Search results

  1. Raia Fulani

    Live from Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Aisee... Siri za familia kafa? Huyu jamaa alikuwa na mfumo wake fulani hivi wa maisha
  2. Raia Fulani

    Shaq awaambia watoto wake watafute mali zao

    Utakuta keshawamegea ila anataka tu wasibweteke. Pia kwenye mali hizo angeanzisha family business
  3. Raia Fulani

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    AISEE MLETA MADA UNAKERA. NILITAMANI NIENDELEE KUKUSOMA ILA NIMESHINDWA. MTU ANAKUTIA DOLE UNASEMA LIACHE HAPOHAPO TUKAULIZE KAMA NI HALALI AU LA KUPIGWA DOLE. AISEE
  4. Raia Fulani

    Msaada: Biashara inanipa changamoto kubwa, natamani niiache nikaajiriwe lakini nani ataniajiri? Nahisi nakaribia kuwa kichaa

    Pole kwa changamoto. Unasema kweli. Kwa umri wako unapaswa kuwa na rafiki wa kike. Huyu kiukweli atakusaidia sana kukutoa kwenye mawazo. Si lazima awe mpenzi kwa sasa. Huyu utanikuta unamueleza masuala yako automatikale, hasa mbapokuwa mmekaa sehemu. Kuhusu biashara, hujasema ni biashara gani...
  5. Raia Fulani

    Kwa tuliopitia machozi, jasho na damu katika ukuaji wetu

    Poleni sana. Kila la heri waungwana. Jaribu kumtafuta umsikize tu, maana haya mambo huwa yana tabia ya kujirudia kwa vizazi vijavyo
  6. Raia Fulani

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Kama ni chakula basi ingekuwa rika zote wanaofika hospitali. Muhimu kuachana/kupunguza hivyo vinywaji pamoja na kunywa maji ya kutosha.
  7. Raia Fulani

    Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Selcom, nishachoka na upuuzi wao

    Mbona wako vizuri tu? Wana selcom huduma, email yao ambayo ni autimatic. Wanakutengenezea na TT, na ishu yako ikiisha wanafunga TT. Labda inategemea na kitengo. Mi nipo upande wa fuel (i mean huduma naioata kwa masuala ya fuel)
  8. Raia Fulani

    Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Kesi kama hizi utasikia baada ya miezi minne jamaa yuko uraiani.
  9. Raia Fulani

    Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Huna tofauti na wapiga ramli. Sijaona way forward hapo. Pia wakristu (na. Waislamu bila shaka) wanamuomba Mungu huyo huyo wa Ibrahim. Au nakose?
  10. Raia Fulani

    Dawa ya Bawasili

    Mbona bawasiri imeshika sana kasi mwezi huu? Kila unapogusa ni tangazo la bawasiri
  11. Raia Fulani

    Paul Makonda amkosha Rais Samia kwa uchapa kazi wake, ataka viongozi wengine waige mfano huo

    Huyo dogo mbona ana mabomu? Halafu kwa nini child labor ndani ya ccm?
  12. Raia Fulani

    Uzi wa vyakula tu

  13. Raia Fulani

    Uzi wa vyakula tu

  14. Raia Fulani

    Uzi wa vyakula tu

  15. Raia Fulani

    Uzi wa vyakula tu

  16. Raia Fulani

    Kafulila: Taasisi zinazoongozwa walau kwa theluthi moja na Wanawake hupata mafanikio karibu mara 10 zaidi ya zile zenye Wanawake wachache Viongozi

    Kafulila boya sana. Kwa nini asingemwachia mtalaka wake taasisi yao ya ndoa akaiongoza? Ona sasa mfumo dume wake umemkosti
  17. Raia Fulani

    Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

    Ni kwa sababu ipo reserve list. Na hii list muda wote inapiga jaramba. Akiumia mchezaji kiwanjani nadhani huwa mnawaona
Back
Top Bottom