Search results

  1. A

    Tumpime Magufuli kwa sifa hizi na nafasi aliyoomba

    Jengo la Tanesco ubungo lazima libomolewe now
  2. A

    Tumpime Magufuli kwa sifa hizi na nafasi aliyoomba

    sure mkuu, ataekataa kunichagua akapige mbizi tu, maana hakuna jinsi sasa
  3. A

    Tumpime Magufuli kwa sifa hizi na nafasi aliyoomba

    Wakazi wa kigamboni hawajawahi kusahau kauli ya Magufuli kwamba kama hawana nauli ya kivuko basi wapige mbizi. Lakini mmojawapo alipojaribu kupiga mbizi alikamatwa kwa kigezo cha kuchochea vurugu. Swali la Magufuli anaegombea urais ni yule yule wa kuwapigisha mbizi wasio na uwezo au tumtazamie...
  4. A

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    hah hah hah hah mtalia sana mwaka huu ila mjue tu mama keshasema anamtaka shemeji Membe
  5. A

    Edward Lowassa special thread

    Akiongea bungeni juu ya tukio la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumtaka katibu wa bunge amtumie tiketi mbunge wa viti maalum ili aende DUBAI alaponde nae raha, na kusitisha ziara aliyokwenda kiserikali nchini Uingereza, Mwigulu Mchemba alisema; "Hivi mimi nina mkosi gani...
  6. A

    Kama target ni ushindi, ni ujinga kumtema Lowassa

    Mkuu! kuna tofauti kati ya unachopenda na reality, haijarishi unampendelea nani awe nani, unapoona ukweli ni lazima uuseme au uupe kipau mbele coz ni njia pekee ya kupanga strategy zako za kufanikisha unachopendelea. Kwasasa nadhani sote tunakiri jamaa amejipanga, na ni like "a crying baby"...
  7. A

    Kama target ni ushindi, ni ujinga kumtema Lowassa

    Lengo kuu la chama chochote kile cha siasa ni kushika dola kwenye uchaguzi mkuu. Kama hii pia ndiyo shabaha ya CCM, basi ni wazi MAMVI ndo turufu halisi ya ushindi kwao. Ukijaribu kufatilia trend yake kila anapopita wakati wa kutafuta wadhamini, nachelea kuwashangaa wanaosema anawapa fedha...
  8. A

    Lowassa ni pasua kichwa

    Jamani mnaompenda Lowassa c mmeshauriwa na Makongoro mkanywe nae chai Mmeshaenda? au still mnambwelambwela tu
  9. A

    Vyuo gani vinatoa diploma ya journalism Tanzania?

    Thankx mkuu! Ntafuatilia admission procedures zao nione if possible for this academic year 2015/16 kwani nimefungua website yao Saint Augustine University of Tanzania inaonesha udahili ulifanyika February 2015
  10. A

    Vyuo gani vinatoa diploma ya journalism Tanzania?

    mkuu! sijakataa vya mikoani, japo priority ni dar. so ka unajua vya mikoani nijuze
  11. A

    Vyuo gani vinatoa diploma ya journalism Tanzania?

    Wadau naomba mnisaidie majina ya vyuo vinavyotoa diploma ya journalism hapa Tanzania coz kila niki-google nachemsha. Mkinisaidia vilivyoko dar es salaam ntashukuru zaidi
  12. A

    Unabii wa Rose Muhando unaenda kutimia uchaguzi huu

    So nawewe ni among great thinkers ka unashindwa ku-read between lines kwenye huo wimbo?????? Nyie ndo mnaoamini kuwa mta-think big just kwa kusoma kitabu cha "Think big" Ningeandika Uporaji wa rasilimali za nchi utaikosesha CCM kura ndo ungeona ni thread, ila ya kutafsiri mwenyewe unamwita...
  13. A

    Unabii wa Rose Muhando unaenda kutimia uchaguzi huu

    So nawewe ni among great thinkers ka unashindwa ku-read between lines kwenye huo wimbo??????
  14. A

    Unabii wa Rose Muhando unaenda kutimia uchaguzi huu

    https://www.filterbypass.me/anonsurf.php?u=3a3DJzChziHiLQHXBrUXAxImbrFrJmfakgED0%2BBoXubU5XGn%2Fjr2&b=9
  15. A

    Pole sana Lowassa, maadui wako ni wana CCM wenzako

    mtashinda!!!!!!!!!!!! labda mshinde na njaa
  16. A

    Mbegu za maboga: Zina uwezo wa kukuepusha na magonjwa 10 hatari

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao
  17. A

    Samweli John Sitta: Sioni mgombea wa urais wa kupambana na ufisadi mpaka sasa

    huelewi nini sasa hapo!!!!! Wazalendo ni ACT, anamaanisha atajiunga na team Zitto
  18. A

    Charles Makongoro Nyerere kutangaza nia rasmi ya Urais huko Butiama 01/06/2015

    Tuacheni masihara jamani yani hadi Makongoro nae anautaka urais!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom