Search results

  1. K

    Wanaopinga mbio za Mwenge wanayo hoja , kama unabisha angalia soma uzi huu

    Ninawapenda watanzania ndugu zangu, niungane na wote mliotoa maoni yenu kuupinga mwenge nikisema jambo usilolijua nikama usiku wa giza nene,mwanzoni nami mwenzenu nilikuwa na mawazo kama nyinyi na pengine chuki yangu dhidi ya mwenge ilikuwa kubwa kuliko ata nyie. 1.ndugu zangu mwenge unakuwa...
  2. K

    Tanzania: The Sleeping Giant

    Yet you understood him
  3. K

    Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

    Ili suala la luaga mpina linahitaji ufatiliaji wa kina.report ya CAG uwa si ya kukurupukia. Ndo maana zinaitwa hoja za cag zinahitaji majibu.anachosema hapo ni kuacha kutumia taratibu za manunuzi na kufanya single source kwa maelekezo ya wizara. Je tumewatafuta wizara kujibu kwanini waliamua...
  4. K

    Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

    Sipendezwi mawazo ya baadhi ya watanzania na nadhani kuna shida mahali Mijadala humunni ya kuangalia nani alifanya nini na kulinganisha marais wa kila awamu.Kwangu mimi kila rais amejaribu kuisogeza tanzania mbele. Tujadili tunasonga je zaidi tukizingatia kwamba sisi sio kisiwa.tukichelea...
  5. K

    Utaratibu wa kupima Coronavirus kwa wanaosafiri nje ya Nchi

    Tukitafakari sana ni madhara ya ubebari
  6. K

    Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

    Tuangalie taifa letu zaidi sukuma gang au msoga gang ni ujinga mtupu na wote mnaoshabikia mnastahili kupimwa akili
  7. K

    Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

    Ata wewe unayemwita polepole kiroboto hujui kesho ndo raha ya maisha
  8. K

    Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

    Binafsi niwashangae wote mlioungana kumpinga polepole tuliangalie taifa letu zaidi kuliko polepole
  9. K

    Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

    Wewe ndo unahitaji huo msaada.mi siamini kama polepole anashida zaidi ya maslahi mapana ya taifa
  10. K

    Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

    Wala hakuna alichokipanda zaidi ya kuirudisha ccm kwa wanachama
  11. K

    Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Sasa wewe uliyeandika hayo hichi chama mwl alikianzisha kiwe cha kundi la watu au watanzania wote.je watanzania wakiwaachia chama nyie hichi chama kitaendelea kuwepo au kitaishia hapo.mjitafakali Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
  12. K

    Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Chadema hamna ata ofisi ya chama mnaijua vizuri chadema nyie.Lisu yuko ulaya mnajua atalishwa na kuvalishwa na nani nyie au ndo mnadandia tu vyama na kupelekea aman ya taifa letu matatani Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
  13. K

    Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

    Tukichukulia watu zaidi ya milion 60 watanzania na wewe mtu mmoja ambaye ata elimu yako siielewi tuachilie mbali elimu ata maadili yako si ya watanzania walio wengi ya kutukana watu hovyo. Jitafakali taifa lina watu wengi ambao kila mmoja anataka fursa sawa sio la watu wachache wanaojiona wao...
  14. K

    Rais Samia Suluhu, suala la Bandari ya Dar na umuhimu wa Deusdedit Kakoko umeonekana dhahiri

    Unawaza vema.lakin sisi watanzania tunashida sana ata kama taasisi iwe imara namna gan usimamizi usipokuwa mzuri na wakuwajibishana hakuna kitakachofanyika vizuri
  15. K

    Rais Samia Suluhu, suala la Bandari ya Dar na umuhimu wa Deusdedit Kakoko umeonekana dhahiri

    Alikuwa moto wa kuotea mbali huyu muhandisi kakoko ndo maana siku alipotumbuliwa wafanyakazi bandarin walishangilia sana
Back
Top Bottom