Search results

  1. Pakawa

    Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini

    Punguzeni porojo Ni Nyerere tu wengine woooote ni hadithi za abunuwasi
  2. Pakawa

    Lowassa awaachia watu hatia moyoni, Watubu wapi?

    Siku Chadema wakijitambua ni pale wakijatambua Badilisheni uongozi wa juu. Kuna watu wanatumia watu kujijenga wao na familia zao… Kila mtu atatoa hesabu yake kwa muumba Hizi sifa za huyu mwendazake hii nchi ilipakwa makaa ya moto Hatujitambui Tumesahau Richmond na mengineyo…
  3. Pakawa

    Waziri Nape hili la "Jamii Namba" nakupa tano. Watanzania sasa kuwa na ID namba moja tu kwenye huduma za kijamii

    matumizi mabaya ya fedha kwa mtindo mwingine Maandamano Maandamano yasipoe Tusijiegeshe Mods acheni kutudhulumu haki yetu Let the truth be told sio kufutafuta tu kila comments za kuikomboa Taifa
  4. Pakawa

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Maandamano mengine tangaza twende kusubiri nje ya Tanesco mpaka watueleze
  5. Pakawa

    Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    Huwa sipati majibu kwa nini huyu mtu hayupo jela. Ina maana hata mahakama zooooooote duniani hakuna namna?! Kwani wanasheria na viongozi wa Chadema wanaona hili ni poa tu au mimi ndio sielewi mweh.
  6. Pakawa

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole sana Mkuu! Hatujavaa kiatu chako Tunakuombea Mungu akujalie moyo wa Imani Moyo wa Uvumilivu Moyo wa Ujasiri. Mke wako anajua Upendo wako kwake! Kaa karibu mpe moyo wa kuamini mtakutana tena Ng’ambo ile! Tuombe Uzima juu yake kuliko Mauti Kuna miujiza Amini!
  7. Pakawa

    Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    WaTanzania wanaamini ili shida zikuishe ambatana na mwenye tabia kama za yule malaika aliyetupwa duniani na Mungu alimwambia walio wako watakufuata.
  8. Pakawa

    Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    🤔🤣🤣🤣🤣🤣 wakigombana chukua jembe ukalime…
  9. Pakawa

    Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Mkuu serikali si ndio chama na chama si ndio serikali! Mfumo mzima ni mbovu Ndio maana unaona kipepe yupo kila mahali. Katiba ndio shida Hatujaweza kutofautisha chama na serikali
  10. Pakawa

    Sasa adui wa Taifa la Tanzania si ujinga bali ni upumbavu

    Wapumbavu ni wengi kuliko werevu
  11. Pakawa

    Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

    Guilt consciousness inamsumbua
  12. Pakawa

    We CHADEMA, umepiga pigaje hapo!?

    Unaweza ukawa sahihi lakini kikubwa ujumbe umefika kwa walengwa Afadhali Chadema wamethubutu na mapungufu yao (ambayo kila Taasisi vikundi etc vina mapungufu) So tusiwabeze bali tuunge mkono juhudi zao kuliko kuvunjana moyo. aciti nccr cuf sijui ni mfano wa 👝 au ni mjumuiko wa vikao vya kupeana...
  13. Pakawa

    Mbowe: Serikali ya Rais Samia ni ya anasa

    Yupo sahihi Anasa imetawala kuliko Utu wa Mtanzania
  14. Pakawa

    Mtu akifanya hata jambo moja tu vizuri, anastahili Pongezi. Rais Samia apongezwe kwa haya…

    Apongezwe kwa lipi? Tuna safari ndefu sana kama Taifa Katiba inaruhusu! Sioni kwa nini Polisi sijui rais wapongezwe for what? Haki yenu then mnasema wapongezwe how why?
  15. Pakawa

    Wazo la CHADEMA la kuwa na wabunge wawili kila jimbo si sahihi

    Hili la gender limenishangaza Why kuwa na huo msisitizo Atachaguliwa anayefaa sio lazima me na ke Chadema nao sometimes wanajicganganya Tuwape nafasi wanaweza kurekebisha hapo
  16. Pakawa

    Rais Samia: Wananchi muache kuwachagua wanaowapa khanga na hongo hao sio wawajibikaji

    Ni 99.9% hawakubaliki So Avunje Bunge tu otherwise ni parapanda tu
  17. Pakawa

    Wazo la CHADEMA la kuwa na wabunge wawili kila jimbo si sahihi

    Wanaweza kuwa sahihi Tuwasikilize Wenzetu waliowahi kujua maisha nchi za ulimwengu wa kwanza viongozi wanachaguliwa na wananchi sio kuteuliwa. Hatupashwi kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya Wabunge ndio wa kufanya shughuli hizo
  18. Pakawa

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Hakika.. Hakuna uponyaji wala miujiza pale ni biashara kama biashara zingine.
  19. Pakawa

    SAP wakiri walitoa rushwa Tanzania na nchi nyingine

    Umaskini ni upumbavu wako mwenyewe… Ni maandiko hata Rose aliimba.
Back
Top Bottom