Search results

  1. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyu jamaa jana amewafanya vibaya sana Spurs muangalieni kwa makini
  2. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Romario Mpya huyo na Scout za Manchester United wanamfuatilia
  3. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    huyu dogo angekuwa katika team nyingine wangemchezesha lakini Man Utd inaamini kucheza nyuma ya mpira sijui kama ataweza kutumika
  4. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Team yake inategemea na walivyoamka siku iyo au team pinzani wanacheza vipi
  5. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nimesema kama mwezi huu Ole ajafukuzwa basi hii team ina tatizo la uongozi kabisa
  6. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duh ili team aijawai kutokea kisha Board bado inamkumbatia old face ahh nimesema kama mwezi huu ukiisha bila Ole kufukuzwa basi najitoa kushabikia Manchester United
  7. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii team ingepata kocha mwenye tact ingekuwa nzuri sana ila kwa huyu Ole ushindi wetu itakuwa siku iyo wapinzani wameamkaje
  8. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duh afazali 1-4
  9. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii ndio team yetu na Ole ndio Kocha wetu GGM
  10. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Je huyu dogo atakuwa James mwingine katika Manchester United tuvute subira tu ili tuone.
  11. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duh ata sub yake inaonyesha ajui kufundisha na kusoma mchezo ana muacha Pogba na Bailey ana mtoa Matic na Bruno leo 1-8 zinahusu hapa
  12. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Duh Mou leo anawaonyesha waliokuwa wanambeza leo 1-8 zinahusu
  13. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ole out Greazer family out Ed out
  14. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachezaji kama awana mazoez katika kugombea Mipira wanashindwa kabisa
  15. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Washapiga la pili tayari back majanga, wachezaji awana nguvu hii team awa Greazer waiuze tu amna namna
  16. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachambuzi wanasema wanakosa umoja kila mchezaji yupo kivyake na kocha kazubaa kama mwana mkiwa akiwa na njaa
  17. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naona wachezaji wameamua kucheza kila mtu kwa kipaji chake
  18. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Msimu huu ni wataabu tu
  19. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii mechi tukishinda ni kwa bahati tu lakini sio kwa kucheza mpira
Back
Top Bottom