Search results

  1. D

    Bomu lalipuka Oslo-Norway karibu na ofisi ya PM

    Mkuu hakuna uwanja wa ndege unaoitwa Olof Palme International Airport hapa Oslo. Uwanja mkuu wa ndege unaitwa Oslo Gardemoen Airport
  2. D

    Je tuna wacheza mpira kama hawa?

    Mbona mmewasahau hawa wa Yanga? 1. Elias Michael 2. Idd Boi 3. Hassan Gobbos, 4. Abdulrahman Juma 5. Maulid Dilunga (RIP) Halafu vijana wa Yanga wa kocha wa Mromania: 1. Juma Pondamali "Mensah" 2. Jaffar Abdulrahman 4. Mohamed Mkweche 5. Mohammed Rishad Adolf 6. Mohammed Seugendo 7. Gordian...
  3. D

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Kakangu Chichi, Huyo mchumba´ko asikuumize kichwa. Mwache uanze upya...alikua nao wawili huku akijua amechumbiwa? Si wa kumwamini hata kidogo. Ingekuwa mmoja...ningeweza kusema labda alishikwa na mashetani ya ngono. Wawili? mwache!!!
  4. D

    Hodi! Hodi! Hodi! kwenye jamiii

    Mie naishi mji wa makampuni ya uchimbuzi wa mafuta, Stavanger nchini Norway...
  5. D

    Hodi! Hodi! Hodi! kwenye jamiii

    Nyani Ngabu, Asante. Tayari najisikia niko nyumbani.
  6. D

    Hodi! Hodi! Hodi! kwenye jamiii

    Bado nipo....ahaa! usinambie umeshaanza kunita...(natania)
  7. D

    Hodi! Hodi! Hodi! kwenye jamiii

    Wanajamii, Mie najiita Dia Gnosis. Mwanadada. Niashi kaskazini ya Dunia. Nimezaliwa na kukulia na kusoma Dar´Salaam toka chekechea hadi shahada ya kwanza kabla ya kuja huku Kaskazini. Asanteni
Back
Top Bottom