Search results

  1. R

    Kwanini kila event ninayohudhuria huwa napewa 'first-class treatment'?

    Unaweza kuwa wa level ya chini kuliko au kama wengne but ukaheshimika kutokana na aina ya majukumu unayoyafanya..mfano wazir wa michezo,wa fedha na wa utalii wote ni mawaziri but automatically waziri wa fedha lazima atakuwa na power zaidi kuliko hao wengne kutokana na majukumu yake tuu..na hata...
  2. R

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Asithubutu kufanya hivyo...kwa waha hilo ni kosa kubwa sana..ipo siku atakuja kuitolea maiti mahari na atafungishwa ndoa na maiti.
  3. R

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Huyo mwanamke kama kweli mnapendana usimuache,mapenzi ya kweli huja mara moja tu ktk maisha..huwezi kumuacha mwanamke wako kwa sababu ya upuuzi wa baba yake..kama na penzi lako dogo
  4. R

    Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    Kinapatikana wapi na kwa sh ngapi?
  5. R

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa uzundizi..ndio ikaonekana lazima angalau pia ibebe abiria kadhaa.
  6. R

    Aache kazi private anakolipwa 1.6m au aende government atakapolipwa laki 7.6?

    Job security na kama anania ya kugrow mfano kama bado anauwezo wa kukiendeleza kimasomo basi aende serikalini
  7. R

    ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

    Kuna tamthilia ilikuwa inaitwa the neighbors...lenolens mzee wa pikipiki..tangazo la mafuta ya korie dogo mmoja anabugia vitumbua n.k
  8. R

    Tumuombe radhi ambao aliposema tumuombee, hatukujua anamaanisha nini

    Mungu ailaze roho yake mahali pema[emoji120]
  9. R

    FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

    Mwambusi ameshafanya yake huko
  10. R

    FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

    Dakikaya ngapi huko??
  11. R

    Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

    Huyu mama Wala hanaga uchungu na hii Nchi..tuwe makini tunaingizwa mkenge
  12. R

    Yanga SC 0-0 Club Africane | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium

    Yanga ipigwe tu kwa kweli..watu tuwe na amani na furaha
  13. R

    Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

    Acha roho mbaya..sasa yy atajuaje kama huyo anayemuomba kumtwisha ananyota kali zaidi mpaka amuibie????
Back
Top Bottom