Search results

  1. John Kombo

    Muhimili wa 5

    Nn
  2. John Kombo

    Samatta na Clouds Fm

    Msaada, Hivi soka la tanzania linasimamiwa Clouds FM au TFF? Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka wapige mpuga kupitia Samatta? Mana sasa hv hatusikii diamond wala ally kiba, wasije wakamtumia kama...
  3. John Kombo

    Atakatwa, hakatwi

    Hii tabia ya ccm kuhusu swala la kukatwa si zuri mana wameambukiza na tanesco ikifika asubuhi watu wanaanza jiuliza tanesco leo wanakata au hawakati.
  4. John Kombo

    Sheria ya fedha inasemaje juu ya kiwango cha fedha tasilimu ambacho mtu anaweza kutembea nacho?

    Wadau wa JF na wanasheria, ningependa kufahamishwa hili; Sheria ya fedha inasemaje juu ya kiwango cha fedha tasilimu ambacho mtu anaweza kutembea nacho? Mfano: Fedha za Dodoma (alizokamatwa nazo hotelini yule Mfanyakazi wa Quality Centre)
Back
Top Bottom