Ungefafanua umepotea katika ramani ipi. Kama ulimaanisha reggae kwa ujumla basi hauko sahihi, kwani reggae is still very strong. Kama ulimaanisha reggae ya Tanzania basi naweza kubaliana na wewe kuwa reggae ya Tanzania imerudi nyuma sana, lakini sio kupotea kwenye ramani. Reggae si mziki wa...
Nadhani umesema kulikuwa na msimamizi aliyeteuliwa. Baada ya kumteua msimamizi wa mirathi mlitakiwa kwenda mahakamani kumthibitisha na mgawanyo wa mali ufanyike. Baada ya mgawanyo wa mali, taarifa ya mgawanyo ilitakiwa irudishwe mahakamani. Baada ya hapo kila kilichogawiwa kingeendelea kuwa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinafanya uangalizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchi nzima na wanakuletea taarifa hizo kwa wakati sahihi. Fuatilia hapa facebook page maalum inaitwa #Taarifa Za Uchaguzi.
Tanzania hapa https://m.facebook.com/chaguzitanzania?refid=17&_ft_&__tn__=C
Makusudically (kama punavyojiita),
Labda umeandika mada yako bila kuelewa jinsi mfumo wa sheria Tanzania unavyofanya kazi.
Hizo tuhuma unazozisema ni tuhuma za mauaji. Makosa ya mauaji ni makosa ya jinai, aliye na mamlaka ya kufanya uchunguzi ni Jeshi la Polisi kupitia kwa Mkurugenzi wa...
Hatuna imani na uchunguzi kuhusu Sheikh Ponda - Mtandao wa Haki za Binadamu
12/08/2013
0 Comments
Taarifa ya BBC Swahili - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania umesema hauna imani na tume iliyoundwa na jeshi la polisi nchini humo kwa ajili ya kuchunguza tukio la kupigwa risasi...
"Kesi ya LHRC/TLS dhidi ya Waziri Mkuu, imepangiwa Majaji watatu: Jaji Kiongozi Fakhi Jundu, Jaji Augustine Mwarija na Jaji Dr. Fauz Twaibu. Tunasubiri kupata tarehe za kesi kuanza kusikilizwa"
Mbona watu kibao tu wameshaitwa. Mimi binafsi nimeitwa mara tatu kwenye usaili bila kuwa na uhusiano na mtu yeyote wala kujuana..
Wewe umefanya utafiti gani kusupport hayo unayosema?
....LATEST NEW: 10 kati ya watuhumiwa 15 walishikwa tena na polisi na taratibu za kuwaandikia upya mashitaka zinafanyika.I'm amazed that Tanzania media up to this time haven't reported on this news....!
Acheni ushabiki.Waendesha mashitaka wamefanya uzembe pamoja na kuwa hawa jamaa walikuwa na kesi kubwa ya kujibu. Ni swala la procedure tu na hawa jamaa siku si nyingi wataletwa tena mahakamani kwa makosa haya haya.Someni sheria kwanza na sio mambo ya takbir....
Breaking News:Kesi ya Mbagala
ya kuvunja makanisa
yafutwa.Ilikuwa for PH na
prosecution wameshindwa
kukamilisha upelelezi ndani ya
siku 60 na hawaku-file certificate
ya kuomba further
adjournment.Washtakiwa wote
15 wako huru as per sect.225(5)
CPA.......60 days Rule people
Mpaka mwaka huu 2012 Cohort ya 11, Bodi ya mikopo haihusiki na mikopo ya Law School of Tanzania.Kama mtu anaahitaji mkopo basi wanafunzi wanajiorganise na kuomba mkopo kupitia chuo na kama mkopo ukikubaliwa basi huwa unatoka wizara ya Sheria na Katiba kupitia Law School.
Lakini nasikia kuanzia...
Kwa kuwa fair kisheria huyu bwana bana ni mtuhumiwa tu na bado ni innocent mpaka hapo atakapothibitishwa na mahakama kuwa mweli alitenda kosa analotuhumiwa kutenda.
Kimaadili ya kazi ya kiuandishi wa habari, waandishi nao wanapaswa kuzingatia swala la innocence until proven guilt by the court...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.