Search results

  1. Andrew

    Changamkia biashara mpya ya mtandao ya Kitanzania mapema ili upate mafanikio makubwa

    Mtoa hoja tafadhali nisaidie kunielewesha kwa nini Rifaro siyo pyramid scheme tafadhali
  2. Andrew

    Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

    Sasa ni wakati wa kushikamana kwa madaktari! Mkiachana ni sawa na usaliti kwa viongozi wenu kwa kuwatoa kafara yenye laana kwa upande wenu!
  3. Andrew

    A "missed" Golden Opportunity for JK's Legacy and Vision for the Next 50 Years?

    Wana-JF, nilidhani Mkuu wa kaya angetupatia kitu cha maana sana watz kama vile kuelezea kwa kinaganaga juhudi zilizokwisha fanyika, kitu Muhimu ambacho kingebakia kama 'Legacy' yake wakati wa kutoa hotuba ya kuazimisha miaka 50 ya uhuru pale kiwanjani, na hata kutoa maono au dira 'VISION' kwa...
  4. Andrew

    Je, Tumekosa 'LEGACY' na 'VISION' ya JK ktk sherehe za Miaka 50?

    Wana-JF, nilidhani Mkuu wa kaya angetupatia kitu cha maana sana watz kama vile kuelezea kwa kinaganaga juhudi zilizokwisha fanyika, kitu ambacho kingebakia kama 'Legacy' yake wakati wa kutoa hotuba ya kuazimisha miaka 50 ya uhuru pale kiwanjani, na hata kutoa maono au dira yake 'VISION' kwa...
  5. Andrew

    Hodi naingia!!!

    Wana-JF NAWASALIMU sana, Ni mara ya kwanza kuwepo hapa ingawa ni mwana-JF wa muda. Nawapongeza kwa hoja na mafunzo mnayoyatoa na kuchangia hapa. Tupo pamoja!
  6. Andrew

    Je hamjambooo!

    Mimi naingia saa hii lakini nipo. Salaaam sana kwa wote hapo hapo. Kipande hii nimeipendelea sana. C u around!
Back
Top Bottom