Search results

  1. P

    Tibaijuka ashushwa cheo UN

    Tabia hii ya kuonyesha kidole wale waletao maendeleo badala ya kuwapongeza ni hatari. Badala ya kushukuru Mama Tibaijuka kwa kuleta miradi nyumbani mtu na akili zake timamu anaishia lawama na kutafuta kasoro, eti pia kapeleka kwao! Je tutafika kwa fikra finyu kama hizi? Pepe
  2. P

    Tibaijuka demotion tests EA relations

    WanaJamii, Salaam alykum! Asante kunipa nafasi Mama Tibaijuka anatakiwa awaeleze watanzania nini hasa kilitokea akapokonywa wadhifa wake Nairobi na hivyo kuaibisha taifa. Je huyo Katibu Mkuu Ban Ki-Moon kwa nini hakuheshimu Makamu wake Mama Migiro? Ungetegemea Migiro angelimlinda...
Back
Top Bottom