Search results

  1. W

    Wasabato kaeni macho na hii kwaya

    Ninachojua moja kati ya watu poa sana hawana maringo na wanapesa ya kutosha ni mmiliki wa hiyo kwaya Bwana Waziri,ni mtu asiye na maringo kabisa,na anaongea na kila mtu.Ameamua kujitolea fedha zake kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.La sivyo angeweza kufungua bar,au kuwekeza kwenye vitu...
  2. W

    Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

    UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MBINGUNI MENGINE YOTE MZAZIDISHIWA
  3. W

    Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

    Yamenikuta hayo sina hamu na wadada
  4. W

    Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

    hahaaaaaa Bill walimu tumekukosea nn?
  5. W

    Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    Mkuu Nenda Tanesco watakuambia shida ni nn? Jana yemenikuta hayo leo mwenye nyumba kaenda Tanesco akaambiwa analimbikizo la deni la 1.7m,so meter imefungiwa,akapewa option ya kulipa deni kidogo kidogo tumeambiwa kuifungua meter lazima tununue umeme wa 75,000 kwanza ndio tutapewa maelekezo vizuri.
  6. W

    Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

    Well explained,tuliochelewa tunayaelewa uliyoyasema
  7. W

    Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    Nyumba ni Asset,hizo cost hazina association na nyumba husika,thise are just living cost,hata kama usingekuwa na nyumba yako still ungelipa bill ya maji na umeme.Ofcourse unaweza kusema siyo asset coz haitengenezi faida,lakini ni moja kati ya utajiri wako ambao wakati wowote u can turn it into...
  8. W

    Nifanye Nini ili Nisitumiwe SMS za Samsung S9?

    Hawa jamaa ni kero kwa kweli.
  9. W

    Bila Neymar Jr, PSG anamtoa Real Madrid mapema tu!!

    Daaah mbinu za ukweli kabisa hizi,lakini tatizo CR7 lazima avizie afunge angalau kimoja ndio shida itakapoanzia hapo.
  10. W

    Mchumba wa kike anahitajika

    Napenda watoto wakike zaidia
  11. W

    Mchumba wa kike anahitajika

    Wapo mkuu niamini mimi,sema wachache
  12. W

    Mchumba wa kike anahitajika

    Mungu atanisaidia mkuu
  13. W

    Mchumba wa kike anahitajika

    thank you
  14. W

    Mchumba wa kike anahitajika

    Hahaa hamna bana kuna wengine wanapenda weusi pia.
  15. W

    Mchumba wa kike anahitajika

    Nimekuelewa mkuu,lakini hizo ndio sifa zangu naamini Mungu atasaidia
  16. W

    Mchumba wa kike anahitajika

    Nina miaka 32 mkristo Muajiriwa Elimu Degree Sio mrefu sio mfupi Maji ya kunde. Mwanamke anayehitajika; Miaka chini ya 27 Awe mkristo Elimu, diploma au degree Mweupe Mwili wa kawaida Kama una mtoto basi awe wa kike. Karibu inbox tuyajenge
  17. W

    NAUZA KIWANJA CHANGU CHANIKA

    Nuaza kiwanja chenye ukubwa wa Square meter 400.Kipo umbali wa dk kutoka barabara kuu ya lami,Pembeni kuna nguzo ya umeme.Barabara ya mtaa ipo mpaka kwenye plot. Bei ni 3,700,000.Unaweza kulipa kwa awamu mbili Awamu ya kwanza iwe mil 2. Mawasiliano 0684-865287
  18. W

    Ufupi wangu unanikosesha amani sana kama mwanaume

    Tatizo kubwa ulilonalo ni ufupi wa akili zako,tafuta namana upate akili ndefu hata urefu wa kimo utaongezeka.Akhsante
  19. W

    Ukishazoea kubeti, hutokaa ulie kwenye msiba, hutoogopa kupima ngoma na hutokaa ujinyonge!

    hahaaaaaaa...tatizo mpira naupendaaa mnoooo so nikichanganya na kubeti nazidi kuupenda zaidi sasa hivi hapa job mimi ndio mwalimu Gashasaha au DR Leak,maana mpaka ligi ya India naijua
  20. W

    Ukishazoea kubeti, hutokaa ulie kwenye msiba, hutoogopa kupima ngoma na hutokaa ujinyonge!

    daaah alichonifanyia chelsea juzi sina hamu.Lakini sikomi ng"o
Back
Top Bottom