficha kwenye ubongo wangu! Nashukuru japo hamjanijibu
Back
Top Bottom