Search results

  1. K

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    tumuulize mange kimambi, atakuwa na jawabu mujarabu
  2. K

    Freeman Mbowe agoma kupokea mkono wa Prof. Lipumba mazishi ya Kingunge makaburi ya Kinondoni

    Wote ni wenyeviti ila mmoja ni kiongozi wa kambi ya upinzani. Mbowe ni senior kwa lipumba sasa kwanini amuachie kiti!
  3. K

    Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

    Wako kwenye promosheni nadhani
  4. K

    Kwa heri Major-General Lupogo. Tunakukumbuka kwa kipigo cha Sebambule dhidi ya Idi Amin

    hivi kimario hakuwa expert! wanajeshi aliotumia kimario walikuwa tofauti na lupogo? kwenye mahojiano na kitabu cha jenerali wa uganda anaitwa rwehururu anakiri ujio wa kimario ulibadilisha upepo kwenye uwanja wa mapigano kwa sababu walipigwa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa vita. it seems kimario...
  5. K

    Best stand up comedian of all time,..hawa wameshindikana kwakwel,

    U need to watch comedy more. They are outstanding. Kevin hurt bado sijamkubali
  6. K

    Best stand up comedian of all time,..hawa wameshindikana kwakwel,

    Richard prier and George Carlin old school best
  7. K

    Mliowahi kutapeliwa na kijana Kitomali wa Wazo, Dar nimemtia mbaroni

    Matapeli wengi mbali ya kuwa na maneno na akili nyingi pia ni washirikina sana. Wanatumia sayansi ya giza kufanikisha mambo yao. Omba dua kukuepusha na ulozi wakati unaendelea na kutafuta haki yako
  8. K

    Ni Trekta Gani Bora Kati ya New Holland na John Deere

    Kiboko yao. Kama ukipata Kubota ndio mpango mzima
  9. K

    Kisheria PALESITINA hawana haki ya kudai mji wa Jerusalem.

    Wayahudi wanamuona yesu kama myahudi mwingine mwenye akili. Tembea dunia uone, huyo anaedhani wayahudi wana muda na ukristo better think again and again. Myahudi ni mwenyewe tu wengine ni bughudha. Myahudi hayuko pamoja na mtu mwingine do not ever kid yourself
  10. K

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa ktk mkutano wa CCM. Nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa liko wapi

    Meya ni mwanasiasa unategemea afanane na technocrat! mzima kweli wewe...
  11. K

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa ktk mkutano wa CCM. Nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa liko wapi

    Alitakiwa afukuzwe kazi Mara moja. Wanasheria waweke ushahidi siku huyo anaewalinda akiondoka wamfunhulie mashtaka ya kuibia serikali na matumizi mabaya ya madaraka
  12. K

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo akiwa ktk mkutano wa CCM. Nafikiri ni muhimu watu wakajua Taifa liko wapi

    Inaruhusu lakini mtumishi wa umma haruhusiwi kushika nafasi yoyote kwenye chama. Rejea waraka namba 1 wa mkuu wa utumishi wa umma 2015.
  13. K

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    A county governor and a President squabbling! A mismatch.
  14. K

    Azam news wamekuja Juu sana kwa habari

    eeeh! azam ina rangi mbaya! heheheeeee. hii ni supa brand ya matopeni
Back
Top Bottom