Search results

  1. C

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Waandae Mkutano Jangwani ili kupongezana na kupeana pole kwa kile kilichotokea. Waitwe na Masheikh wetu na Maaskofu wetu ili wamshukuru Mungu kwa kile kilichotokea na kinachoendelea. NAAMINI HAKUNA WA KUBADILISHA MPANGO WA MUNGU.
  2. C

    Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Atuite jangwani atueleze kilichotokea na kutupatia msimamo wa ukawa. Vinginevyo waache siasa kabisa.
  3. C

    Kimbisa Amkaribisha Rais Kikwete Dodoma KUONGOZA VIKAO Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM

    Kamanda Mussa Allan Ushabadili Kambi siku hizi nini? Maana yale mapigo yako ya awali siyasomi kabisa namna ulivyokuwa ukishambulia UKAWA na hasa CHADEMA?
  4. C

    CCM tutulize vichwa, Lowassa ni tatizo tulilojitengenezea wenyewe, hakujitengeneza!

    Kumbe baadhi ya input za wengine zinafutwa. Go! go! ahead
  5. C

    CCM tutulize vichwa, Lowassa ni tatizo tulilojitengenezea wenyewe, hakujitengeneza!

    Kumbe baadhi ya input za wengine zinafutwa. Go1 go! ahed
  6. C

    Kwa mara ya kwanza Kova kawa mstaarabu, wengine ngunguri igeni

    Mawakili wa Bensouda wanaangalia na kufuatilia kwa karibu, kwa nini kamalizie Uzee wake The Hague"
  7. C

    CCM tutulize vichwa, Lowassa ni tatizo tulilojitengenezea wenyewe, hakujitengeneza!

    Hello Brother Le Mutuz, Congratulations for taking your time to write a well thought presentations. I have some few remarks to you, I believe You and CCM had plenty time and the machinery to settle all the grievances that are now in the spotlight, in fact CCM and the leaders in particular had...
  8. C

    Wakati wa kampeni LOWASSA kumfunika MAGUFULI kwa mbali!

    Hivi Mzee wa Kasi na Viwango Kaishia wapi? Mbona ule Mkwara wake wa Bunge Maalum la Katiba ni kama wameupotezea? Je alichukua Fomu za Ubunge ama yuko wapi?
  9. C

    Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Hii Kanuni na Wosia wa Baba wa Taifa imeheshimiwaje kwenye kura za maoni za CCM zinazoendelea kutikisa ccm yenyewe? Hizi kauli za Mwl mnazitumia tu mnapotaka kupindisha mambo yawanufaishe wenyewe. Mlisema mnamuenzi Mwl. Ni kitu gani hasa kimefanyika kumuenzi zaidi ya kutumia kauli zake...
  10. C

    CHADEMA imedhoofu mpaka inatia huruma!!

    Shangilia maana CCM imekomaa na tayari imeshaleta "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" hata wewe naona umeshaukata unaishi kwenye uchumi wa kati
  11. C

    CCM ndio chama makini...

    "Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" Naamini miaka yote 54 ya uhuru ndo unatuelezea "UMAKINI WA CCM"Du ama kweli hii ni kama nchi ya "Wagagagigikoko na Mfalme Hui Hui"
  12. C

    Tafakari: Wanawake wamefaidikaje na uwepo wa wabunge wa Viti maalum?

    Wamefaidika sana, Wewe huwa husikii majibu ya " Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooo" Hukuona mikataba inapitishwa na upande mmoja kwa kura ya "Ndiyoooooooooooooooooooooooooooooo" Dawa yao na matokeo ya kupigwa wakati wa Kura ya maoni ndani ya CCM yenyewe.
  13. C

    Chiku Abwao: UKAWA ni genge la Wafanyabiashara na Mafisadi wapya wanaonyemelea Ikulu

    TFDA walishachoma vile vipodozi vinavyotokea Malawi na Zambia? Nadhani inabidi waangalie na mipaka yote ya Kenya na Uganda pamoja na Rwanda na Burundi
  14. C

    Ujio wa Lowassa CHADEMA waidhoofisha UKAWA Shinyanga mjini

    Anza kusherehekea Mkuu, Maana umesema ukweli. Kumbuka hujatupatiachanzo cha takwimu zako, Ni utafiti, ndoto, maoni yako binafsi ama matamanio yako. Unachotaka kutwambia ni ukabila na ukanda ambao ndio sera za chama chenu....
  15. C

    Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Wakati KANU inaenda kuanguka Rais Moi alisema kwamba Kura yake Moja ingemwingiza Mgombea wa KANU ikulu. Sote tulishuhudia KANU ikibwagwa chini kama jani lililonyauka kwenye mti. Hiyo ni lugha ya kujifariji tu. Anaujua vema Muziki wa LOWASSA huyo ndiyo maana aliongoza mkakati wa kumkata hata...
  16. C

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Ebu na wewe tuendeshee wa kwako tuone tofauti iliyopo
  17. C

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    Hiyo Ajenda nayo sasa ihamishie nyumba ya Jirani, ili ESCROW isitokee kenye nyumba ya jirani
  18. C

    Dr. Slaa Hujachelewa, njoo ACT-Wazalendo uwe mgombea wa urais achana na mafisadi

    " No research no right to speak" Tulia kama vile unanyolewa vile,
  19. C

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Haya wewe twambie maana wewe unaweza kukutana na Dk. Maana wewe ndo msema ukweli...
Back
Top Bottom