Search results

  1. Joachim Mabula

    Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo

    Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Elimu, M/kiti wa Tume ya Uchaguzi, Mbunge, Spika Mstaafu na Wanachuo wengine wanne kutoka CHUO KIKUU CHA BUGANDO wafukuzwa chuo! Hii ni kutokana na Viongozi hawa kuwa wasumbufu kwa mkuu wa chuo kuwasilisha madai ya wanachuo waliyotumwa kutoka katika vikao rasmi vya...
  2. Joachim Mabula

    Unyonyaji na unyanyasaji ndani ya chuo kikuu Bugando

    - Ubadhirifu wa fedha za wanafunzi masikini unaokadiriwa kuwa Zaidi ya billion 2. - Wanafunzi hulipishwa Tsh 200,000/= ya matibabu ya Bima ya NHIF huku gharama za bima ni Tsh 50,400/= - Ada hupandishwa kiholela, TCU na wizara kimya - Uwakilishi wa wanafunzi wapigwa stop na utawala wa chuo -...
  3. Joachim Mabula

    Ufadhili wa Elimu ya Juu (Uzamili/Masters & Uzamivu/Doctorate) Nchini China!

    The Government of The People’s Republic of China has made scholarship offers to the African Union Commission, through the Department of Human Resources, Science and Technology, to enable African students study in China in the 2018/2019 Academic Year. The scholarships are intended for studies...
  4. Joachim Mabula

    WHO/TDR International Postgraduate Training Scholarship for Master of Public Health!

    The James P. Grant School of Public Health (JPGSPH) at BRAC University in Dhaka, Bangladesh is accepting applications for TDR International Post Graduate Training Scheme Master of Public Health (MPH) Programme 2018-19 beginning in January 2018. Taught in English, the MPH Programme is a...
  5. Joachim Mabula

    Kozi za Vyuo Vikuu Zilizo Idhinishwa na TCU & NACTE 2017/2018!

    Kozi za Vyuo Vikuu Zilizo Idhinishwa na TCU na NACTE 2017/2018 ziko www.tcu.go.tz, kama kozi haimo kwenye orodha hiyo basi ujue haitambuliki Usiiombe.
  6. Joachim Mabula

    Fursa ya Ufadhili (Scholarship) Elimu ya Juu nchini Marekani!

    ARE YOU A GRADUATE AND LOOKING FOR FULLY FUNDED SCHOLARSHIP IN MASTERS/PhD? MICHIGAN STATE UNIVERSITY WILL CONDUCT A RECRUITMENT FAIR ON 22nd JULY, 2017 AT INSTITUTE OF SOCIAL WORK. IT IS TREMENDOUS OPPORTUNITY FOR YOUNG TANZANIA STUDENTS TO PERSUE ACADEMIC ADVANCEMENT AT MICHIGAN STATE...
  7. Joachim Mabula

    Apply for Fully-Funded Leadership Program at YALI Regional Leadership Center East Africa!

    Since it opened its doors to the first cohort in July 2015, the Center has graduated 1,095 young African leaders who are sparking change and growth in their communities. Want to join them? Then consider applying for an upcoming cohort of the program by visiting the Center’s website at...
  8. Joachim Mabula

    Fursa ya Ufadhili wa Mafunzo ya Shahada ya Uzamili nchini Korea 2017/2018!

    Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: www.utumishi.go.tz
  9. Joachim Mabula

    Fursa ya Ufadhili kwa Waandishi wa Habari nchini Marekani!

    Applications are invited for Persephone Miel Fellowships which are open to all journalists, writers, photographers, radio producers or filmmakers, staff journalists as well as freelancers and media professionals. Journalists from Developing countries are eligible to apply for this fellowship...
  10. Joachim Mabula

    Türkiye Graduate Scholarships for International Students!

    Türkiye Scholarships are intended for candidates from all over the world who want to pursue Master and PhD studies in Turkey. More ~> 2017 TÜRKİYE SCHOLARSHIPS GRADUATE PROGRAM APPLICATIONS – Türkiye Bursları
  11. Joachim Mabula

    OFID Scholarship Award for International Students!

    OFID’s Scholarship Program sponsors outstanding young students from developing countries who wish to pursue a Master’s degree studies in a relevant field of development, from any recognised university/college in the world. More ~> Scholarship Award
  12. Joachim Mabula

    Nafasi za Masomo kwa Watanzania nchini Brazil!

    Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imepokea fursa za masomo zinazodhaminiwa na Serikali ya Brazil katika ngazi ya Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili (Master Degree), na Shahada ya Uzamivu (Ph.D) katika fani mbalimbali kwa mwaka 2017. Habari zaidi kwenye faili.
  13. Joachim Mabula

    Anayefahamu chuo cha Bombo Tanga.

    Hapo Bombo kuna Diploma ya Clinical Medicine ila kwa wale wenye Certificate ya Clinical Medicine tayari yaani In-Service na inatolewa kwa njia ya masafa au Distance Learning wanakuja chuoni kufanya tu mitihani.
  14. Joachim Mabula

    Fursa ya Ufadhili wa Elimu ya Juu Norway!

    Chuo Kikuu cha Oslo, nchini Norway kinatoa ufadhili kwa masomo ya shahada za uzamili. Maelezo zaidi shusha hilo faili.
  15. Joachim Mabula

    Fursa ya Ufadhili wa Masomo ya Shahada za Uzamili & Uzamivu Nchini!

    Wenye shahada ya sheria na wanaotaka kuongeza viwango vyao vya elimu inawahusu sana. Pakua faili kwa maelezo zaidi!
  16. Joachim Mabula

    Tanzanian-German Centre for Eastern African Legal Studies Scholarships, 2017!

    Applications are invited for TGCL scholarship available for entry into a postgraduate study programme in law (LLM or PhD). Applicants from Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania and Uganda can apply. More info ~> Application - TGCL
  17. Joachim Mabula

    Fully-Funded Scholarships for Developing Countries at University of Bonn in Germany, 2017!

    The University of Bonn and the United Nations University Institute for Environment and Human Security (UNU-EHS) are offering up to eight fully funded scholarships for developing countries. These scholarships are available for pursuing Joint Master of Science (M.Sc.) programme “Geography of...
  18. Joachim Mabula

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    Ndugu zangu tatizo sio dawa ila tatizo ni watumiaji wanakuwa na mzio (allergy) na dawa hizo, kiufupi wanakuwa allergic to sulphur. Ingawa dawa hizo hazipendekezwi na wizara ya afya ya Tanzania kwa matibabu ya malaria. Ila inaweza kutumika kwa wajawazito kama kinga tu.
  19. Joachim Mabula

    Scholarships for MSc in Sustainability Programme for Developing Country Students!

    The Japan Foundation for UNU (JFUNU) Scholarship is available for outstanding applicants from developing countries who can demonstrate a need for financial assistance and who are admitted to the Master of Science in Sustainability Programme at United Nations University – Institute for the...
  20. Joachim Mabula

    Nottingham Developing Solutions Scholarships!

    The Developing Solutions Scholarships are designed for international students who want to pursue a Master’s Degree in the University of Nottingham and make a difference to the development of their home country. More info ~> Developing Solutions Masters Scholarship - The University of Nottingham
Back
Top Bottom