Search results

  1. Raia Fulani

    Haya machungwa vipi?

    Ukweli ni kwamba tangu nizaliwe hadi sasa naelekea utu uzima wenyewe sijawahi ona haya machungwa. Nachojua machungwa aidha yawe matamu au machachu, ila hayakosi maji. Sasa haya sijui ya wapi. Na ni mwaka jana na huu tu ndio nimeanza kuyaona. Chungwa kwanza kubwa, halafu gumu, kuonyesha kabisa...
  2. Raia Fulani

    Kuna vitu navidhania

    Yah, navidhania na sidhani kama ndio havijakuwepo. Vipo. Mfano; 1. Nimetokea tu kuwaza kwa nini watu wanakufa. Napata jibu kuwa hakuna kifo cha bahati mbaya. Unaweza pia kuepuka vifo. Vifo kwa maana majaribio ya uhai wako kukutoka sio mara moja. Pengine tungeoneshwa tungeshangaa. 2. Tunaishi...
  3. Raia Fulani

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Ukweli ni kwamba nipo home naperuzi stesheni za TV. Ukija clouds unakutana na chomoza, ukurudi chanel ten yupo Mwamposa. TVE yupo kuhani Musa. Wasafi yupo tena Mwamposa. Naperuzi zaidi nakutana na Upendo TV ya walutheri. Sasa Jumapili natoka kanisani kazi yangu ni kutazama maudhui ya madhehebu...
  4. Raia Fulani

    Jioni moja nyumbani tulipokutana na nguvu za giza

    Yani ikabidi tuweke kambi nje maana ndani hakukaliki. Hakuna kilichoharibika maana pilau iliondoa sonona
  5. Raia Fulani

    Nimeotesha mnyanya, naona unarefuka tu

    Mnyanya ndio unapaswa kuwa hivi kweli?
  6. Raia Fulani

    Kuna watumishi wa Serikali wasio na viwango kabisa

    Kuna changamoto kwenye sekta hii ya utumishi wa umma. Kubwa sana ni kukosa viwango (standards) na muendelezo (continuity). Hii continuity watu wa filamu wanaijua sana, la sivyo kazi zao zingekuwa vioja. Sasa vioja hivyo wanafanya hawa watumishi wa serikali. Tukianza na standards nikiangazia...
  7. Raia Fulani

    Mifumo ya kulipia maegesho inasumbua

    Wakuu za asubuhi. Napata changamoto hapa kwa mifumo hii ya kiserikali hasa uoande wa tozo mbalimbali. Hapa nazungumzia maegesho hapa Dar. Awali palikuwa na termis. Sasa GEPG, ila naona kote huko mifumo inajichanganya tu. Kwa anayejua usahihi wa hii mifumo aninulishe tafadhali
  8. Raia Fulani

    Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    Wakuu za asubuhi Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi? Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
  9. Raia Fulani

    Yani tuna import hadi chumvi?

    Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga? Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo: 1. Maji 2. Chumvi...
  10. Raia Fulani

    Nimeambiwa jirani yetu yupo mbunge wa viti maalum anaishi hapo

    Habari wana jf Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum. Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona...
  11. Raia Fulani

    Wanafunzi (watoto) kupakiwa mbele kwenye bodaboda wakati wa kwenda na kurudi shule ni hatari kwa afya. Mamlaka na wazazi hamuoni hili?

    Habari za alasiri hii ndugu wana JF, naandika kwa kughadhabika kinamna kutokana na upuuzi unaofanywa na baadhi ya wazazi huku mamlaka husika (Jeshi la Polisi) likiwa doro tu. Kuna huu utaratibu wa kuwapeleka watoto wadogo shule kwa kutumia usafiri wa boda boda. Mzazi anamkabidhi mtoto kwa...
  12. Raia Fulani

    Bora niinjoi: Shetani yupo kazini

    Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza. Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi...
  13. Raia Fulani

    Suala la elimu na likizo za watoto

    Nasoma gazeti la Mwananchi hapa kuhusiana na mvutano aidha watoto waende likizo au wabaki shuleni kujisomea. Mjadala huu ulikuwa Bungeni. Kuna hoja kuwa baadhi ya mikoa kupitia wakuu wa mikoa imepanga utaratibu wa kuongeza "ufaulu". UFAULU kwenye maeneo yao. Sehemu nyingine Mbunge na mmiliki wa...
  14. Raia Fulani

    Kuna haja ya kuondoa/kuzuia vipindi vya michezo asubuhi redioni na TV

    Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
  15. Raia Fulani

    Tanzania kuna wachambuzi wa michezo ila...

    Ila zaidi ya redio hakuna majukwaa mengine ambapo unaweza kutembelea na kupata taarifa za kimichezo (hasa soka) kwa wakati na za kutosheleza. Nakumbuka enzi hizo alianza Dr Leakey tukimsikiliza kipindi cha kombe la dunia - 1994 to 1998. Kipindi hicho ni yeye alitamba kwenye uchambuzoi wa soka...
  16. Raia Fulani

    Uraibu si kwa madawa ya kulevya pekee

    Habari wakuu Kuna hii dhana kwamba kuwa teja hadi uwe unatumia madawa ya kulevya pekee. Tena madawa yenyewe bangi haipo kivile. Uwe unatumia cocaine, heroine na mengine ya jamii hiyo ndio utaitwa teja pale ambapo yamekuzidia na huwezi fanya jambo bila kujidunga hayo. Huo ni uongo. Mateja wapo...
  17. Raia Fulani

    Ni sahihi kwa mtoto kuona picha ya baba yake alipokuwa mtoto?

    Unakuta mtoto ana miaka 15 na kuendelea kisha anakutana na picha ya utotoni ya baba yake. Baadae jioni anamuona baba anarudi nyumbani. Hivi mnadhani huyu mtoto anaweza kuweka au kudumisha heshima kwa mzazi aliyokuwa nayo awali?
  18. Raia Fulani

    Kampuni inayohusika na 'wrong parking' iangaliwe vizuri

    Ni hawa jamaa ambao yard yao ipo pale jirani na bohari ya msd. Utawakuta mjini wamevaa sare za suruali yeusi na shati jeupe. Wengine wana tshirt nyekundu. Na usafiri wao mkubwa ni bajaji. Kiukweli watu hawa ni janga la jiji. Kwanza wana hasira hao! Wengi ni kanda maalum. Wakishashika gari yako...
  19. Raia Fulani

    Dr. Myles Munroe

    Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania nilibaki kumsikia tu na kuona mabango yake na kupotezea. Nillipokuja kuanza kumfuatilia youtube na...
Back
Top Bottom