Search results

  1. Outlaw

    Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

    hiyo ni dhahiri anatapata. hajui alichafanya maana muda mwingi alikuwa anabembea jamaica, ila anajua asichofanya. ANGUKO lao li karibu
  2. Outlaw

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    kwani JK ana matatizo gani? ndio maana unaambiwa lazima achekiwe afya kila mara maana mara tatu zote alizoanguka tunapewa sababu tofauti, 2005 uchovu wa kampeni, Mwanza uchovu wa safari, 2010 swaumu. Tunahitaji afya ya raisi izingatiwe, mara zote hizo ni hadharani, haiyumkini huanguka mara...
  3. Outlaw

    Serikali Dar es Salaam yafuatilia kuchanwa mabango ya CCM

    hahaha, kwa akili zao jamaa, wanaweza kusema ni mvua ya wapinzani. Wakati mwingine unaweza kuamini hawa jamaa wa ccm kama vile watu punguani kwa matendo na kauli zao
  4. Outlaw

    Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya

    wewe ni mlamba miguu. ni mmoja kati ya wale wanaoneemeka na ofa zake ndio maana unatetea malezi yake na utu wema wake. kama ndugu zake tu wa karibu wanamtaja kuwa mtu mnafiki, wewe unajuaje kuhusu wema wake? elimu gani unasemea? hiyo ya kufanyiwa mitihani? huo ndio ufala ukisikia. Mbeleko...
  5. Outlaw

    sababu 51

Back
Top Bottom